Iran yaishambulia Israel kwa makombora

Attachments

  • Screenshot_20240413_231102_X.jpg
    Screenshot_20240413_231102_X.jpg
    493.4 KB · Views: 7
kwa akili yako kisoda hujui kama madege yale ya maraisi yana sehemu za kufanyia press conference netanyahu ameenda marekaani kubembeleza msaada acha uboyaa unaadhaani shambulio la iran ni sawa na hamasi
Wewe pimbi, akili kisoda wahed acha kuleta porojo na uongo wa kijiweni hapa. Tuwekee reference ya hii taarifa yako.

Kuhusu USA kubutua Iran, hakuna cha kubembeleza, Biden mwenyewe tayàri katamka hilo

...The Biden administration confirmed that the Iranian attack had begun and said the United States will "stand with the people of Israel and support their defense against these threats from Iran."

White House National Security Council spokesperson Adrienne Watson issued a statement saying: "This attack is likely to unfold over a number of hours. President [Joe] Biden has been clear: our support for Israel’s security is ironclad."

Source: VOA
 
Mkuu sidhani kama makombora yanahitaji masaa kutoka Iran mpaka Israel.

Kichwa nazi, umeambiwa ni makombora or small bomb carrying drones ndio zimerushwa towards Israel, umeelewa, na hizo drones speed yake sio kubwa maximum drones speed currently zinafikia 150 - 160 km/hr

Iran will be destroyed in few months ahead, and that war will be easily carried out by eliminating Iranian top leaders then US will secretly put in place their leader like Iraq..!!
 
Update....
Biden katoa amri kwa vikosi vyake vilivyo ukanda huo kuzishambulia drone zote za Iran Kabla hazijaifikia israel
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-000558.png
    Screenshot_20240414-000558.png
    316 KB · Views: 5
Kichwa nazi, umeambiwa ni makombora or small bomb carrying drones ndio zimerushwa towards Israel, umeelewa, na hizo drones speed yake sio kubwa maximum drones speed currently zinafikia 150 - 160 km/hr

Iran will be destroyed in few months ahead, and that war will be easily carried out by eliminating Iranian top leaders then US will secretly put in place their leader like Iraq..!!
Ebu soma kichwa cha habari.
 
Wewe pimbi, akili kisoda wahed acha kuleta porojo na uongo wa kijiweni hapa. Tuwekee reference ya hii taarifa yako.

Kuhusu USA kubutua Iran, hakuna cha kubembeleza, Biden mwenyewe tayàri katamka hilo

...The Biden administration confirmed that the Iranian attack had begun and said the United States will "stand with the people of Israel and support their defense against these threats from Iran."

White House National Security Council spokesperson Adrienne Watson issued a statement saying: "This attack is likely to unfold over a number of hours. President [Joe] Biden has been clear: our support for Israel’s security is ironclad."

Source: VOA
wewe bata si mlisema iran hata jibu tulieni hivo hivo kama panya kwenye mahandaki
 
Back
Top Bottom