Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Shoga kweli wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watamsupport tu, hapa penyewe natazama aljazeera wanadai baadhi ya makombora wameyatungua wamarekani.
Lakini kumbuka baada ya waziri wa urusi kwenda iram,ndo iran imejibu mapigo,kwahiyo pia ujue iran haiko peke yake,pia huo ni mtego kwa NATO iwapo wataingia kumshambulia iran,mrusi ana hesabu za mbele sana..
 
Wadau hamjamboni nyote?

Waziri Mkuu Benjamin Netanyau amesema Iran wamefanya kosa kubwa sana na watalipa gharama kubwa

Amesema Israel inadimama kwenye kanuni yake kuu kuwa Yeyote anayewashambulia lazima nawao wamshambulie



Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Mungu ibariki Israel

Breaking News

Netanyahu says Iran made a "big mistake"
  • β€œIran made a big mistake tonight, and it will pay for it,” Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a Hebrew language video statement, saying that its missile attack on the Jewish state had failed.
    "The regime in Iran does not understand our determination to defend ourselves and our resolve to retaliate against our enemies ... They will understand. We will stand by the principle we have set: Whoever attacks us, we will attack them.

Also read:

Israel will deliver "painful" response to Iran - UN envoy
Israel’s UN envoy Danny Dannon said on Tuesday that Israel will act and that Iran would soon feel the consequences of its actions, adding that Israeli response will be "painful".
 
Hapo swali la msingi, US inaitegemea kitu gani Israel?
Kama ni wataalamu wa sayansi, ni sayansi gani ambayo wamarekani au wanasayansi wengine watashindwa kuifanya hadi Israel ifanye?

Silaha? , sayansi za anga?, silaha?, madawa tiba? teknolojia? kilimo?... Hakuna sayansi na teknolojia ambapo wamarekani hawawezi kufanya sio tu kufanya ,kufanya katika ubora, pia nchi zingine nyingi sana wanafanya vizuri sana kwenye sayansi na teknolojia....

Sio mtu ameshiba ugali wa muhogo na kibua anakuja tu kusema "US inaitegemea Israel kwenye sayansi" swali la kumuuliza hapa awe specific, sayansi ni pana, ni sayansi gani hio wayahudi wanayoifahamu ya siri wanasayansi wengine kutoka Ulaya, Amerika n.k wasiijue?

Hapo ukimzidi point atakimbilia aliyegundua kitu flani ni myahudi, kuwa myahudi hata mkerewe wa ukara akitaka kuwa myahudi anakuwa, ni suala la ku convert kama walivyo waislamu na wakristo, uyahudi ni dini..

Kitu kingine cha ajabu, unakuta mtu mzazi wake mmoja ni muafrika mmoja myahudi wa Israel, akitokea akiwa mwanasayansi au mwanasiasa maarufu utasikia yule ni myahudi, uafrika unakuwa ignored totally..

Kiukweli kinachosumbua wengi Tanzania ni umasikini, ujinga ,ushamba na ukosefu wa kusafiri nchi mbali mbali kuishi na jamii za watu wa mataifa tofauti kwa sababu ya umasikini, ndio maana ushamba umetujaa tukiona mzungu au mchina...

Wanahisi ni species tofauti kutoka sayari nyingine πŸ˜‚

Kwa hizi akili acha CCM iendelee kutawala hadi mwisho wa dunia.
 
100/100
 
Hakuna Air defense yoyote ya kuzuia Hypersonic missilesπŸ˜‚! Zikitumwa lazma zifike tu ndio maana umeona zimeshuka kama vimondo.
Waliorekodi wengi hizo missile zikishuka walikua mbali sana, lakini zilikuwa zinatoa mwanga mkali zikipiga ardhini, inaonekana tetemeko la ardhi limetokea, Iran imepiga kwa nguvu kweli kweli..

Si mchezo,
 
Hakuna Cha takataka za Irone dome, mizigo yote inapenya Kila mahala, waingie sasa wapige kama walivyopiga sehemu zingine.
Yani ukichunguza kwa makini hili ni jibu kwa vitendo kwa yule Nyau shoga (Neta-Nyau) ambaye alitangulia kuropoka kwamba.
"Israel can strike anywhere" akiichimba biti Iran πŸ˜‚
 
Nipo naangalia debate ya wagombea(vice presidential debate) ya Marekani. HUKU NASUBILI KWA HAMU REVANGE YA ISRAEL MAANA BIDEN KAAHIDI KITU KIZITO
 
Wangemaliza tofauti zao Mezani kwa maana hilo swala la Vita linaongeza ugumu wa maisha tu huku Afrika vitu vitapanda bei hasa mafuta yanayotoka huko.
Nchi nyingi mafuta yalianza kushuka bei ila Tanzania wapo kimya kama vile hiyo bidhaa haijashuka bei..
 
Na umelibeba hilo km walivyokulisha?!!!! Katikati ya mji kama pale?!!! Haya si mapenzi' Bali mahaba!!!!🀣🀣🀣🀣🀣

Kuhusu hilo tusi; yametukanwa zaidi ya hayo na wigo ndo kwanza unazidi kupanuka. Pole
So please tell me, the number of Israel's casualties and fatalities, then compare them with those inflicted in Lebanon and Gaza.

One got to be really stupid to disclose to the enemy his intended military targets and objectives prior to the attack, as Iran did today.

An element of surprise is contingent and critical to a success of any military operation. Any reasonable person would understand this, but unfortunately I don't think you're reasonable, owing to the fact that you a straight dude who uses a weird name.​
 
Halafu kuna mxenge utamsikia "Toyota sio gari ni chombo cha usafiri tu" kisa kanunua mtumba wa bmw...Wenye akili wananunua Toyota sababu ni value for money, Japanese Precision ni above none.
Magari yote ni magari inategemeana umelipata kwenye hali gani basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…