Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

IRAN hata sisi tuna imudu basi tu watu wamezidisha mahaba
 
Hawa Iran wapuuzi kweli kwa hali ile ya tahadhari walipaswa watambue anga yao yote ipo monitored. Wenyewe wakajifanya wapuuzi kuitingua ndege kisha kukana.

Baada ya kupewa tips kuwa wanenda kuwa exposed,wakaone heri wajisalimishe.

Naona timu Iran wote wanaunga mkono utunguaji huu wa ndege na kuua abiria wote,tena wengi wakiwa ni raia wa nchi yao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vipi kunguru kumnyea mwanadamu huwa makusudically!!??

Kwakuwa wamesema wataruhusu uchunguzi huru! Basi tusubiri matokeo!
 
Pale mbongo mwenzetu aliyepo pale kasulu,kigoma anaposhauri wanajeshi wa Iran.
dodge
 
Ndugu kwa hiyo hoja yako ni Iran imeiangusha makusudi au?
 
Hakuna anaye shabikia mauaji lakini ni makosa ya kibinadamu na Iran sio nchi ya kwanza kufanya kosa la namna hiyo makosa kama hayo huwa yanatokea.
 
Ndio swali wanatakiwa wajibu waajemi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama waneitungua makusudi basi si bure maana nasikia ilipita karibu kabisa na eneo nyeti la kijeshi.
Maana nilisha soma makara moja hivi ata usoviet ilisha idungua ndege ya abilia katika mazingira kama haya wenda kuna kitu sio bure.
 
mu Irani ana wenge balaa

Na hapo bado kombora LA mMarekani halijafyatuliwa tayari wamepaniki

Vita ikianza atapigana Ayatollah pekee yake...maana askari wake wana "human error" kiasi watamalizan wao kwa wao



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…