Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hata zile 300 zilitoka video kama hizi kuwa yametua kumbe hamna kitu.
Si usubiri yatue? Haraka ya nini?Wanaukumbi.
Makombora ya Balestiki ya Iran Sasa Yanatua Tel Aviv
View: https://x.com/censoredmen/status/1841157965283275015?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Naona alichotaka waziri wa israel kimetimia. ile speech yake aliyotoa akiwambia raia wa iran kuwa uhuru wao unakuja hivi karibuni kuliko walivyotegemea nadhani alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja na ndicho naona kinaenda kutokea.
kuna vita kubwa inakuja aisee ni hatari wanaenda kutengeneza libya na iraq nyingine.
Manati hizo hakuna makombora hapoWanaukumbi.
Makombora ya Balestiki ya Iran Sasa Yanatua Tel Aviv
View: https://x.com/censoredmen/status/1841157965283275015?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Duru la pili la makombora limekamilika, sahivi naona wanalaunch duru la tatu la makombora.Wanaukumbi.
Makombora ya Balestiki ya Iran Sasa Yanatua Tel Aviv
View: https://x.com/censoredmen/status/1841157965283275015?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sawa analyst wa vita toka Tandale kwa mfuga mbwaIran Ayatollah anaondoka Mark my words
Kilichotokea alikuwa akitumia Hezbollah kama buffer zone kivita
Hezbollah askari wengi na vifaa walikuwa wa Iran
Kambi kubwa za silaha zito Iran iliziweka Lebanon buffer zone ndiko kwenye maghala mengi na silaha nzito za Iran kuwa Israel kufika kushambulia Iran hawezi sababu sio rahisi kushinda vikosi special forces vya Iran na silaha zao nzito za wa Iran waliovaa uniform za Hezbollah Lebanon
Sasa Israel kaingia ndani ya Lebanon kawavurumisha askari wa Iran wavaa nguo na wabeba silaha nzito za jeshi la Hezbollah
.
Sasa retreating Hezbollah wamekimbilia Iran
Wanarusha makombora toka Iran hao ni wale wale Hezbollah
Kivita inaitwa ukikimkimbiza panya angalia shimo anapokimbilia na kuingia shimo lipi
Hezbollah wanakimbia vita Lebanon wanaingia shimo lao Iran walikototokea
Ayatollah anaondoka safari hii hana ujanja
Hakuna cha KuzuiaHii leo imekuwa surprise kwa wengi ngoja tuone ndege ngapi zitapaa kuzuia. Na je Israel itatumia ndege au ballistic
Video nyengine hii hapo!Hata zile 300 zilitoka video kama hizi kuwa yametua kumbe hamna kitu.
Mwisho wa aayatollah, ilikuwa lazima iwe hivyo.Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.