Iran na saudia Sasa hivi zinaiva,yaani saudia anatoa hela,Iran anatekeleza mikakati na wameelekea china urusi wanajitoa ulaya na marekaniIran kwa sasa anakwenda kuchukua usemaji pale mashariki ya kati badala ya saudi arabia
Ni Irani au hizbollah?Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani...
Mmeahamia kwa Hizbullah na Irani sasa baada ya kuona Hamas maji ya shingo, endeleeni hivyo hivyo muda ni mwalimu mzuri.Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani...
Ngoja muiname mswekweIran na saudia Sasa hivi zinaiva,yaani saudia anatoa hela,Iran anatekeleza mikakati na wameelekea china urusi wanajitoa ulaya na marekani
kubweka tahisi tatiza kung'ataKwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani....
Irani mwenyewe anajua kuwa anajiongelea tu wala hata hayupo serious, anawashangaa ninyi mnaodhani kuwa yupo seriousKwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani.
Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa.
Unaweza ukatuletea ukatuelezea kwa ufupi uharibifu wa pende zote mbili? Au tukuamini tu kwa kuwa umesema?Kundi hilo lina silaha zaidi kuliko Hamas na katika vita baina yake na nchi hiyo mwaka 2006 ilifanikiwa kuitia hasara kubwa kwa kuripua vifaru vyake kadhaa vilivyotajwa hapo awali kama havingewezwa kupigika,
Huyu jamaa mambo anayokua anachangia humu, ukilisoma na jina lake, unaishia kurudia kuliandika tu basi moyo unatulia na unakua umekwepa dhambi ya kutukana😃Ngoja muiname mswekwe
Cc @glennN
NGoja muiname mswekwe
Jamaa linajifariji sana ni jeusi tii kama tako la iddi Amin lakini lina sijdah na inaonekana kisa kaahidiwa akifa kwenye uislamu litabadilika na kuwa liarabuHuyu jamaa mambo anayokua anachangia humu, ukilisoma na juna lake, unaishia kurudia kuliandika tu basi moyo unstulia na unakua umekwepa dhambi ya kutukana😃
Saud Arabia alitakiwa awe mstari wa mbele kwenye matatizo ya ukanda huo hasa hili la Wapalestina ila ndio hivyo ameamua ajisalimishe kwa ubeberu wa Marekani.Iran kwa sasa anakwenda kuchukua usemaji pale mashariki ya kati badala ya saudi arabia
Ndio nae atabondwaaa. Wapalestina wanataka vita ikapiganiwe kwenye mahanadi, majeshi ya Israel hayajaingia kwenye mahanadi ya Gaza tangu miaka 17 iliyopitaAnatoa ushauri au anatafuta kwa kuingilia?
Saudi Arabia inaichukia Iran kuliko inavyoichukia Israel. Kitendo cha Saudi kupigana na Houthi pale Yemen ambao wanadhaminiwa na Iran kisa ni Washia ni kielelezo cha ugomvi wao.Iran na saudia Sasa hivi zinaiva,yaani saudia anatoa hela,Iran anatekeleza mikakati na wameelekea china urusi wanajitoa ulaya na marekani
Ujinga wa andaki unachimba miaka miwili, Israel inagundua inakaa kimya. Siku mmeanza kuyatumia inatumwa GBU bunker buster ndogondogo inabomoa entrance ya mbele linakuwa useless.Ndio nae atabondwaaa. Wapalestina wanataka vita ikapiganiwe kwenye mahanadi, majeshi ya Israel hayajaingia kwenye mahanadi ya Gaza tangu miaka 17 iliyopita