CaptainRobinMorgan
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 103
- 261
Hiki kitu kinafanana na kile kilichopelekea MV bukoba ikazamishwa.... Mle ndani alikuepo zaidi ya mtu katika ulimwengu wa ujasusi na ugaidi...huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua
Thinking aloud!
Linasikitisha, hata hivyo ni tukio lililotarajiwa kutokea kwa ndege yoyote kupaa angani katika wakati huo. Sio tukio la kwanza, warusi walishawahi kutungua mdege kwa bahati mbaya wakidhani ni ndege ya jeshi la marekani inawachunguza, na wamarekani pia washafanya kosa kama hilo.Baada ya kuwekewa ushahidi wa video ulio wazi kabisa wameshindwa kuendelea kubisha, wamekiri ilikuwa bahati mbaya, nimesikitishwa sana na tukio hilo
Acha upuuzi tume ilitoa ripoti ni waasi wanaosaidiwa na russiaNarudia kusisitiza. Waasi wa Ukraine ndo walitungua ile ndege wala sio Russia. Zilizotumika ni missiles zilizonunuliwa Russia miaka hiyo ya zamani. Yani wewe unataka kusema ukikamatwa na AK-47 basi unakuwa raia wa Russia.
Narudia kusisitiza. Waasi wa Ukraine ndo walitungua ile ndege wala sio Russia. Zilizotumika ni missiles zilizonunuliwa Russia miaka hiyo ya zamani. Yani wewe unataka kusema ukikamatwa na AK-47 basi unakuwa raia wa Russia.
Sio jeshi dhaifu, mpaka kukiri inaonyesha ni washupavu! Vipi hii ya USA? View attachment 1319596View attachment 1319597
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe. US walisema wanasubiri wana shaka huenda imepigwa kimakosa lkn hawakuwa na uthibitisho. Ww unafikiri US peke yake ndio ana satelite?The US sees everything from above. Waliona kuanzia mwanzo na walisema kuanzia mwanzo Iran akawa anabisha.
Bado hajaamka na pia keshampa Iran vikwazo jana. Leo anatulia kwanzaHivi Trump hajaamka tu ? Mliopo Twitter mtatujulisha leo atareact vipi baada ya Iran kukubali.
Walibomoa ukuta tu pale teh! teh! Ni hasara iliyoje, kutumia makombora ya mabilioni kubomoa ukuta wa laki mbili!! Huku kombola lingine likienda kuua wairan 145 Kwa kweli Iran kaanza mwaka vibaya.Kama walivyoliwa wanajeshi 80 kiukweli us haamini anachokumbana nacho kutokea IRAN.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichofanyika ni ndege iruke pale airport ukonga halafu jeshi airwing au lugalo hapo hapo mjini wadungue. Ni kuchanganyikiwa tu hakuna lugha nyingine.Linasikitisha, hata hivyo ni tukio lililotarajiwa kutokea kwa ndege yoyote kupaa angani katika wakati huo. Sio tukio la kwanza, warusi walishawahi kutungua mdege kwa bahati mbaya wakidhani ni ndege ya jeshi la marekani inawachunguza, na wamarekani pia washafanya kosa kama hilo.
Ni kosa limefanywa kwa bahati mbaya, lengo lilikuwa kujilinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah US finally nae atakimbia tu mziki wa Iran.
dodge
Sasa umepinga nini? Hizo siraha zilitekwa na waasi walipovamia maghala ya silaha uko Donbass sasa Russia anahusika vipi. Yani unataka kusema Russia alifyatua makombora kutungua ile ndege, au unadhani crew ilikuwa imekunywa mbege kama walivofanya U.S mwaka 1988.
Polite language. Are you really following this up?Acha uongo wewe. US walisema wanasubiri wana shaka huenda imepigwa kimakosa lkn hawakuwa na uthibitisho. Ww unafikiri US peke yake ndio ana satelite?
Sent using Jamii Forums mobile app
OKHiki kitu kinafanana na kile kilichopelekea MV bukoba ikazamishwa.... Mle ndani alikuepo zaidi ya mtu katika ulimwengu wa ujasusi na ugaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitu kinafanana na kile kilichopelekea MV bukoba ikazamishwa.... Mle ndani alikuepo zaidi ya mtu katika ulimwengu wa ujasusi na ugaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
..itakuwa ni faida kubwa kwa usa.
..mavita yasiyokuwa na mwisho hayamsaidii chochote mwananchi wa kawaida wa usa.
..matrilioni waliyopoteza ktk vita vya iraq na afghanistan yangeweza kufanya mambo ya maendeleo ndani ya Marekani au kwa majirani zake wa Marekani ya Kusini.
Na Big Money behind war 'Military Complex Industry' wamuachie nani?
dodge
Upuuzi gani wakati umesha ambiwa ni makosa ya kibinadamu?wewe vip?
Wajinga hao ata Wale toka Kanada ni Wakanada wenye asili ya Iran,wengi ni wale wakimbizi au watoto wa wairan wakimbizi waliozaliwa KanadaView attachment 1319052
Hiki ndo alichokifanya Iran, raia wako 82 unawaua Kwa mihemko