kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 1,935
- 4,048
DuhKatika watu ninao waombea waishi kwenye balaa ni wakenya siwapendi kinoma hao jamaa vurugu zisiishe kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhKatika watu ninao waombea waishi kwenye balaa ni wakenya siwapendi kinoma hao jamaa vurugu zisiishe kwao
Ya kwamba unategemea Aljazeera waende kwenye vituo vya kijeshi vya Israel vilivyo shambuliwa warekodi madhara?Kwenye Tv mbona madhara siyaoni? naangalia both Aljazeera na BBC sioni wakionesha madhara
Safi sana yani leo nitalala usingizi, sasa hivi huko Tel Aviv ni makele na vilio. Ngoja na wao waonje joto ya jiwe kidogo. Pambafu kabisa Isra he'll mwisho wake umefika.
View: https://youtube.com/shorts/40X-JBE-orA?si=tqMn-z5b1kXeJUTA
Israel apigane pekee yake ila nyiny muungqne sio ? Yemen-houth , Lebanon - hizbollah , Iran , Gaza - HamasMarekani atulie taifa teule lenye maguvu, akili nyingi lipambane
Huion BBC imetajwa hapoYa kwamba unategemea Aljazeera waende kwenye vituo vya kijeshi vya Israel vilivyo shambuliwa warekodi madhara?
Mimi sifanyi nyuma wanaume wala wanawake napenda tu tundi takatifu lile la edeni basiUkimaliza hayo matapu tapu tafuta kopo la kuchambia ukanye ulale!
Utaambiwa au ndio hali halisi!!??Utaambiwa hakuna aliyedhurika,mengi yametunguliwa,na mengine yametua vichakani
😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃Wataalamu wa Vita wa Kinondoni Mkwajuni, Kijiwe Samli na Malamba Mawili uwanja ni wenu
God or Satan?Duh tuombee aman ya dunia
Lakini na mimi pia niko pamoja na Israel GOD BLESS ISRAEL
Iran ana maslai gan Lebanon mpk ajivike ulinz wa Lebanon ?Huo ndio wakati wa Iran kuonyesha hasira dhidi ya mashambulizi ya Israel huko Lebanon.
Simtetei Israel, ila hako kaeneo kalivyo kadogo, bila kusaidiwa na wakubwa na technology si watamfuta kweli iwe history kama vandal, heruli na Ostrogoth.Cha kushangaza sana kila wakati Israel ikipigwa wanajidai eti zero casualties.
Israel kama mwanaume kweli apigane na Iran mwenyewe aache kumuita USA na Western countries wamsaidie.. amezoea kuua watoto ngoja leo walale mashimoni pambafu zao
Sina uhakika iwapo viongozi wa Iran watakuwa wanahitaji vita kwa sasa lakini hii iliwalazimu kutokana na yanayo endelea sasa heshima yake ingeshuka sana.Israel ina eneo dogo sana haiwezi zuia saturation attack. Na pia inapenda kujibu kwa kutoa onyo kali.
Ila nadhania Israel itajibu kwa miundombinu muhimu Iran kama ya mafuta kwanza kama angalizo kuwa inaweza shambulia nuclear sites. Na hata Iran ikijibu tena sitarajii itarnda direct kushambulia Dimona nuclear site ya Israel badala yake ishambulie kama gas facilities kuonyesha inaweza piga Dimona ikiamua.
Israel ikipiga vinu vya Iran moja kwa moja Iran itashindwa kujizuia, Israel ingeshambuliwa kinu cha nyuklia Iran ingekuwa inachakaa vibaya kwa sasa. Wote wakienda kwa uangalifu itakuwa showdown. Yawezekana Iran kupitia Russia ikaitaarifu Israel izuge yaishe, kama ilivyo fanya al Assad airbase kule Iraq to save face baada ya Soleimani kuuwawa na Marekani.
Katumia Balistic, so far Balistic hazina Air defence inayoweza kuzi intercept, Unaona kwenye hizo Video makombora 10 labda 1 ama 2 ndio yanakuwa Intercepted,Aisee hii inaonekana makombora alotumia sasa hivi Iran ni makubwa kuliko ya mwanzo.
Kama haitazuka vita sijui.
Unategemea kwamba Netanyahu atakuwa hai ?Iran Ayatollah anaondoka Mark my words
Kilichotokea alikuwa akitumia Hezbollah kama buffer zone kivita
Hezbollah askari wengi na vifaa walikuwa wa Iran
Kambi kubwa za silaha zito Iran iliziweka Lebanon buffer zone ndiko kwenye maghala mengi na silaha nzito za Iran kuwa Israel kufika kushambulia Iran hawezi sababu sio rahisi kushinda vikosi special forces vya Iran na silaha zao nzito za wa Iran waliovaa uniform za Hezbollah Lebanon
Sasa Israel kaingia ndani ya Lebanon kawavurumisha askari wa Iran wavaa nguo na wabeba silaha nzito za jeshi la Hezbollah
.
Sasa retreating Hezbollah wamekimbilia Iran
Wanarusha makombora toka Iran hao ni wale wale Hezbollah
Kivita inaitwa ukikimkimbiza panya angalia shimo anapokimbilia na kuingia shimo lipi
Hezbollah wanakimbia vita Lebanon wanaingia shimo lao Iran walikototokea
Ayatollah anaondoka safari hii hana ujanja
Wanajutetea tu. Inaingia akilini? Hapo labda wameshangaa kuona matokeo siyo makubwa Kama walivyotarajiaAl Jazeera inaripoti kuwa hakuna majeruhi ndani ya Israel….