Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua

Thinking aloud!
Hiki kitu kinafanana na kile kilichopelekea MV bukoba ikazamishwa.... Mle ndani alikuepo zaidi ya mtu katika ulimwengu wa ujasusi na ugaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuwekewa ushahidi wa video ulio wazi kabisa wameshindwa kuendelea kubisha, wamekiri ilikuwa bahati mbaya, nimesikitishwa sana na tukio hilo
Linasikitisha, hata hivyo ni tukio lililotarajiwa kutokea kwa ndege yoyote kupaa angani katika wakati huo. Sio tukio la kwanza, warusi walishawahi kutungua mdege kwa bahati mbaya wakidhani ni ndege ya jeshi la marekani inawachunguza, na wamarekani pia washafanya kosa kama hilo.

Ni kosa limefanywa kwa bahati mbaya, lengo lilikuwa kujilinda na kuwalinda wananchi wa Iran. Makosa haya ni ya kawaida kabisa wakati wa vita au tension kubwa. I know Iran ilikuwa under very high alert siku hiyo na siku kadhaa zinazofuata. Siwatetei, wanayo makosa, walitakiwa kulifunga anga lao for at least 48 hours kuanzia operesheni ilivoanza ili kuepusha misidentification

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia kusisitiza. Waasi wa Ukraine ndo walitungua ile ndege wala sio Russia. Zilizotumika ni missiles zilizonunuliwa Russia miaka hiyo ya zamani. Yani wewe unataka kusema ukikamatwa na AK-47 basi unakuwa raia wa Russia.


Sasa si ndio unaniunga mimi mkono, huyo ndugu alisema ni vigumu au sio kazi rahisi kutungua ndege, mimi nikamwambia kuwa kuna vyombo vya kisasa maalumu vya kutungulia ndege hata ikiwa maelfu ya feet angani inatunguliwa kirahisi, mfano ni hiyo ndege (uliyoitaja) ya Ukraine iliyotunguliwa na Waasi wa Ukraine waliosaidiwa na Russia.
 
Kama walivyoliwa wanajeshi 80 kiukweli us haamini anachokumbana nacho kutokea IRAN.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Walibomoa ukuta tu pale teh! teh! Ni hasara iliyoje, kutumia makombora ya mabilioni kubomoa ukuta wa laki mbili!! Huku kombola lingine likienda kuua wairan 145 Kwa kweli Iran kaanza mwaka vibaya.
1. General na wenzake chali.
2. Raia 56 chali kwa kukanyagana msibani.
3. Wairan 145 chali kwenye ndege.
4. Makombora ya gharama kuambulia kubomoa ukuta wa laki mbili.
5. Kombora lililogharamikiwa kwa kodi ya wairan kutumika kuua walipa kodi wenyewe.

Ukiangalia hii hasara yote ya Iran imesababishwa na drone ya US iliyokuwa operated na mwanamke. Mwanamke wa kimarekani kaleta kilio kikuu kwa taifa la Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linasikitisha, hata hivyo ni tukio lililotarajiwa kutokea kwa ndege yoyote kupaa angani katika wakati huo. Sio tukio la kwanza, warusi walishawahi kutungua mdege kwa bahati mbaya wakidhani ni ndege ya jeshi la marekani inawachunguza, na wamarekani pia washafanya kosa kama hilo.

Ni kosa limefanywa kwa bahati mbaya, lengo lilikuwa kujilinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichofanyika ni ndege iruke pale airport ukonga halafu jeshi airwing au lugalo hapo hapo mjini wadungue. Ni kuchanganyikiwa tu hakuna lugha nyingine.

Mifano yako inafanana zote zilidunguliwa. Lakini sio wapigaji wawepo hapo hapo mjini ndege inaanza safari.

Wanaulizwa kwanini wasitoe taarifa ndege za abiria zisiruke jibu ni bahati mbaya na yote trump kasababisha.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah US finally nae atakimbia tu mziki wa Iran.



dodge

..itakuwa ni faida kubwa kwa usa.

..mavita yasiyokuwa na mwisho hayamsaidii chochote mwananchi wa kawaida wa usa.

..matrilioni waliyopoteza ktk vita vya iraq na afghanistan yangeweza kufanya mambo ya maendeleo ndani ya Marekani au kwa majirani zake wa Marekani ya Kusini.
 
Acha upuuzi tume ilitoa ripoti ni waasi wanaosaidiwa na russia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umepinga nini? Hizo siraha zilitekwa na waasi walipovamia maghala ya silaha uko Donbass sasa Russia anahusika vipi. Yani unataka kusema Russia alifyatua makombora kutungua ile ndege, au unadhani crew ilikuwa imekunywa mbege kama walivofanya U.S mwaka 1988.
 
Na Big Money behind war 'Military Complex Industry' wamuachie nani?
..itakuwa ni faida kubwa kwa usa.

..mavita yasiyokuwa na mwisho hayamsaidii chochote mwananchi wa kawaida wa usa.

..matrilioni waliyopoteza ktk vita vya iraq na afghanistan yangeweza kufanya mambo ya maendeleo ndani ya Marekani au kwa majirani zake wa Marekani ya Kusini.

dodge
 
Na Big Money behind war 'Military Complex Industry' wamuachie nani?

dodge

..wanaweza kuuza silaha kwa wapenda vita lakini siyo wao wenyewe kupigana vita hizo.

..wajifunze kilichomtokea Soviet Union kwa kupigana vita isiyokwisha Afghanistan.

..Wanahistoria wanasema Afghanistan na mashariki ya kati ni "grave yard" ya himaya kubwa duniani. Kila mkubwa aliyejaribu kuwaingilia kijeshi aliishia kusambaratika.

..Marekani anapaswa kuwekeza nchini kwake na kwa majirani zake.

..Angewekeza kwa majirani zake asingekuwa anasumbuliwa na masuala ya wahamiaji.

..Pia tatizo la madawa ya kulevya lisingekuwa kubwa, kiasi kikubwa cha madawa yanayoingia usa kinatokea amerika ya kusini.
 
Upuuzi gani wakati umesha ambiwa ni makosa ya kibinadamu?wewe vip?

Makosa Ya Kibinadamu? Kwani nani alisema hayo mabomu yanalindwa na Ngamia.Kwanza watu wengi waliokuwemo umo ni karibu wote Wairan,Ata wale Wakanada wanaowasema ni Wairani Wakimbizi wanaoishi Kanada
 
Back
Top Bottom