Nina mashaka na Russia baada ya kufika Iran kuna vitu kagundua na kuwaambia wahold back, maana yeye ni mjuzi zaidi.
Nafikiri Russia kaona mapungufu mengi kiasi cha kuanzisha vita na Israeli/USA + allies gharama yake itakuwa kubwa sana.
Sasa ni wazi Mrusi atakaa pale kuset mambo ikiwepo mfumo wa kujilinda angani, kuwawekea nuke vizuri, supersonic missiles, naval ship zao.
Kwa yanayoendelea Duniani Kwa sasa, Iran ni allies mzuri kwa Russia, China na North Korea, hivyo ni vyema awe equiped na military hardware za kutosha, technolojia na wataalam ili awe strong zaidi.
Ni maoni yangu.