Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Kauliwa Rais wao mchana kweupe na hawakufanya chochote,Vilio vya Gaza havitasaidia kuzuia Iran isiipige Israel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauliwa Rais wao mchana kweupe na hawakufanya chochote,Vilio vya Gaza havitasaidia kuzuia Iran isiipige Israel.
Sio mwisho wa put in tena wewe na shosti yako @brittanica mnatakiwa mpuuzwe toka useme put in anakufa mwaka Jana upuuzwe tuuu huna hojaHuwo ndio utakuwa mwisho wa Iran na Russian 😢
Aliuliwa nanani na aliuliwa kisa niniKauliwa Rais wao mchana kweupe na hawakufanya chochote,
Muulize ayatollahAliuliwa nanani na aliuliwa kisa nini
Marekani anawacholea Mstari Israel.Hivi israel haiwezi kuyalipua kabla hawajayafyatua? Au intelijensia haifiki mahali yalipo hayo makombora?
Yahaya hoseni kwenye ubora wakoWatapigwa cyber moja takatifu alafu Israel anamaliza
Huna hoja mzayuni wa jfMuulize ayatollah
Insane 😁Huwo ndio utakuwa mwisho wa Iran na Russian 😢
NGOJA WAJE WAYAHUDI WA GEZA ULOLE,CHIMBA UNYE, KULA KWA JASHO, CHALINZE
Maybe they want to keep things a little more interesting. Who knows? Hawa jamaa wawili ni kama wanafurahia mno kumwaga damu.Hivi israel haiwezi kuyalipua kabla hawajayafyatua? Au intelijensia haifiki mahali yalipo hayo makombora?
Hizi Promises ziko ngapi kwani, mkuu? Maana nijuacho mie promise siyo surprise. Sisi watetezi wa taifa teule na taifa tweule tungependa sana kujua ili tujue la kufanya.Kumbuka hii ni Operation True Promise 3. Oktoba 1 ilipigwa True Promise 2 na April 13 ilipigwa True Promise 1. Sema kazi iendelee
Ganja bana.Watapigwa cyber moja takatifu alafu Israel anamaliza
NGOJA WAJE WAYAHUDI WA GEZA ULOLE,CHIMBA UNYE, KULA KWA JASHO, CHALINZE
Mkuu huyo ulomwandikia haya yote una uhakika anahizo akili mtu alisema kama put in atanyongwa na kufa kama Sadam huyu ataelewa koment yako kweli milembe imehamia jf mzee ohooooMental case ipo juu sana mkuu ungewahi matibabu kabla gharama haijawa kubwa sana.
Iran anapambana na entire European countries plus Marekani lakini bado wanamgwaya Iran maana wanajua majibu ya Iran hayana namna yoyote kuyakwepa.
Hivi hutumii hata robo tu ya hizo akili kiduchu unazomiliki kujiuliza vikwazo ilivyowekewa Iran tangu 1979 hadi leo lakini ipo imara na uchumi upo stable vile vile teknolojia ya zana za kijeshi ipo juu.
Vipi kama angekuwa hana vikwazo vyovyote si angekuwa anajiamulia tu ambonde nani kwa wakati gani.
Iran ni taifa imara na madhubuti kabisa huwezi kufananisha na Israel inayotegemea msaada wa fedha, wanajeshi na zana za kijeshi kutoka kwa mabasha zake.😂😂
Iran hana baya siyo watu wa propaganda kama Israel tutaona makombora yanavyo hit target ndani ya Israel live kama ilivyokua Oct 1
View: https://x.com/IranObserver0/status/1851706195024752910?t=VAwXHbX6l1Txz4te1970fg&s=19
Kama watafanya hili itapendeza sana wazayuni wanatakiwa wafe wote au warudi kwao Poland na kwengine huko EuropeThe Iranians are threatening to damage Israel's water desalination facilities:
About 80 percent of the water in Israel comes from the desalination facilities scattered in different areas of Israel. Damage to them would be extremely destructive to Israel.
Wako Wayahudi wa kutoka matundu juu na matundu chini hawa ndio wajukuu kabisa wakina nyau.NGOJA WAJE WAYAHUDI WA GEZA ULOLE,CHIMBA UNYE, KULA KWA JASHO, CHALINZE
Katika historia, milki kadhaa zilijaribu kuangamiza au kutawala watu wa Israeli, na nyingi ya milki hizi hatimaye zilianguka au kuharibiwa. Hapa kuna mifano muhimu:tangu lini tangu kuumbwa dunia ulisikia israeli kafanya taifa fulani kufikia mwisho