chanzo cha habari?Si nasikia huko wadukuzi wa iran wamedukua mfumo wa jeshi wa israel na wa uwanja wa ndege wa ben gurion tel aviv..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chanzo cha habari?Si nasikia huko wadukuzi wa iran wamedukua mfumo wa jeshi wa israel na wa uwanja wa ndege wa ben gurion tel aviv..?
Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa. Ili iweje sasa au ndivyo visasi vyenyewe hivyo vilipofikia..🤣🤣🤣Si nasikia huko wadukuzi wa iran wamedukua mfumo wa jeshi wa israel na wa uwanja wa ndege wa ben gurion tel aviv..?
Unateseka ukiwa wapi shehe..🤣🤣🤣Bila israhell kutoweka dunia isahau kuwa na amani
Tatizo hawa jamaa wana mbwembwee nyingi,mara bendera nyekundu sijui nini, 🗑️, debe tupu.Ha ha ha! Hiyo ndio maana halisi ya kuufyata! Jamaa kwa mipasho ya khanga moko nimewakubali.
Mbona juzi drone za Hizbollah Israel hawakuziona?Kwa nini hua drones za Israeli hawazioni?🤣🤣🤣
Nilijua tu kuwa hatoshambulia. toka aliposema atarusha mabomu sijui 1500 nikajua huyu anaiogopa vita ya moja kwa moja anawataarifu ili akiyarusha wayatungue kama ile show yake ya mwanzoNchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye.
Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi yao ni Misri na Marekani.Hiyo ndiyo sababu juhudi kubwa za kidiplomasia zimefanyika kuizuia Iran kutekeleza ahadi yake hiyo.
Kwa upande wake Iran habari za awali zimeonesha imekubali kusitisha kulipiza kisasa kwa ahadi kuwa Israel itaacha kuendelea kushambulia Gaza na kusitisha vita moja kwa moja.
Misri imependelea hatua hizo za usitishwaji wa vita kwa sharti la kuondolewa majeshi ya Israel kwenye kipande cha mpaka na Gaza kinachojulikana kama philadephi Corridor
Iran mulls scrapping plans to take revenge on Israel in exchange for a Gaza ceasefire
Hivi nyie mna roho gani bado mnaandika tu wakati wenzenu hadi mikono imepooza...!!🤣🤣Mbona juzi drone za Hizbollah Israel hawakuziona?
Kuna wajinga watakwambia Iran kaufyata.Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye.
Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi yao ni Misri na Marekani.Hiyo ndiyo sababu juhudi kubwa za kidiplomasia zimefanyika kuizuia Iran kutekeleza ahadi yake hiyo.
Kwa upande wake Iran habari za awali zimeonesha imekubali kusitisha kulipiza kisasa kwa ahadi kuwa Israel itaacha kuendelea kushambulia Gaza na kusitisha vita moja kwa moja.
Misri imependelea hatua hizo za usitishwaji wa vita kwa sharti la kuondolewa majeshi ya Israel kwenye kipande cha mpaka na Gaza kinachojulikana kama philadephi Corridor
Iran mulls scrapping plans to take revenge on Israel in exchange for a Gaza ceasefire
Kisasi kishalipwa muda sana kama mlikua hamjui.Tatizo hawa jamaa wana mbwembwee nyingi,mara bendera nyekundu sijui nini, 🗑️, debe tupu.
"Insemekana ".Kuna wajinga watakwambia Iran kaufyata.
Iran naona kashalipa kisasi chake kwa wahusika kupitia Proxy wake.
Galilaya raia na askari wamedhurika juzi kwa mashambulio mawili ya Hizbollah,kitu kilichofanya serikali ya Israel iwahamishe raia wote kiusalama.
Pia kambi ya Ain Al Assad imekula chuma na majeruhi 7 wa jeshi la USA kupatikana.
Si hivyo tu,inasemekana pia Syria sehemu zichimbwazo mafuta na US vikundi vya jadi vya Syria vimepashikilia.
In short Iran keshalipa kisasi ila MABWEGE HAWAWEZI KUELEWA.
Kitu kusemekana kina possibility kubwa kuwa kimetokea."Insemekana ".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
We wasema, mi ni nani haswa hadi nipingane na akili zako?Kitu kusemekana kina possibility kubwa kuwa kimetokea.
Kati yako ya ww uliye humu Jf na wao Ira wenyewe nani anajua zaidi?. Wao wamesem wameghaili, ww unasema tayari wameshambulia.Kisasi kishalipwa muda sana kama mlikua hamjui.
Galilaya imeshambuliwa na Hizbollah unadhani kwa order ya nani!?
Raia huko kaskazini Israel wanaendelea kuhamishwa hadi sasa kama ulikua hujui.
Umeelewa kilichozungumzwa?Kati yako ya ww uliye humu Jf na wao Ira wenyewe nani anajua zaidi?. Wao wamesem wameghaili, ww unasema tayari wameshambulia.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌We wasema, mi ni nani haswa hadi nipingane na akili zako?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Unaoneka una details nyingi sana hadi za vikao vya Iran vya ndani, Hongera Sanaa .Umeelewa kilichozungumzwa?
Soma kwa uelewa.
Iran imeghairi kufanya direct attack from Tehran to Tel Aviv.
Ila tayari ilishafanya indirect attack kupitia Hizbollah Lebanon.
Kundi la Hizbollah linalishwa na Iran,unadhani vikao walivyokaa Iran na hiko kikundi vilikuwa vya harusi au!??
Soma kwa uelewa.
Habari za vikao si zililetwa humu mkuu!?Unaoneka una details nyingi sana hadi za vikao vya Iran vya ndani, Hongera Sanaa .
Sawa naona unatafuta namna gani ufanye ili usipate msongo wa mawazo ambayo matokeo yake unaweza pata hata stroke.Kuna wajinga watakwambia Iran kaufyata.