Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Hahah Iran ikithubutu kujibu mashambulizi yoyote yale tutatoa kichapo hakijawahi kuonekana-Trump.

Baada ya Mashambulizi kujibiwa Trump akaishia kuandika huko twitter ALL IS WELL, hahah mpk leo amekula kona.

View attachment 1319423

dodge
Lengo lilikuwa KUMUUA kasim selemani, mission accomplished [emoji123][emoji106]
Kadanganya wapi?
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuwekewa ushahidi wa video ulio wazi kabisa wameshindwa kuendelea kubisha, wamekiri ilikuwa bahati mbaya, nimesikitishwa sana na tukio hilo
We ni nani mpaka usikitishwe sana?Waliosikitishwa sana ni wale waliopoteza wa karibu Wao.
 
Hahah Iran ikithubutu kujibu mashambulizi yoyote yale tutatoa kichapo hakijawahi kuonekana-Trump.

Baada ya Mashambulizi kujibiwa Trump akaishia kuandika huko twitter ALL IS WELL, hahah mpk leo amekula kona.

View attachment 1319423

dodge

So Tukaishia kutungua Ndege na kuua raia wetu wenyewe siyo? Hata ningekuwa mimi ningesema “ALL IS WELL”
 
Jeshi la Iran limekuwa likikanusha kutungua ndege ya Ukraine toka ilipoangushwa na kuua watu 176, Sasa wanatakiwa kulipa fidia, inasikitisha sana
Sawa watalipa fidia lakini maumivu kwa familia za waliopoteza maisha hayaponyeki. Iran wamef a nya bonge la blunder.
 
Ndio maana Trump alikazia sana na kusema ‘waseme tu ni ajali kazini


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wamekiri kwamba ni bahati mbaya.

Mimi siwaelewi hawa wamarekani weusi wanaosema Iran aadhibiwe vikali wanasahau kuwa mmarekani naye alishawahi kubomb ndege tena yenye abiria 290 airbus 300 na abiria wote walikufa.

Lakini hatukusikia kuwa US amepigwa vikali na mataifa mengine...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisjaingia nchi ya watu wakiamua kukuua huwezi kukwepa. Kwani umeambiwa yule general aliuawa akiwa Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unataka tumuamini marekani ambaye meli yake yenye sailors 900 ilizamishwa halafu akasema hamna kifo chochote kilichotokea halafu wiki 2 baadae yakatokea yale ya hiroshima na nagasaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…