Iran yaishambulia Israel kwa makombora
Nadhani wewe huelewi kabisa. Defensive system ya Israel ni ya USA, EU na UK
Nchi hizo zimesema wazi leo kwamba zilikuwa msaada mkubwa licha ya kwamba system zao ndizo zinatumiwa
Hakuna mahali niliposema kuwa Marekani na washirika wengine wa Israel hawakuwa na msaada. Unapindisha kile nilichoandika.

Nitatumia vyanzo kadhaa vya taarifa kukupa uelewa wa kile nilichosema!

Katika defense systems za Israel, zipo ambazo Israel imefanya collaboration na Marekani na zipo ambazo Israel imeunda yenyewe. Hakuna defense system ambayo Israel imepewa bure wala kuuziwa bila kuhusika kwenye uundwaji wake. Unaonesha kutojua mambo mengi sana kama hata hili dogo limekushinda.

Marekani imefanya interception ya cruise missiles, drones pamoja na ballistic missiles chache na imesema wazi kile ilichokizuia. Hali kadhalika Uingereza nayo na nchi zingine zimetaja interceptions zao. Kila mmoja amesema kile alicho-intercept.

US officials said more than 70 drones and three ballistic missiles were intercepted by US Navy ships and military aircraft, without giving details of exactly what defenses were used to bring down the projectiles.

The US Navy shot down at least three ballistic missiles using the Aegis missile defense system aboard two guided-missiles destroyers in the eastern Mediterranean, officials told CNN’s Oren Liebermann at the Pentagon.

Source:

Ndege za Uingereza zilienda kuzuia drones. Kazi ya ndege vita kwa majeshi yote ilikuwa kwaajili ya kuzuia drones na cruise missiles pekee na sio ballistic missiles. Nimeshaeleza sababu katika post yangu iliyopita.

Overnight, international help was critical in eliminating the slower-moving drones: the US said it had knocked out about 70 drones and three missiles. The UK prime minister, Rishi Sunak, added that the RAF had intercepted an unspecified number. Other reports indicated Jordan, a longstanding US ally, had shot down dozens more drones over its airspace.

Source:

British Prime Minister Rishi Sunak on Sunday confirmed that RAF pilots shot down a number of Iranian attack drones and helped save lives “not just in Israel, but in neighbouring countries such as Jordan as well”. He said that had the attack been successful, “the fallout for regional stability would be hard to overstate”.

Source:

Israel nayo imesema kile ilichozuia (screenshot):

1213.png


Zingatia sana hapo penye mstari panaposema: But it was the Arrow that almost certainly dealt with most of the 120 ballistic missiles fired by Tehran.

Source:

Nilisema awali kwamba makombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems:

The most serious threat came from high-speed ballistic missiles, capable of flying several times the speed of sound and making the journey from Iran to Israel (about 600 miles at the closest points) in less than 15 minutes. More than 120 were launched at Israel, Hagari said, and he acknowledged that “a few” crossed into Israel’s airspace, some striking at the Nevatim airbase.

Tackling these was largely the task of Israel’s air defence system, which relies on rockets to hit incoming missiles. Knocking out the ballistic missiles was primarily the task of the Arrow 2 and Arrow 3 systems, manufactured in an Israeli-US collaboration but never used until the start of the Israel-Hamas war, supported by David’s Sling, a medium-range interceptor.

Source:

Hakuna silaha ya kisasa duniani ambayo Israel haijapewa na USA. Msaada wa USA kwa jeshi la Israel ni Bilioni 18 UD Takribani Trilioni 50 za Tanzania. Hivi unadhani hizo ni pesa za send off
Hapo umeleta madai bila uthibitisho. Kuna mambo mengi haufahamu kuhusu uhusika wa Israel kwenye silaha za kisasa za Marekani.

Israel is quite adept at building advanced military technologies, from weapons systems to sensors to communications gear, and sells a lot of it to the US. Israel's Litening precision targeting system-an external pod that uses infrared imaging and laser range-finding to guide bombs to targets-is used in a variety of US Air Force and Navy aircraft. The sophisticated Joint Helmet-Mounted Display system for F-22 fighter pilots leans heavily on Israeli technology.

