Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mkuu tusubirie ila Ayatollah kakubali kuingia kwenye mfumo wa westernersAyatollah kaamua kutikisa mzinga wa nyuki!
Kula chuma hikoAkimbie drones?!!!
Hii ni propaganda uchwara.
Netanyahu yupo nchini na katoka kuhutubia taifa lake muda mfupi uliopita..
View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1779234102660448460?t=ETriA6LsgmNR3vc4ljd5Rg&s=19
Crypto kama sikosei
hali sio haliCrypto kama sikosei
Hakuna kitu watamfanya. Wazungu hawapendi kutumia nguvu, ila akili... Hasa interests zao za kiuchumi zikiwa at stake.Mkuu tusubirie ila Ayatollah kakubali kuingia kwenye mfumo wa westerners
Wewe pimbi, akili kisoda wahed acha kuleta porojo na uongo wa kijiweni hapa. Tuwekee reference ya hii taarifa yako.kwa akili yako kisoda hujui kama madege yale ya maraisi yana sehemu za kufanyia press conference netanyahu ameenda marekaani kubembeleza msaada acha uboyaa unaadhaani shambulio la iran ni sawa na hamasi
Mkuu sidhani kama makombora yanahitaji masaa kutoka Iran mpaka Israel.
Oil hii ama pair ya Nini
Kumbe drone zinaonekana kabisa, sasa Israel watashindwaje kuzishambulia au mimi ndiye sielewi.Update....
Biden katoa amri kwa vikosi vyake vilivyo ukanda huo kuzishambulia drone zote za Iran Kabla hazijaifikia israel
Kwa hiyo speed ya kuchechemea zitatunguliwa mbali huko kabla ya kufika Israel..na hizo drones speed yake sio kubwa maximum drones speed currently zinafikia 150 - 160 km/hr
Uwezekano wa kuzitungua upo, ndio maana wanazirusha nyingiiii ili baadhi zifike sbb hazina speed kubwa, route zitakazopita ukijua unatungua, tatizo kujua route yaani njia sbb hazionekani kwenye rada kirahisiKwa hiyo speed ya kuchechemea zitatunguliwa mbali huko kabla ya kufika Israel
Ebu soma kichwa cha habari.Kichwa nazi, umeambiwa ni makombora or small bomb carrying drones ndio zimerushwa towards Israel, umeelewa, na hizo drones speed yake sio kubwa maximum drones speed currently zinafikia 150 - 160 km/hr
Iran will be destroyed in few months ahead, and that war will be easily carried out by eliminating Iranian top leaders then US will secretly put in place their leader like Iraq..!!
Nadhani Ayatollah na genge lake walitaka iwe siri, liwe shambulizi la kushtukiza kama lile la Hamas 7/October. Ni Israel ndiyo wameng'amua na kutangazaKumbe drone zinaonekana kabisa, sasa Israel watashindwaje kuzishambulia au mimi ndiye sielewi.
wewe bata si mlisema iran hata jibu tulieni hivo hivo kama panya kwenye mahandakiWewe pimbi, akili kisoda wahed acha kuleta porojo na uongo wa kijiweni hapa. Tuwekee reference ya hii taarifa yako.
Kuhusu USA kubutua Iran, hakuna cha kubembeleza, Biden mwenyewe tayàri katamka hilo
...The Biden administration confirmed that the Iranian attack had begun and said the United States will "stand with the people of Israel and support their defense against these threats from Iran."
White House National Security Council spokesperson Adrienne Watson issued a statement saying: "This attack is likely to unfold over a number of hours. President [Joe] Biden has been clear: our support for Israel’s security is ironclad."
Source: VOA
Hizo mara nyingi huwa zina tumika kuiweka bize mifumo ya Ulinzi kabla ya makombora kuachiwa.Kumbe drone zinaonekana kabisa, sasa Israel watashindwaje kuzishambulia au mimi ndiye sielewi.
coin zote mda huuOil hii ama pair ya Nini