Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Hili biti hatari sana.
 
Attachments

  • mmexport1578212559016.jpg
    mmexport1578212559016.jpg
    51.8 KB · Views: 1
Wanasema Iran siyo nchi ya waislamu. Sasa imekuwaje iwe Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran?
Sababu kuu ya kuipiga Iran ni anafadhili vikundi vya kigaidi. Hii sababu hata Russia na China hawakoromi. China akijadai mdomo mdomo anakabidhiwa kampuni ya Google imshughulikie.
Ukiwa na silaha hata umejaza nchi nzima na uchumi wako ni dhaifu, wewe bado ni mbuzi wa supu tu kwa Marekani. Ushawahi kupitia ugumu wa kiuchumi? Usiombe upigike kiuchumi maana utapauka mpaka watu watakuwa wanakushangaa.
ADUI MUOMBEE NJAA
Iran ina raia 82 million na 99.4% ni Muslims.

Tofauti tu ni kuwa Iran sio nchi ya Kiarabu labda ndio watu wanachoshindwa kutofautisha.
 
Hii ni suicide mission.
Toka lini msikiti ukapigana.

Next to Ayatolah who praised downing an American drone was stung by another drone.
 
Iran inabidi afikirie kuhusu wananchi na uchumi wake kwasababu kuna nchi 3 nyuma ya Marekani. Na Marekani alivyomshenzi anaweza kumtumia Saudia Arabia au Israel kwenye vita. Ila Saudi Arabia ndiyo nzuri sana kuitumia kwenye vita kuliko Israel kwasababu kuna Makka na Madina pale. Iran asamehe na akae kimya tu maana hata Russia na China wanayataka mafuta ya Iran.
Iran ina raia 82 million na 99.4% ni Muslims.

Tofauti tu ni kuwa Iran sio nchi ya Kiarabu labda ndio watu wanachoshindwa kutofautisha.
 
Trump ana mdomo mrefu sana na kweli huo ni mkwara mbuzi tu hamna lolote.

Binafsi sidhani kama ni mkwara. Kuna ile "threshold" ya kuvumiliana.. ambayo graph ilishaifikia.

"Drone" ilivumiliwa. Mr President akaongea kidogo, tukasema ni biti. "Attack of US embassy" hawajavumilia.. by the time wanaamua kumuassasinate yule Bwana means they have decided to go into live war.

Wacha tusubiri majibu ya Iran.
 
Watu wako kama manyigu! Kabla ya ku sting huwa yanatoa ishara flani kama yanatetemeka hivi.

Quaseem na Muhandes ndio basi tena!!
 
War of choice USA huwa anapigwa au hata kama akishinda ni Kwa gharama Sana na mara nying huwa anaondoa majeshi at the end sababu kuu ni kukosa mass support toka Kwa wananchi wake , Ila war of must, USA Hana mpinzan mpak sasa, support huwa ni kubwa Sana rasilimali zote za nchi huwa zinaelekezwa huko....

Sijajua hyo ya Iran ni vita ya kujitakia au ya lazima , kama ya kujitakia atahangaika Sana na kama ni ya lazima Iran atageuka majivu
 
Hamna loloteee hao ni mashabiki wa Simba tu ...swala la kupigana na marekani wasahau ..
 
Back
Top Bottom