Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Bwana wao Isra hell akipigwa utaona USA na Western countries wanatoa haraka statement, ila wakiuliwa watoto pale Gaza hawatoi statement yeyote.

Pambafu kabisa hawa western countries na choko lao Isra hell. Wanajua Iran sio Hamas wala sio Hizbollah ndio mana wanamaaidia bwana wao
 
Wataalamu wa Vita wa Kinondoni Mkwajuni, Kijiwe Samli na Malamba Mawili uwanja ni wenu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Iran ni wastaarabu sana, wao wanapiga kambi za jeshi tu... Wale wengine wanapiga makazi ya raia
 
Cha kushangaza sana kila wakati Israel ikipigwa wanajidai eti zero casualties.

Israel kama mwanaume kweli apigane na Iran mwenyewe aache kumuita USA na Western countries wamsaidie.. amezoea kuua watoto ngoja leo walale mashimoni pambafu zao
Simtetei Israel, ila hako kaeneo kalivyo kadogo, bila kusaidiwa na wakubwa na technology si watamfuta kweli iwe history kama vandal, heruli na Ostrogoth.
 
Sina uhakika iwapo viongozi wa Iran watakuwa wanahitaji vita kwa sasa lakini hii iliwalazimu kutokana na yanayo endelea sasa heshima yake ingeshuka sana.
 
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.

#BREAKING ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿš€๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."

These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.

 
Aisee hii inaonekana makombora alotumia sasa hivi Iran ni makubwa kuliko ya mwanzo.
Kama haitazuka vita sijui.
Katumia Balistic, so far Balistic hazina Air defence inayoweza kuzi intercept, Unaona kwenye hizo Video makombora 10 labda 1 ama 2 ndio yanakuwa Intercepted,
 
Unategemea kwamba Netanyahu atakuwa hai ?

Unaifahamu nafasi ya Ayatollah Iran ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