Iran haiwezi kushambuliwa na nchi za West isipokuwa kama itafanya makosa ya kimahesabu katika kushambulia targets.

Haiwezi kufanya makosa kwasababu imetoa taarifa kwa USA mapema kabisa leo kwamba itashambulia Israel na shambulo hilo litakuwa ''limited' kwa maana wanajibu mapigo hawataki vita.

Tatizo litakuwa kwamba nchi za Magharibi zimepata sababu baada ya vikwazo kushindwa.
Iran imeonya nchi itakayotoa ' base' itakuwa imeingia katika Vita. Hapa Iran inawalenga Saudi Arabia

In fact kuna pressure kubwa sana kutoka Saudi Arabia kuishambulia Iran pengine kuliko Iran
Nchi za Kiislama za mrengo wa Sunni , Wahabia na Sufi zinaiona Iran ya Shia kama tishio kubwa kwao

Kwasasa Iran ndiyo inaonekana super power baada ya Sadam kuondolewa na ni tishio kwa nchi hizo, Israel na nchi za magharibi zenya masilahi.

Kilichotokea leo ni kwamba inaweza kuwa 'damage' ya mashambulizi haipo kwa maana kwamba makombora yamezuiliwa lakini wachunguzi wa mambo ya vita wanasema Irana ime achieve goal kwa kuweza kufika ndani ya Israel na Miji yake kwa precision ya makombora. Precision ni jambo muhimu sana kuliko makombora ya Hamas yanayoruka. Hivyo, hata leo vita ikisimama Israel itatambua kwamba usalama wake unazidi kuwa na utata
 
Halafu sidhani kama İran imetumia makombora yote yaliyopo kwenye arsenal yake.

Pia, sidhani kama imetumia drones zote zilizo advanced ambazo inazo.

Kwenye operations kama hizi, kikawaida, hutumii zana zako zote ulizonazo.

Which means, kama wana uwezo wa kuipiga Israel kwa zana walizozitumia, imagine ambazo hawakuzitumia ambazo ziko advanced zaidi…..
 
Unajua hili limewapa Iran confidence kwasababu wameweza kujaribu umbali wa masafa.
Walikuwa wanajua lakini sasa wana uhakika kwamba wanaweza kufika eneo lolote la Israel

Wametumia ballistic missile, wanasema hawakutumia SAM au Long range missile
Hizo drones wanazo katika idadi ya maelefu, nadhani walitumia ndogo

Iran iliweza kuteremsha drone ya USA wakati wa Obama bila kuibomoa, nzima kama ilivyo
Mwaka huu tena wakarudia kuitungua drone moja ingawa haikutangazwa, kwahiyo si wachovu kihivyo

Kama uluvyosema sidhani kama wametumia 'arsenal' zao zote wakijua inaweza ku escalate
 
Inawezekana wewe ndio yule jamaa anayechambuaga vita Azam TV kwani umeeleza vizuri sana.
 

..Israel population ni 9.5 mil.

..Iran population ni 88 mil.

..Israel haiwezi kupigania vita vya wazi na Iran.

..Wanachoweza kufanya Israel dhidi ya Iran ni mashambulizi ya kuvizia ya hujuma.

..ktk tukio hili kila upande umemsoma mwenzake.

..wataalamu wa kijeshi wa Israel na Iran wote wamepata mafunzo kutokana na tukio hili.

..Iran alitaka kujua kama makombora yake yatafika Israel.

..Israel nao walitaka kupima namna ambavyo mifumo yao ya ulinzi itakabiliana na makombora toka Iran.
 
Mpaka sahivi hakuna kombora lililofika au ku-targert israel
 
Israel, US, UK na Jordan kwa pamoja kuungana kudungua drones za Iran ni ushahidi tosha kuwa sifa wanazopewa IDF huwa hazina mashiko.

Bila hao NATO Israel hatoboi hata kwa Al Shabab. Ni kitendo cha siku chache tu watafutiliwa mbali.
Hakuna vita vya pekee yako acha fikra potofu hata urussi anasaidiwa na iran na china kule ukraine

Ukisoma historia ya vita dunian kulikua na alliance waafrika tuna-safari ndefu sana kifikra

Hata vita vya Tanzania vs uganda
Tanzania ilisaidiwa na algeria huku uganda ikisaidiwa na libya
 
Anyezuia missile ni mmarekani. Hivi wewe huangalii habari? Pentagon, IDF wanasema wazi . Upo duniani gani
Hivi unajua Iron dome , David's sling na aero system zinatengenezwa wapi...
Ukisoma hizo taarifa unazitafsiri utakavyo ili angalau ufarijike.
 
Wachambuzi wetu bana, sasa hapa ndiyo umeelezea kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…