Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Dah hii video imenitoa machozi kwa kweli,,,Vifijo na Nderemo Vimetawala Huko Gaza
Watu wamefurahia Aisee
View: https://x.com/upholdreality/status/1841161380834971862?t=ah7FNSH8cB7DdwsHEnzQAQ&s=19
Kitu ambacho unatakiwa kufahamu mkuu ni kwamba, Every Israeli needs to pray that Iran never acts like them.Kama kweli basi ndo mwisho wa Iran, Israel akianzaga mpaka dunia inalia jinsi anavyochukua hatua kikatili
Israel bila marekani ni sawa tu na kina nyunndo na genge lake la ubakaji mkuu.Hatari sana this time Wamarekani hawajasaidia kitu, wameshikwa off guard.
Kombora la Iran limeua mpalestina, Iran wajitathminiHii ya kwako uswahilini inaitwa mahaba niue.
Yule kiongozi wa Hamas baada ya kuuawa kulikuwa na maoni tofauti ya viongozi wa Iran kuhusu kuishambulia Israel, lakini walitangaza watajibu... Kwa mujibu wa vyanzo vya Iran... Inasemekana rais wa sasa wa Iran hapendelei vita...Halafu hii delayed response ya Iran si ajabu ilikuwa ni kwa ajili ya kujiandaa kwa retaliation ya Israel.
Yule Haniya si kauliwa zaidi ya mwezi sasa?
Ooh pia, nilikuwa naangalia Al Jazeera hapa sasa hivi na kuna mtaalamu mmoja wa masuala ya Mashariki ya Kati kasema Israel inaitegemea Marekani kwenye karibu kila kitu….kuanzia ndege za kivita, mabomu, makombora, ujasusi, na kadhalika.
Ila watu walivyo na fantasies, wanakwambia Marekani ndo inaitegemea Israel 🤣.
Mwenye biashara yake huwa mwepesi kutangaza haya tushakufahamu shangazi endelea kuwapa watu burudani halafu ukiona wanaume usipende kuwadandia rudia post ya mwanzo uone nani alishobokea kwa kukoti post ya mwenzie habith la ammary wewe!Mimi sifanyi nyuma wanaume wala wanawake napenda tu tundi takatifu lile la edeni basi
Kama wewe unafanywa na wenzako nyuma hapana mimi sio.mambo yangu kwanza usinikoti unanuka nyaa kaa mbali kabisa
😂😂😂😂😂😂Hakuna professionism yoyote, Kabla makombora hayajafika Israel huwa kuna vingora vinalia watu wanakimbilia kwenye nyumba maalum za kujikinga na mabomu, Raia waliokufa ni kwa upande wa Palestina, Iran imeua mpalestina.
Pili, Makombora yaliyokuwa yanaelekea maeneo ya makazi ya watu mengi yamelipuliwa angani kwa mfumo wa Iron Dome, yaliyoachwa kwa maksudi yatue ni yale yanayoangukia sehemu za wazi zisizo na madhara ya milipuko
Hawezi kuelewa unachosema...Kitu ambacho unatakiwa kufahamu mkuu ni kwamba, Every Israeli needs to pray that Iran never acts like them.
Upo nyuma sana kwenye mambo ya Teknolojia jielimishe kidogo kuhusu AI na Programming ndio utajua mitambo inavyoweza kusetiwa kupangua au kuyaacha makombora kulingana na mazingira😂😂😂😂😂😂
Wabongo bana. Kumbe kuna makombora yanaachwa yatue makusudi? Huwa mnatoa wapi hizi habari? Kwamba air defense systems, zinajua hili linaenda sehemu ya wazi, zinaliacha?
Alafu nani kakuambia Iron dome inadeal na hypersonic missiles? Warfare sio kitu cha kuongelea kirahisi kama habari za simba na yanga!
Hapo ndo utaona tofauti kati ya uchumi wa GDP ya $25 trillion na defense budget ya $900 billion.Yule kiongozi wa Hamas baada ya kuuawa kulikuwa na maoni tofauti ya viongozi wa Iran kuhusu kuishambulia Israel, lakini walitangaza watajibu... Kwa mujibu wa vyanzo vya Iran... Inasemekana rais wa sasa wa Iran hapendelei vita...
Ila baada ya Israel kummaliza Nasrallah na wale viongozi wa jeshi la Iran ndipo naona wakaamua kujibu leo...
Jana nilikuwa nimeingia WikiLeaks kusoma documents mbali mbali... Aisee US wanatengeneza spyware softwares ambazo Israel ni overrated, hao NSA wana projects zao za hatari mno..
Tuje kwenye Cyber warfare units ambapo watu wanaiona Israel ni mjuzi sana, tuache jeshi ambapo wanapata msaada kila mwaka kutoka US, Cyber warfare unit Israel kuna Unit 8200 kwa USA kuna NSA, UK wana GCHQ, Russia unit 29155 GRU, lakini hao unit 8200 bado kwa NSA... Hata Russia hawajafika..
Sijajua hizi story watu huwa wanazitoa wapi mkuu...
Kwenye jeshi ndio kabisa bila US sijui Israel maisha yangekuwa vipi...
Acha uongo wewe cha ujuaji,,, eti yawezekana iran kupitia Russia itaitaarifu Israel izuge yaishe 😅,,, we Jamaa sijui unajikutaga naniIsrael ina eneo dogo sana haiwezi zuia saturation attack. Na pia inapenda kujibu kwa kutoa onyo kali.
Ila nadhania Israel itajibu kwa miundombinu muhimu Iran kama ya mafuta kwanza kama angalizo kuwa inaweza shambulia nuclear sites. Na hata Iran ikijibu tena sitarajii itarnda direct kushambulia Dimona nuclear site ya Israel badala yake ishambulie kama gas facilities kuonyesha inaweza piga Dimona ikiamua.
Israel ikipiga vinu vya Iran moja kwa moja Iran itashindwa kujizuia, Israel ingeshambuliwa kinu cha nyuklia Iran ingekuwa inachakaa vibaya kwa sasa. Wote wakienda kwa uangalifu itakuwa showdown. Yawezekana Iran kupitia Russia ikaitaarifu Israel izuge yaishe, kama ilivyo fanya al Assad airbase kule Iraq to save face baada ya Soleimani kuuwawa na Marekani.
Chokoza nyuki
Af hapo mtu aseme wamekufa watu wawili😂😂😂? Yani sawa na mtu akwambie wamepiga mabomu 200 Kariakoo ila vifo ni vya watu wawili tu😂
Nafikiri Target ya msingi ni kuviharibu hivyo viwanda ili heshima itawale. Wamchukue Ayatollah ila ahakikishe ameondoka na Nuclear Stations zote za Israel ili kiburi kiwekwe mfukoni.Kwa bahati mbaya Israel naye ana Kinu cha Nuclear pale Dimona, nacho kinaweza kuchapwa
Na pia ana High tech industry , viwanda vyake vya high tech vinaweza kutandikwa ipasavyo!