Source:

Twende kwenye msaada wa kifedha na bajeti ya jeshi:
Msaada wa kifedha wa Marekani kwa mwaka ni takribani USD 4 Billion ambayo ni asilimia takribani 15 tu ya bajeti yake yote ya ulinzi kwa mwaka ulioisha. Maana yake ni kuwa, kiwango kikubwa cha fedha kinachotumika na Israel katika masuala ya ulinzi na usalama kinatoka katika vyanzo vyake yenyewe.

The United States has provisionally agreed (via a memorandum of understanding) to provide Israel with nearly $4 billion a year through 2028, and U.S. lawmakers are considering billions of dollars in supplementary funding for Israel amid its war with Hamas.

U.S. aid reportedly accounts for some 15 percent of Israel’s defense budget.

Additionally, $500 million a year is slated for Israeli and joint U.S.-Israeli missile defense programs, in which the two countries collaborate on the research, development, and production of these systems used by Israel, including the Iron Dome, David’s Sling, and Arrow II. Iron Dome was solely developed by Israel, but the United States has been a production partner since 2014. For instance, the U.S. military contractor Raytheon manufactures Tamir interceptor missiles for Israel’s Iron Dome at its facilities in Arizona.

Source:

Hiyo 15 percent, ambayo ndio msaada wa Marekani kwa Israel, ina terms and conditions. Mostly inakwenda kwenye manunuzi ya silaha za Kimarekani ambazo Israel pia imeshiriki kwenye utafiti na uundwaji (R&D) wa baadhi ya silaha hizo. Ukitazama kwa jicho la tatu, hiyo bilioni nne ambayo Marekani inaitoa kila mwaka ni strategic investment yenye mutual benefits pande zote kuanzia kwenye masuala ya kijeshi/kiintelijensia, kiuchumi pamoja na geopolitically kwa ujumla.
 
Ila pia USA imesaidia na Jordan ku intercept mashambulizi mengine.
Kama hayo mataifa mengine yasingehusika sidhani kama Israel angeweza ku intercept mashambulizi yote hayo peke yake.
Pia Iran amekiri kutumia medium range missiles ambazo ni unguided.
Sijui angetumia guided zenye ujazo ingekuaje.
Hiyo sentensi yako ya kwanza inarudia kile nilichokisema. Nafikiri ulitaka kunipinga kabla ya kusoma kile nilichoandika.
 
Hiyo sentensi yako ya kwanza inarudia kile nilichokisema. Nafikiri ulitaka kunipinga kabla ya kusoma kile nilichoandika.
Mkuu we unafikiri kila nikiku quote basi nakusudia kukupinga,laa hasha.
Bali nimetoa maelezo zaidi kwa ninachofahamu juu ya hili tukio sijalenga kukupinga.
 
Makombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems kwa sababu uelekeo wa msafara wa hayo makombora ni tofauti na drones ama cruise missiles.

Marekani, Uingereza na washirika wengine wa Israel wamezuia zaidi cruise missiles pamoja na drones ingawa Israel pia ilirusha ndege zake za kivita kwenda kufanya interceptions kadhaa nje ya mipaka yake.

Cruise missiles pamoja na drones zinapita usawa wa ndege vita ama chini yake. Ballistic missiles zinasafiri kwa kasi zaidi zikitumia projectile motion, na zinasafiri mpaka anga za juu ama nje kabisa ya atmosphere kabla ya kurejea ardhini kwenye target. Ndio maana idadi kubwa ya ballistic missiles kati ya 120 zilizofyatuliwa na Iran zilifanikiwa kuvuka interceptions za ndege na kukaribia anga la Israel.

Baadhi zilitunguliwa na defense systems za Israel zikiwa outer space kabla hata ya kugeuza uelekeo ili kurudi ardhini. Chache sana ndiyo zilikutana na mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani huko baharini. Huku chache pia zikipenya bila kuleta madhara.

