Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

R.I.H Iran.

GOD BLESS ISRAEL
 
Ngoja tuone!!!
Ila Israel tumpe tu maua yake aisee, jinsi alivyoweza kupangua haya mabomu sio mchezo aisee, ingekuwa ni nchi nyingine tungekuwa tunaongea mengine saa hii.
 
Naona alichotaka waziri wa israel kimetimia. ile speech yake aliyotoa akiwambia raia wa iran kuwa uhuru wao unakuja hivi karibuni kuliko walivyotegemea nadhani alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja na ndicho naona kinaenda kutokea.
kuna vita kubwa inakuja aisee ni hatari wanaenda kutengeneza libya na iraq nyingine.
 
Marekani bandugu wanaiyogopa iran utosikia kuna kibwengo karusha jiwe iran zaid watatumia ugaidi w drone ambazo wanazo umoumo ndani y iran atua ya pili itakuwa kulipromo ilo tukio la kigaidi ila wataita Israel kashambulia iran na media itarudia rudia adi watu waamini Israel ndio m'babe lkn amna kitu iran ndio super power wa middle East dunia kijiji macho tunayo tunaona,,
 
Kama ulifatilia kauli za Neta akiwa UN
Kama ulifatilia kauli za Neta jana alisema yuko upande wa Wairan dhidi ya viongozi wao. Kuna kitu alijua kitatokea

Israel will not miss this time
Ni kweli wenda taarifa za kijasusi zilikuwa zimesha vuja juu ya shambulizi hili ndo maana Netanyau alikuwa anatoa vitisho ili viongozi wa Iran wasite ila inavyo onekana viongozi wa Iran wamefika kiwango cha mwisho cha uvumilivu hivyo wameamua liwalo na liwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…