Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye.
Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi yao ni Misri na Marekani.Hiyo ndiyo sababu juhudi kubwa za kidiplomasia zimefanyika kuizuia Iran kutekeleza ahadi yake hiyo.
Kwa upande wake Iran habari za awali zimeonesha imekubali kusitisha kulipiza kisasa kwa ahadi kuwa Israel itaacha kuendelea kushambulia Gaza na kusitisha vita moja kwa moja.
Misri imependelea hatua hizo za usitishwaji wa vita kwa sharti la kuondolewa majeshi ya Israel kwenye kipande cha mpaka na Gaza kinachojulikana kama philadephi Corridor