Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine


Kwa maana hiyo ni kama walishapoteza confidence na walikuwa disorganized kiasi kwamba kila mtu alikuwa anafanya maamuzi yake! Sasa ktk scenario kama hii,wao ndio waliamua “kulipa kisasi” nilitegemea maamuzi hayo yangeandamana na utayari wa kila nyanja ktk maamuzi,vipi kama kweli US angeamua kujibu tena,si ingekuwa disaster?
 
Well said
Sent using Jamii Forums mobile app
 
thank you sir, you have nailed it
 
Hahaha ...kwa Iran sina shaka kabisa kuwa ile ndege haikulipuliwa kwa bahati mbaya ....watu walikuwa kazini na walishtuka kuwa kuna ma-spy wametumwa

Ila kwa Hiyo issue ya tz na tetemeko ..Aisee hahaha acha nicheke ..tz hii hii ambayo bado iba struggle kupambana na kipindu pindu.malaria .na usambazaji wa maji safi na umeme ndio tuwe na Hiyo tech ya kutengeneza Tetemeko .....!!!!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran amejichanganya kimahesabu. Wenzake wanamtengeneza wapate uhalali wa kisheria kumpiga, Iran yenyewe inawasaidia watakaoipiga kuupata uhalali huo.
 

disorganized and confused as well !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀mwanamke mwenyewe alikuwa kwenye fukwe za Miami akipunga upepo, huku akichezea laptop , thousands mile away drone ikimchakata mtu kisawasawa bila kukosea na bila kuua innocent people
 
Tehran: Kuna taarifa za kuzuka kwa maandamano ya raia mjini humo kutokana na kitendo cha serikali kukiri kuhusika kuiangusha ndege ya Ukraine.

Taarifa zaidi zitawajia.
 
haihitaji hesabu hizo za projectile unazozingumzia!!! coz vifaa vingi vya utunguaji vina uwezo wa kuifuata ndege kutokana na radiation ambazo ndege emit!!! so kombora lina uwezo wa kuvutwa na baadhi ya radiation!!! thus kukosea inawezekana. na ndio maana pia kuyatengua inawezekana hata kama lisharushwa.
 
Licha ya kuwa na majasusi iliruka wakati ambao makombora ya Iran yaki tokea aridhini!!
Ndege nyingi hutumika kupiga picha!!
Makombora ya Iran ni Siri kubwa sana mengi hurushwa kutoka aridhini na haijulikani yapo kwenye mapango ya milima gani!
Nadhani walipo gunduwa kuwa kuna ndege imeruka wakati makombora yakitoka aridhini wakaona hakuna jinsi zaidi ya kuishusha!!!
Note Irani wamesha sema kwenye black box sehemu ya kumbu kumbu imeunguwa! Maana kukitoa kikiwa na kumbu kumbu kutunguwa ndege inakuwa haina maana!
Kumbuka adi leo makombora yaliyo piga vituo vya mafuta vya Saudi Arabia hayajulikani yalitokea sehemugani!
Pia yaliyoiga base ya marekani huko Iraq adi Iran walipo sema tumepiga sisi haikujulikana yametikea pande gani licha ya kutoa tarifa kuwa itazipiga base za marekani!
Irani sio ya kuchukulia poa!
 

Mwenye uwezo wa kukuwekea vikwazo ni mbabe kuliko wewe vinginveyo ungemuwekea yeye. It's as simple as that.
 
Hii kitu ni kama picha la kihindi hivi

1. Marekani inaua watu 2, Jenerali Qasseim na mwenzake.

2. Iran inakasirika na kuzipiga kambi za marekani, makombora hayauwi mtu na mengne hayalipuki kabisa.

3. Iran wanamzika Jenerali qasseim, watu 56 wanakufa kwa kukanyagana hapo msibani.

4. Iran ikiwa tayari kujibu shambulio lolote la marekani, mara wanaona ndege inakatiza usawa wa kambi zao za jeshi, wanaitungua na kuua watu 176 wakiwemo raia wa irani 82.

5. Iran inaondoa haraka mabaki eneo la tukio, kabla ya uchunguzi kufanyika.

6. Baada ya siku 3 za kukataa kuhusika kulipua ndege hiyo ya abiria, Iran inakiri kuipiga ndege kimakosa,na kuahidi kuadhibu wahusika.

7. Jumla ya raia wa iran waliopoteza maisha kwenye kadhia hii hadi sasa ni 140 (2+56+82).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo specifically walirusha bom la utunguaji...kwahiyo bado sio bahati mbaya
 
Ukisjaingia nchi ya watu wakiamua kukuua huwezi kukwepa. Kwani umeambiwa yule general aliuawa akiwa Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kumuua raia wa Marekani kiboya hivyo achilia mbali kiongozi yeyote yule wa juu. Uwezo wa Iran mdogo sana hawa ni level za Malawi
 


Yesu badala ya kuulaani ule mti (fig tree) kule Bethany ni bora angekuwa anawalaani watu kama nyie kwa kuzua uongo na uzandiki bila aibu kwa kula kiapo kwa Mungu, wewe unadhani Mungu ni mjomba wako??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…