Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Hizi mvua za vilipuxi zikitua mzizima si mji wote unabaki majivu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule asaliChokoza nyuki
Amepangua kwenye mataco yako ama we huoni vimondo vinavyoshuka na kuwasha umeme kila kona 😂Ngoja tuone!!!
Ila Israel tumpe tu maua yake aisee, jinsi alivyoweza kupangua haya mabomu sio mchezo aisee, ingekuwa ni nchi nyingine tungekuwa tunaongea mengine saa hii.
Halafu kuna mxenge utamsikia "Toyota sio gari ni chombo cha usafiri tu" kisa kanunua mtumba wa bmw...Wenye akili wananunua Toyota sababu ni value for money, Japanese Precision ni above none.Hizi mvua za vilipuxi zikitua mzizima si mji wote unabaki majivu?
Shoga kweli wewe 😂😂😂Kupitia Tv, live nimeona makombora mengi (zaidi ya 100) ya Iran kwenye anga la Tel Aviv, Israel na karibu yote yakionekana kuzuiwa angani kabla ya kutua, hii inatoa picha hii;
1. Iran ametangaza vita kamili dhidi ya Israel.
2. Iran amefanikiwa kupeleka makombora ya masafa marefu na kupenya moja kwa moja ndani kabisa ya Israel.
3. Mifumo ya Israel ya kutungua makombora angani iko imara.
4. Israel imepata sababu ya moja kwa moja kuishambulia Iran.
Lakini kumbuka baada ya waziri wa urusi kwenda iram,ndo iran imejibu mapigo,kwahiyo pia ujue iran haiko peke yake,pia huo ni mtego kwa NATO iwapo wataingia kumshambulia iran,mrusi ana hesabu za mbele sana..Watamsupport tu, hapa penyewe natazama aljazeera wanadai baadhi ya makombora wameyatungua wamarekani.
Hapo swali la msingi, US inaitegemea kitu gani Israel?Hapo ndo utaona tofauti kati ya uchumi wa GDP ya $25 trillion na defense budget ya $900 billion.
Nchi inayoifuatia US kwa military spending ni China. Mwaka jana defense budget ya China ilikuwa $231 billion.
Piga hesabu wewe tofauti kati ya 900 na 231.
Kwa misaada ya Marekani, Israel inaonekana iko juu sana hususan kwa vile mara nyingi inapambana na vikundi vya wanamgambo tu 🤣.
Marekani ina nuclear powered aircraft carriers 11.
Israel haina aircraft carrier hata moja.
Na hakuna nchi nyingine yoyote ile duniani yenye aircraft carriers hata 3 tu.
Halafu watu bado wanakomaza shingo na kuleta ubishi eti Marekani inaitegemea Israel. Vichekesho mtupu.
washenzi Waingereza waliomega ardhi wakijua fika yahud na arabs wana uhasama. wangewamegea ardhi ya bongoland. au unasemaje mkuu kosugi 😃Mkuu hao Israel nadhani hujawasoma vema.
Mashariki ya Kati USA na Israel ndio waliochafua amani.
100/100Hapo swali la msingi, US inaitegemea kitu gani Israel?
Kama ni wataalamu wa sayansi, ni sayansi gani ambayo wamarekani au wanasayansi wengine watashindwa kuifanya hadi Israel ifanye?
Silaha? , sayansi za anga?, silaha?, madawa tiba? teknolojia? kilimo?... Hakuna sayansi na teknolojia ambapo wamarekani hawawezi kufanya sio tu kufanya katika ubora, pia nchi zingine nyingi sana wanafanya vizuri sana kwenye sayansi na teknolojia....
Sio mtu ameshiba ugali wa muhogo na kibua anakuja tu kusema "US inaitegemea Israel kwenye sayansi" swali la kumuuliza hapa awe specific, sayansi ni pana, ni sayansi gani hio wayahudi wanayoifahamu ya siri wanasayansi wengine kutoka Ulaya, Amerika n.k wasiijue?
Hapo ukimzidi point atakimbilia aliyegundua kitu flani ni myahudi, kuwa myahudi hata mkerewe wa ukara akitaka kuwa myahudi anakuwa, ni suala la ku convert kama walivyo waislamu na wakristo, uyahudi ni dini..
Kitu kingine cha ajabu, unakuta mtu mzazi wake mmoja ni muafrika mmoja myahudi wa Israel, akitokea akiwa mwanasayansi au mwanasiasa maarufu utasikia yule ni myahudi, uafrika unakuwa ignored totally..
Kiukweli kinachosumbua wengi Tanzania ni umasikini, ujinga ,ushamba na ukosefu wa kusafiri nchi mbali mbali kuishi na jamii za watu wa mataifa tofauti kwa sababu ya umasikini, ndio maana ushamba umetujaa tukiona mzungu au mchina...
Wanahisi ni species tofauti kutoka sayari nyingine 😂
Kwa hizi akili acha CCM iendelee kutawala hadi mwisho wa dunia.
Hakuna Air defense yoyote ya kuzuia Hypersonic missiles😂! Zikitumwa lazma zifike tu ndio maana umeona zimeshuka kama vimondo.Kwa makombora aliyopiga Iran ni tishio hilo!
Air defence system za Israel hazijafanya kazi kabisa!
Akijibu kazi anayo kwa kweli.
Aaahàaa⚡Washington calls on all countries to join it in condemning Iran's attack on Israel.
Waliorekodi wengi hizo missile zikishuka walikua mbali sana, lakini zilikuwa zinatoa mwanga mkali zikipiga ardhini, inaonekana tetemeko la ardhi limetokea, Iran imepiga kwa nguvu kweli kweli..Hakuna Air defense yoyote ya kuzuia Hypersonic missiles😂! Zikitumwa lazma zifike tu ndio maana umeona zimeshuka kama vimondo.
Yani ukichunguza kwa makini hili ni jibu kwa vitendo kwa yule Nyau shoga (Neta-Nyau) ambaye alitangulia kuropoka kwamba.Hakuna Cha takataka za Irone dome, mizigo yote inapenya Kila mahala, waingie sasa wapige kama walivyopiga sehemu zingine.
Hio nini kimetokea umeuliza kama Mwamposa 😂😂😂!!!Mbona kama makombora yote yametua chini,mifumo ya iron dom ilikuwa imezimwa au nini kimetokea
Na umelibeba hilo km walivyokulisha?!!!! Katikati ya mji kama pale?!!! Haya si mapenzi' Bali mahaba!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Kuhusu hilo tusi; yametukanwa zaidi ya hayo na wigo ndo kwanza unazidi kupanuka. Pole
Magari yote ni magari inategemeana umelipata kwenye hali gani basi..Halafu kuna mxenge utamsikia "Toyota sio gari ni chombo cha usafiri tu" kisa kanunua mtumba wa bmw...Wenye akili wananunua Toyota sababu ni value for money, Japanese Precision ni above none.