Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

Ulisema jana kwamba Hezbollah waliua askari 17 wa IDF, hiyo habari uliitoa kwenye chanzo kipi?
 
Nikishasema hakuna vita hapo Kwa sababu Mikwara ilizidi.
 
Hahahahahahahaha...mbona hukusema ndo kisasi Cha Iran ili tukucheke?Leo kaufyata ndo unajiokotezea tu vitukio ili kuifariji nafsi
 
Hamna lolote Mkuu hizo ni ngojera za Western na US. Kipigo kipo pale pale Nasurlah ndio wakumsikiliza na Abul Malik Badour Al Din Al Houth hao wawili Wamesema Iran atalipa.
 
Naona wabongo mnachukulia mambo serious kama vita simple simple kwa hisia as ushabiki wa mpira. Israel ni kama mtoto mtukutu mwenye wazazi overprotective. Toto limecheza na watu hatari watafuta shari kitu kilichopelea hao watu kupata leverage waliyoitaka, kinachobaki ni kucheza game ya maneno or shit escalating to chaos. It's a highly profitable negotiation.

Nashangaa hawa wanaosema Iran "kaufyata" wakati in a war strategical point of view hii ni absolute win kwa Iran.
 
Israel haiwezi kusitisha vita hata iweje!
Then wanarisk kitu kikubwa kama hata mume wake USA anaogopa an all out war and direct chaotic confrontation. Wamarekani wengi wamechoka kuona pesa zao zinamwaga kwenye nchi nyingine. That's why huyo hypocritical superpower anayejitia ubabe anaomba negotiations. Au unadhani hayo mabilioni yanachapishwa tu?
 
Naona unatumia hisia za kidini badala ya objective facts.

"Ogopa mtu mwenye akili mara mill 1 zaidi yako?" Au "Mtu anayetegema misaada kutoka Marekani?" Hitler anacheka huko kaburini sababu yeye alisema wayahudi ni Mapanya. Bila shaka wewe ni mmoja wa wanaodhani hao wapenda sifa wameteuliwa na Yesu.
 
At list israel ndio ingeomba iran tofauti na hapo ni kuufyata. Israel kawapiga iran halaf kanyamaza. Iran imejibu kwa kuongea tu
Israel hawaja-confirm wala ku-denie madai ya assassination. Unadhani kwanini?

They fucked up and they know it.
 
Tulimwona Rais wa Iran akimtaka Ayatollah kuwa makini katika kuishambulia Israeli kwani majibu yake angeweza kuwa mabaya lupita maelezo
Mkia umepindwa mapajani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…