Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Kinachokusumbua ni huijui propaganda
 
Kwani ni vibaya kutumia silaha za mshirika?
 
... sijaelewa nini? You were trying to justify what Russia is doing in Ukraine based on what was done in Iraq, Libya, et. al.
America wkt anaua vichanga vya Palestine na Libya mlikuwa mnademka na vikalio vyenu mkifurahia Sana,kisa kule Ni Waislamu, heti leo mlivyo wajinga na wapuuzi mnailaumu Russia kuwa inaua vichanga huko Ukraine, Western wameharibu mentality zenu nyie bastard
 
Hata hawana haja ya kukubali teknojia ya kamikaze zao inapiga kelele yenyewe. Kwani si walisema Iran hata teknolojia yale maonyesho ya silaha zake huwa propaganda na picha zilizokuwa photoshoped mkuu?
 
Halafu una watoto na unahimiza wasome kwa bidii, kama baba ni mjinga kiasi hiki watoto watapata tabu sn
 
Hata hawana haja ya kukubali teknojia ya kamikaze zao inapiga kelele yenyewe. Kwani si walisema Iran hata teknolojia yale maonyesho ya silaha zake huwa propaganda na picha zilizokuwa photoshoped mkuu?

Kupiga makazi ya wananchi na bembea za watoto huwa sio vigumu maana ni maeneo ambayo hayajalindwa kijeshi na ndio maana hadi sasa hawajapiga barrack hata moja licha ya kwamba zipo nyingi. Hata hivyo dawa yao ipo, kwanza Iran ni mnyonge wa Israel na tayari Israel wameanza kutoa tamko, hizo drones zitakua zinatoweka mtashangaa sana wavaa makobaz.
 
... that's what I asked you before; kwamba una furaha tele Russia kukulipizia mauwaji ya vichanga vya Palestine kwa kuuwa vichanga vya Ukraine? That's what you are trying to tell us.
 
Haaa kwa hiyo Israel anapiga kelele kuhusu drone za kawaida ambazo si lolote au sio? Bila shaka Muisrael atakuwa kichaa kuogopa dubwasha
 
Haaa kwa hiyo Israel anapiga kelele kuhusu drone za kawaida ambazo si lolote au sio? Bila shaka Muisrael atakuwa kichaa kuogopa dubwasha

Iran siku zote ni mnyonge wake Israel, kwa hivyo Muisraeli aliposkia Muiran anatajwa akaamua kutoa tamko, na kama kawaida subiri utayaskia, hata kama Iran wanakana hizo drones....ziwe kweli ni zao au sio zao ile tu kwamba wamehusishwa lazima kipodo.
 
Ni silaha gani nyingine waliwahi kuharibu ama kumnyanganya kabisa ukiondoa kuhujumu mpango wake wa nuclear.
Maana yeye ndiye supplier wa silaha kwa hezbollah na hawajaweza kuzuia hilo
 
Ni silaha gani nyingine waliwahi kuharibu ama kumnyanganya kabisa ukiondoa kuhujumu mpango wake wa nuclear.
Maana yeye ndiye supplier wa silaha kwa hezbollah na hawajaweza kuzuia hilo

Iran siku zote kwa Israel hana lolote, ukizingatia ndiye mkuu wa makobaz wote, ndio maana huwa mnachukia Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…