Kwa kifupi, mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel imeonesha uwezo mkubwa dhidi ya hizo ballistic missiles ambazo ndizo zilikuwa hatari zaidi kuliko cruise missiles na drones ukizingatia flight time pamoja na payload delivery. Ni mtu asiyefahamu kinachoendelea kuhusu haya masuala ndiye anaweza kusema Israel haijafanikiwa chochote dhidi ya hayo makombora.
Unatoa hoja kisomi I like it
 
Aise wajinga waliaminishwa kwamba Israel ana nguvu za kijeshi hatari lakini tumeshuhudia wanamgambo wasio na silaha za kisasa HAMAS wanavyowanyoosha Mayahudi kila uchwao hadi wanarudisha wanajeshi nyuma.

So far zaidi ya wanajeshi 2000 wa Israel wameuawa Gaza na hiyo ni takwimu ya Israel wametoa. Kwa maana hiyo ni zaidi ya 4000 wameuawa.

Iran kapiga pale pale kwenye ardhi ya Mayahudi hadi yamebaki kushangaa kinachoendelea.
Kwa
Aise wajinga waliaminishwa kwamba Israel ana nguvu za kijeshi hatari lakini tumeshuhudia wanamgambo wasio na silaha za kisasa HAMAS wanavyowanyoosha Mayahudi kila uchwao hadi wanarudisha wanajeshi nyuma.

So far zaidi ya wanajeshi 2000 wa Israel wameuawa Gaza na hiyo ni takwimu ya Israel wametoa. Kwa maana hiyo ni zaidi ya 4000 wameuawa.

Iran kapiga pale pale kwenye ardhi ya Mayahudi hadi yamebaki kushangaa kinachoendelea.

Kazi kuu ya airbase ni kwaajili ya shughuli za ndege vita.
Ni zipi infrastructure za airbase!?
Umejibu kama mtoto asiyejua maana
 
Makombora yametua ndani ya ardhi ya Israel pamoja na drones. Na zimepiga kambi za kijeshi na kuleta athari kwenye miji ya Tel Aviv na Jerusalem.

Hapo Iran katuma salamu tu ameonya endapo Israel atajibu basi Iran atatuma full dose kwenda Israel.

Na Iran ameonya nchi yoyote itakayoisaidia Israel na Marekani kutumika kama kambi ya kurushia makombora basi Iran ataishambulia nchi hiyo kwakuwa makombora yanatokea huko.
Sijui kati yao nani anasema ukweli maana Israel wanasema wameyadungua yote... wakasema ni kombora moja tu lililomjeruhi mtoto. Lile lililopiga kambi wanasema ni minor damage na ni kambi iko wka desert na wakaachia video kuonyesha bado wanaitumia na dnege ya kviita ikitua aple. Iran wanasema yamesababisha damage. So sijui kati yao nani anasema ukweli maana ni report za pande mbili tofauti.
Ila mimi ni pro Iran sema this time nina mashaka na taarifa hii kwa sababu makombora yamechukua almost saa 8 hadi 9 kufika Israel so yalikuwa yashakuwa tracked kuyadungua ilikuwa ni jambo rahisi. Ndio maana nachelea kusema hawakuwa na lengo la kusababisha damage kwa Israel.
 
Tulia dogo kamikaze drones zaid ya 100 zipo hewani saahizi zinaelekea Tel aviv subiri majibu. Hizo hazitunguliwi na kima yeyote .saahizi ndege ya Netanyahu imeondoka Jerusan
Unakuwaga na mihemko sana mkuu.
 
Sijui kati yao nani anasema ukweli maana Israel wanasema wameyadungua yote... wakasema ni kombora moja tu lililomjeruhi mtoto. Lile lililopiga kambi wanasema ni minor damage na ni kambi iko wka desert na wakaachia video kuonyesha bado wanaitumia na dnege ya kviita ikitua aple. Iran wanasema yamesababisha damage. So sijui kati yao nani anasema ukweli maana ni report za pande mbili tofauti.
Ila mimi ni pro Iran sema this time nina mashaka na taarifa hii kwa sababu makombora yamechukua almost saa 8 hadi 9 kufika Israel so yalikuwa yashakuwa tracked kuyadungua ilikuwa ni jambo rahisi. Ndio maana nachelea kusema hawakuwa na lengo la kusababisha damage kwa Israel.
Pro Iran wa kwanza kuwa na akili chini ya jua.
 
Back
Top Bottom