Tunaenda mwishoni wakuu
 
Israel yaanza kutungua Drone kadhaa zilizowahi kuingia anga ya Israel around 12:00am. Jordan nayo yasema itatungua Drone yeyote itakayokatiza kwenye Angalake
Acha uongo we mlokole drone bado zipo njiani Netanyahu ameshatoroka Jerusalem. Wenyewe wamekadiria drone zitaanza kushusha mabomu kuanzia saa 8 au 9 usiku.
 

Attachments

  • Screenshot_20240414_001804_X.jpg
    399.2 KB · Views: 5
Kama distance btn them ni sio chini ya 2500km basi hii itakukuwa a mechanical war na sio a physical one. Hii ni mbaya sana. Makombola, drones na airforce kwa ujumla vyote vitachangia tuikaribisha vita ya3 ya dunia. Iran atapondwa, nchi za mashariki n kati na sehemu nyingine za kiislamu zitaungana n kuwa kitu kimoja. Hapa Israel, USA n washkaji zake watachapwa kama vita ya bubu n kipofu. Yote kheri, tungojee masjid al alqasa ibomolowe, Jews watengeneze hekalu lao kwa ajili ya nabii wao ndio kinuke kibadbad
 
Asante kwa kukubali hilo ,wenzako ukiwaambia hivyo wanataka kuku meza na wanasema eti Marekani ndo anaye itegemea Israel.
sisi ma mtu meusi huwa nasema hatuna akili. huwa tuna ushabiki wa kijinga. mimi kwanza naomba sana hiyo vita isitokee. ikitokea makima meusi ndio yatateseka wala hayawazi hilo. kima weusi kila kitu tunategemea nchi za dunia ya 1 na ya 2. athari kwa dunia ya kima ni kubwa kuliko wao huko.
facts kadhaa
a) Israel ni kibaraka wa US bila US Israel ni mweupe
b) kwa wanaoishabikia Iran watamponza. Iran vita hawezi atapigika aharibu uchumi wake bure. aache ujinga kwani Israel hatopiganaa peke yake.

kima wengi wanashabikia hii vita sababu za upande wa kiimani. unaona kabisa namna hatuna akili hapa mahaba ya kidini yanatufanya kuwa mafala.

mwisho kabisa tusiombee vita. ni wazi Iran atachapika sababu Israel lazima atasaidiwa na basha wake US na washirika akina France, UK n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…