Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Hawez kukuelewa huyo yupo kiushabiki 2 .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umempiga mwanao bomu akiwa kwenye gari ya frank, kukubali tu umepiga wewe ni hadi ufanye uchunguzi wakati Bomu ulirusha mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua nawashangaa sana wanapoleta porojo zao kwanza hata kama angekua anatafta kweli sababu sababu ambazo hua anazitaka US kulishambulia taifa jengine angekua kaishazipata kwa IRAN Ila kiukwel nikwamba jamaa hatamani kabisa kuingia vitani na IRAN Maana Anajua Atakachokutana nacho huko ndani wala hakukitarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Iran limekuwa likikanusha kutungua ndege ya Ukraine toka ilipoangushwa na kuua watu 176, Sasa wanatakiwa kulipa fidia, inasikitisha sana
Trump ndio wa kulipa fidia. Trump ndio aliyesababisha zahma yote hii. Dunia nzima pamoja na wamerekani imenyoshea kidole Trump.
 
sasa kama wanakosea kurusha vikombora mpaka wanaua raia wake ... wataweza kupigana na mmarekani??? kwanza wanaonekana hawana elimu wala ujuzi kuhusu makombora wala hawana shabaha... mmarekani sema tu hajaamua kuifuta iran ktk ulimwengu.... wairani wajinga sana... ndiyo kisasi gNi hicho sasa
 
UN Washenzi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani lini IRAN Alitangaza Vita Against US IRAN Hanashida Na Mtu Ila US Akileta Pua 2 Atachakaa Maana Atateseka Mnoooo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.

Naona watu wanajisahaulisha au hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unaona ni sahihi kulipizia alichokifanya marekani?. Utaonaje ufahari kulipiza ya marekani huku raia wako mwenyewe zaidi ya 82 wako kwenye hiyo ndege?. Ulichokiongea hapo ni sawa na mwaka jana mtu kutoka kijiji cha mbali akaua ng'ombe wa jirani yako pamoja na ng'ombe wako wapatao 30. Mwaka huu wewe unalipiza kisasi kwa kuua ng'ombe wa jirani 12 na wa kwako mwenyewe ng'ombe wapatao 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakumbuka mwaka 1978 wakati ndege ya shirika la ndege la Iran ilipopigwa kombora na manowari za Kimarekani ?
 
Upuuzi akifanya US sawa Ila Akifanya URAN(IRAN) Kakosea

Haya baada ya Kuua Hao watu Pamoja Na Osama Huyu Osama Mwengne Waluokuja Kumuua 2000s kisanii bila kutuonesha hata ishahidi kamili alikua katokea wap ?!
Kwani mbona Iran iliwaua maelfu ya waandamanaji wa nchi yake mwenyewe...nini kinashindikana??ndege ina ina abiria 200 akiwemo Osama wewe kama US unafanyaje?? Its called collateral damage
US=Wauaji Nambari Moja Ulimwenguni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nahisi hakuna Ndege Inayotunguliwa Kimakosa Kama Sio AJALI Hua Wanadhamiria Kabisa Kuuwa Watu Waso Hatia Kipuuzi Sasa Sijaelewa Kama Hapo IRAN Majorty Ya Abiria Walikua Wao Imekuaje Ndege Wakairipua Kuna Jambo Lipo Nyuma Ya Pazia Hapa Wakati Utatupa Majibu
Huwezi piga kitu kinachotembea km800 kwa saa kimakosa. Walidhamiria

Sent using Jamii Forums mobile app
Siungi Mkono Kwahili Utawala Wa IRAN Umeua Watu Bila Hatia [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwewe cha kumuogopa marekani anaanza kutungua ndege za abiria ndani ya nchi yake na raia wengi ndani ya ndege hiyo walikuwa wairan
 
Unafananisha drone na maisha ya watu?

Hawa wajinga wanajilupua wenyewe kwa ujinga wao, hawa ni kuendelea kuwawekea vikwazo tu bado hawajitambui.
Kwan drone ni Gari Mimi Sijaongelea Maisha Ya Watu Maisha Yawatu Iwe Makusudi Ama Bahati Mbaya Yanadhamani Kuliko Kitu Chengne


Vikwazo Ndio Njia Yenu Pekee Mnayoweza Pambana Na IRAN Maana Hamuna Njia Nyengne Sababu Mnajua Na Kuelewa Wazi Kabsa Yakwamba Jamaa Kijeshi Hamumuwezi...[emoji23][emoji16][emoji4][emoji1][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…