copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran ina raia 82 million na 99.4% ni Muslims.Wanasema Iran siyo nchi ya waislamu. Sasa imekuwaje iwe Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran?
Sababu kuu ya kuipiga Iran ni anafadhili vikundi vya kigaidi. Hii sababu hata Russia na China hawakoromi. China akijadai mdomo mdomo anakabidhiwa kampuni ya Google imshughulikie.
Ukiwa na silaha hata umejaza nchi nzima na uchumi wako ni dhaifu, wewe bado ni mbuzi wa supu tu kwa Marekani. Ushawahi kupitia ugumu wa kiuchumi? Usiombe upigike kiuchumi maana utapauka mpaka watu watakuwa wanakushangaa.
ADUI MUOMBEE NJAA
Hii ni suicide mission.Wanasema Iran siyo nchi ya waislamu. Sasa imekuwaje iwe Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran?
Sababu kuu ya kuipiga Iran ni anafadhili vikundi vya kigaidi. Hii sababu hata Russia na China hawakoromi. China akijadai mdomo mdomo anakabidhiwa kampuni ya Google imshughulikie.
Ukiwa na silaha hata umejaza nchi nzima na uchumi wako ni dhaifu, wewe bado ni mbuzi wa supu tu kwa Marekani. Ushawahi kupitia ugumu wa kiuchumi? Usiombe upigike kiuchumi maana utapauka mpaka watu watakuwa wanakushangaa.
ADUI MUOMBEE NJAA
Tungoje tuone Iran watafanyaje baada ya kifo cha kamanda wao.HIKI NDICHO HUWA KINACHONITISHA MAREKANI HANA MBWEMBWE ZA KUONESHA MAGWARIDE YA SIRAHA ZAKE HASA ZILE MPYA
Trump ana mdomo mrefu sana na kweli huo ni mkwara mbuzi tu hamna lolote.Huo ni mkwara tuuu!
Tatizo mnacheza na USA, Iran itachapwa na kuchakazwa vibaya sana,mpaka suruali itachanika palepale barabarani😂😂😂😂😂Huo ni mkwara tuuu!
Iran ina raia 82 million na 99.4% ni Muslims.
Tofauti tu ni kuwa Iran sio nchi ya Kiarabu labda ndio watu wanachoshindwa kutofautisha.
Mnachekesha kweli, hivi mnacheza na super powerTrump ana mdomo mrefu sana na kweli huo ni mkwara mbuzi tu hamna lolote.
Trump ana mdomo mrefu sana na kweli huo ni mkwara mbuzi tu hamna lolote.
Unataka kusema ni kama ule wa kupasua matofali uwanjani?Huo ni mkwara tuuu!