Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Tambua hiyo mitambo inaongozwa na binadamu kwa hiyo suala la kukosea ni jambo la kawaida.
Hata marekani mnao msifu kuwa na ujuzi wa hali ya juu alisha itungua ndege ya abilia kimakosa sijui na yeye tusemeje.
Wewe mbona huumizi kichwa kufikiri?
Marekani hajawahi kuua raia wake, alitungua ndege ya Iran, ila Iran katungua ndege na kuua raia wake, Hebu ukimbie ujinga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko temeke ndani huko na tochi yako una eti unawaza kuwa kwanza uwezo wa Iran ni mdogo, wakati NATO walitoroka Iraq bila kutaka Acheni mahaba mnapocomment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama walivyoliwa wanajeshi 80 kiukweli us haamini anachokumbana nacho kutokea IRAN.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhaifu NATO wamesepa wakitaka wasitake je likiwa strong si utakuja kujinyonga? Yaani ww huko ata Chai ya mkandaa hujanywa eti unaita Iran dhaifu wakati Marekani mwenyewe anaharisha huko, Acheni kutujazia sever kwa upuuzi wenu kama huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…