Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Vita mbaya kuliko zote ni Maneno. Kuipandisha hiyo bendera ndio kwamba itashusha mvua ya mawe USA au?? Nadhani Iran isiingie mtegoni na kuingia kwa chuki na hasira. Watapigwa bila kujua jiwe limetokea wapi
 
Sijamaanisha hivyo isipokuwa naangalia Tu jinsi hawa jamaa wanavyokosa ushirikiano.
Jana usiku UK, FRANCE, GERMANY wamefanya kikao Kwa njia ya mtandao ili kuisaidia US kama Iran ataishambulia hapo ndiyo utaona hata Sisi waafrica na waarabu ni watu wa kutengana tu
Sasa hizo nchi si ni kama wake za US mzee baba,lazima wamsaidie bwana wao.

US yeye kama yeye ni mwepesi na muoga sana wa vita,nadhani somo kule Vietnan lilimuingia vzr,hata kule pearl of harbour somo alilielewa vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni baadhi ya vikosi vya kijeshi vya us
Screenshot_20200105-222502.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malizia pia ni nani mwishowe aliikimbia Vietnam na kilichowapeleka wamarekani Vietnam walifanikiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anakuambia eti US aliondoa majeshi ili asitumie gharama sijui ujinga gani! Sasa ukishaona unapigana na unapata hasara meaning you are fighting a losing war ukakimbia si ndio umepigwa au? Maana umeona haufanikiwi unazidi ku lose resources tu.
 
Hatutaki kubwata bwata,
Tunataka vitendo,
Mshapigwa konzi jibuni tuone,
Natabiri mwisho wa vita utaskia
USA shetwaaan
Wanaionea dini ya hakhi
Allah atatutetea,
Takbirrrr
Tunaonewa na umoja wa mataifa hawaingilii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndio General Qassem Soleiman wa Iran alieuawa na Wamarekani akisalimiana na gwiji la habari Bw. Ahmed Rajab katika Mkutano wa Amani, Baghdad 2017

Naamini @ahmedrajab ataandika makala kuhusu Generali huyo aliyekua na mkono mrefu Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi
IMG_20200105_224236.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu pekee anayeweza kumchallenge Mmarekani katika vita ni Urusi then kwa mbali atafuatia china. Kwa Iran bado sana saizi yake ni Israeli na Uturuki. So hiyo bendera yake nyekundu angeiweka mwezini kabisa angeitoa juu ya huo msikiti wao. hamna kitu hapo
 
Mmhhh!! Kutoka kwa SHETANI MWENYE??Mbona umeniacha dilemma??[emoji44][emoji44]
Kweli kabisa. jamaa hamnazo kabisa sijui waamerika waliwaza nini kumchagua huyu jamaa,lakini UZURI WA AMERIKA RAIS HAS NOT HAVE A FINAL SAY OVER WEAPINS USES.KAMA HAPA UBANTUNI TANZANIA,WAO WANAYO MABARAZA YA HEKIMA YANAYOPATA MSAADA WA MAWAZO KUTOKA KWA SHETANI MWENYEWE.HAWATAMRUHUSU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom