Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

Kuna wajinga watakwambia Iran kaufyata.
Iran naona kashalipa kisasi chake kwa wahusika kupitia Proxy wake.
Galilaya raia na askari wamedhurika juzi kwa mashambulio mawili ya Hizbollah,kitu kilichofanya serikali ya Israel iwahamishe raia wote kiusalama.
Pia kambi ya Ain Al Assad imekula chuma na majeruhi 7 wa jeshi la USA kupatikana.
Si hivyo tu,inasemekana pia Syria sehemu zichimbwazo mafuta na US vikundi vya jadi vya Syria vimepashikilia.
In short Iran keshalipa kisasi ila MABWEGE HAWAWEZI KUELEWA.
Ulisema jana kwamba Hezbollah waliua askari 17 wa IDF, hiyo habari uliitoa kwenye chanzo kipi?
 
Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye.
Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi yao ni Misri na Marekani.Hiyo ndiyo sababu juhudi kubwa za kidiplomasia zimefanyika kuizuia Iran kutekeleza ahadi yake hiyo.
Kwa upande wake Iran habari za awali zimeonesha imekubali kusitisha kulipiza kisasa kwa ahadi kuwa Israel itaacha kuendelea kushambulia Gaza na kusitisha vita moja kwa moja.
Misri imependelea hatua hizo za usitishwaji wa vita kwa sharti la kuondolewa majeshi ya Israel kwenye kipande cha mpaka na Gaza kinachojulikana kama philadephi Corridor

Iran mulls scrapping plans to take revenge on Israel in exchange for a Gaza ceasefire

Nikishasema hakuna vita hapo Kwa sababu Mikwara ilizidi.
 
Kuna wajinga watakwambia Iran kaufyata.
Iran naona kashalipa kisasi chake kwa wahusika kupitia Proxy wake.
Galilaya raia na askari wamedhurika juzi kwa mashambulio mawili ya Hizbollah,kitu kilichofanya serikali ya Israel iwahamishe raia wote kiusalama.
Pia kambi ya Ain Al Assad imekula chuma na majeruhi 7 wa jeshi la USA kupatikana.
Si hivyo tu,inasemekana pia Syria sehemu zichimbwazo mafuta na US vikundi vya jadi vya Syria vimepashikilia.
In short Iran keshalipa kisasi ila MABWEGE HAWAWEZI KUELEWA.
Hahahahahahahaha...mbona hukusema ndo kisasi Cha Iran ili tukucheke?Leo kaufyata ndo unajiokotezea tu vitukio ili kuifariji nafsi
 
Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye.
Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi yao ni Misri na Marekani.Hiyo ndiyo sababu juhudi kubwa za kidiplomasia zimefanyika kuizuia Iran kutekeleza ahadi yake hiyo.
Kwa upande wake Iran habari za awali zimeonesha imekubali kusitisha kulipiza kisasa kwa ahadi kuwa Israel itaacha kuendelea kushambulia Gaza na kusitisha vita moja kwa moja.
Misri imependelea hatua hizo za usitishwaji wa vita kwa sharti la kuondolewa majeshi ya Israel kwenye kipande cha mpaka na Gaza kinachojulikana kama philadephi Corridor

Iran mulls scrapping plans to take revenge on Israel in exchange for a Gaza ceasefire

Hamna lolote Mkuu hizo ni ngojera za Western na US. Kipigo kipo pale pale Nasurlah ndio wakumsikiliza na Abul Malik Badour Al Din Al Houth hao wawili Wamesema Iran atalipa.
 
Naona wabongo mnachukulia mambo serious kama vita simple simple kwa hisia as ushabiki wa mpira. Israel ni kama mtoto mtukutu mwenye wazazi overprotective. Toto limecheza na watu hatari watafuta shari kitu kilichopelea hao watu kupata leverage waliyoitaka, kinachobaki ni kucheza game ya maneno or shit escalating to chaos. It's a highly profitable negotiation.

Nashangaa hawa wanaosema Iran "kaufyata" wakati in a war strategical point of view hii ni absolute win kwa Iran.
 
Israel haiwezi kusitisha vita hata iweje!
Then wanarisk kitu kikubwa kama hata mume wake USA anaogopa an all out war and direct chaotic confrontation. Wamarekani wengi wamechoka kuona pesa zao zinamwaga kwenye nchi nyingine. That's why huyo hypocritical superpower anayejitia ubabe anaomba negotiations. Au unadhani hayo mabilioni yanachapishwa tu?
 
Iran kama mbwa koko tu, hana lolote, eti vita uombwe usipigane? Vita mtu akiamua anaombwaga? Iran hakuna kitu zaidi ya kelele za chura tu, na niseme kabisa, Israel lazima watamtungua Ayatollah, na Israel juzi kaapa kabisa lazima watamuondoa Mkuu mpya wa Hamas, na Ayatollah najua halali anajua hawa wakata roho wako nae pale Tehran na hatari sana, ogopa mtu ana akili mara mil 1 zaidi yako
Naona unatumia hisia za kidini badala ya objective facts.

"Ogopa mtu mwenye akili mara mill 1 zaidi yako?" Au "Mtu anayetegema misaada kutoka Marekani?" Hitler anacheka huko kaburini sababu yeye alisema wayahudi ni Mapanya. Bila shaka wewe ni mmoja wa wanaodhani hao wapenda sifa wameteuliwa na Yesu.
 
At list israel ndio ingeomba iran tofauti na hapo ni kuufyata. Israel kawapiga iran halaf kanyamaza. Iran imejibu kwa kuongea tu
Israel hawaja-confirm wala ku-denie madai ya assassination. Unadhani kwanini?

They fucked up and they know it.
 
Back
Top Bottom