Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine


Ni rahisi sana kutungua ndege ya abilia kama unavifaa ata vya zaman
Ata sisi watanzania tulitungua ndege za Uganda za kutosha tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaha duh kweli mnajua kujilisha mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waajemi walipokataa tu kukabidhi kale kaboksi mchezo uliishia palepale, vizungu havidanganyi kwenye suala la teknolojia wapo vizuri kiukweli
 

Me nakuletea theories tu mkuu.
Theory ya pili inasema inawezekana ndege ilibeba sensitive information kwa usiri/usalama wa yanayoendelea Iran/Iraq. Hasahasa kwenye ile timing ya missile walizorusha.. Iran had no choice but to bring it down.
 
Walijaribu kuficha ushahidi imeshindikana, jana Ukraine walilalamika Iran anaondoa mabaki ya ndege kabla wachunguzi wake hawajafika eneo la tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh teh uchunguzi wa Kazi gani hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchunguzi ni lazima ufanyike thou hautakuwa sawa na kama wasingekiri. Uchunguzi wa mwanzo ulikuwa unapanua scope ya kinachochunguzwa kwa sasa umekuwa narrowed kwasababu chanzo kimeshajulikana. Hivyo uchunguzi ni je kweli imetunguliwa kwa bahati mbaya au kulikuwa na makusudi?
 
Uko sahihi kabisa mkuu US kwasasa anaelekea kukosa ushawishi tena ulimwenguni hususan nchi za magharibi ambao ndo washirika wake wakuu
USA ni kubwa jinga la dunia, siku zote linahangaikia kulinda ukubwa wake "by hooks or crooks"--- limeshikwa na taharuki na kuweweseka baada ya China kuja juu kiuchumi linaona ukubwa wake sasa unaelekea "finito".
 

..wakati wa vita makosa hutokea.

..Tz tulitungua ndege yetu wenyewe wakati wa vita vya Kagera.

..pia tulifanya makosa ya kurubuni ndege ya mizigo ya Wabelgiji itue Mwanza badala ya Entebe tukidhani tulikuwa tumerubuni ndege ya kijeshi ya mizigo ya Walibya.

..makosa hutokea.
 
Mkuu unaisimulia ndege utafikili ni gari lile, rubani anaamua tu sasa hivi naua route napitia kwa mtogole, 🤣🤣🤣
 
Hivi kwanini watu wanajidanganya eti USA anatafuta visingizio vya kuingia vitani na Iran wakati miaka yote Hana muda wakutafuta sababu wala visingizio akitaka kuvamia popote anavamia bila hata idhini/kibali cha UN.Ukweli ni kwamba anaihofia sana Iran anajua sio mtu wa mchezo mchezo wala hatanii akienda kichwa kichwa atatolewa kamasi.
Sasa ni wakati muafaka wakuunganisha dots,game limakaribia kumalizika,
 
Kwahiyo hapo lengo la Iran ni kuuwa raia wake ambao ndo wengi waliokufa kwenye ajali hiyo.
 
President Trump has changed the world! 10 years ago they could celebrate on the streets that we have killed kafiri! To distance themselves from this barbarism...it seems we are getting somewhere!!
 
Me nakuletea theories tu mkuu.
Theory ya pili inasema inawezekana ndege ilibeba sensitive information kwa usiri/usalama wa yanayoendelea Iran/Iraq. Hasahasa kwenye ile timing ya missile walizorusha.. Iran had no choice but to bring it down.

HAHAHAHA
WE JAMAA KIBOKO!!
 
Wairan wa kwa Mtogole leo wanahaha mno kutetea hili,aibu kubwa sana hii, unaua raia wako 82,na wale 63 wa Canada wenye asili ya Iran,maana yake kaua karibu raia wake wote
Ha ha 83+63 iran Yaani hata wakati wa vita vya Idi Amin kuna wakati Tanesco walikuwa wanazima umeme usiku kwa ajili ya operation za kijeshi pale Morogoro, Big Up sana TPDF Wapiganaji wakati ule sikuwaelewa nili laani sana.

Mihemuko na kujichanganya wanakuta manati wanageuza nyuma mbele, mbele nyuma halafu wanaanza kushangaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…