Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran Ayatollah anaondoka Mark my words

Kilichotokea alikuwa akitumia Hezbollah kama buffer zone kivita

Hezbollah askari wengi na vifaa walikuwa wa Iran

Kambi kubwa za silaha zito Iran iliziweka Lebanon buffer zone ndiko kwenye maghala mengi na silaha nzito za Iran kuwa Israel kufika kushambulia Iran hawezi sababu sio rahisi kushinda vikosi special forces vya Iran na silaha zao nzito za wa Iran waliovaa uniform za Hezbollah Lebanon

Sasa Israel kaingia ndani ya Lebanon kawavurumisha askari wa Iran wavaa nguo na wabeba silaha nzito za jeshi la Hezbollah
.
Sasa retreating Hezbollah wamekimbilia Iran
Wanarusha makombora toka Iran hao ni wale wale Hezbollah

Kivita inaitwa ukikimkimbiza panya angalia shimo anapokimbilia na kuingia shimo lipi

Hezbollah wanakimbia vita Lebanon wanaingia shimo lao Iran walikototokea

Naomba kuuliza mwamba wenu Hezbollah yuko wapi? maana sijamsikia kitambo sasa. Msicheze na myahudi wewe.
Ingawa yote yataenda kudondokea majanini ma mchangani.
Iran kurusha makombora ni habari njema, na hicho ndicho kilichokuwa kinasubiriwa kifanyike, yaani Iran ku make the first move.

Walikuwa wanamtarajia na ndiyo maana Netanyahu alisema hakuna popote ndani ya Iran ambapo hawawezi kufika, na pia ndiyo maana akawatumia ujumbe wananchi wa Iran.
Segele hilo, wajiandae kulicheza

Hakuna kulala hapo Tel Aviv... Beginning of the end... Israel kazi anayo...hawezi kukaa tena hapo Middle East Kwa amani...
Hivi Hezbollah wako wapi jamani maana kimya kimezidi,tuliambiwa mengi.
 
Kuna watu wapuuzi mlikuwa mnawaona washiraz kama waoga na wapuuzi sio ?
Washiraz ni wavumilivu na wastaarabu ,sana tatizo la hapo middle east ni hao magaidi na mashoga Israel .
Ukiangalia mashambulio ya kigaidi waliofanya Iran miaka yote hii kama kuua scientists ,military officers nk
Ni vitendo vya kigaidi ambavyo vingeshasababisha vita kubwa na response kali ya hao waajemi
 
Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa free.
Irani sio Yemen,Iran sio Lebanon, wangapi wanakumbuka hii ni mara ya pili Iran anashambulia direct Israel?!!

Kuingia vitani na Iran Israel hawezi kuthubutu,labda USA na yeye aingie akiwa na Israel.

Middle East powerful nations ni Israel na Iran, Israel hawezi kuendesha vita mwenyewe bila msaada wa intelijesia ya USA na Uingereza, ilihali Iran anaweza kusimama mwenyewe!!
 
Al Jazeera inaripoti kuwa hakuna majeruhi ndani ya Israel….
Mkuu naamini lengo la Iran siku zote sio kudhuru raia wasio na hatia bali kuharibu miundombinu ya kijeshi ya adui.

Kama angekuwa na nia ya kuua raia basi angelenga makazi ya watu hapo pangetokea vifo vingi mno vya raia.

Israel akilipiza kisasi kwa kulenga makazi ya raia hapo Iran atakuwa hana option nyingine zaidi ya kulipa kisasi kikali zaidi kwa kulenga makazi vile vile.
 
Yeah!...kwani Kuna makombora yaliyopenya hizo ADs?.

Ila ikitokea vita kamili kwa Idadi ya makombora aliyonayo Iran, Israel atakuwa na wakati mgumu kuyazuia yote kwa idadi kubwa japo pia Iran itaharibiwa zaidi na mashambulizi kutoka Israel na Marekani.
Mkuu mbona video zipo nyingi karibia asilimia 80 wenda yamepenya.
 
Irani sio Yemen,Iran sio Lebanon, wangapi wanakumbuka hii ni mara ya pili Iran anashambulia direct Israel?!!

Kuingia vitani na Iran Israel hawezi kuthubutu,labda USA na yeye aingie akiwa na Israel.

Middle East powerful nations ni Israel na Iran, Israel hawezi kuendesha vita mwenyewe bila msaada wa intelijesia ya USA na Uingereza, ilihali Iran anaweza kusimama mwenyewe!!
Ile ya april ilikuwa sio kama hii. iran alitoa taarifa siku 2 kuwa ataishambulia israel na alifanya hivyo ili watungue makombora yasilete uharibifu ni kama vile alikuwa anafanya maigizo. Pia vile vidrone vilikuwa vinachukua muda kufika na vingi vilitunguliwa njiani.
Leo ni tofauti maana hakutoa taarifa na katumia ballistic missiles, hivyo leo haya si maigizo bila shaka inaelekea kuwa vita kamili.
 
Ni 500 missiles na siyo 200. Yaani Iran kachafukwa huko. Kafanya kama Israel anvyofanya, kupiga kwenye makazi na huduma za kijamii. Gaza wamepata tabasamu, angalau.
wakati wao iran wanasema wanashambulia maeneo ya kijeshi. na hivi tunavyozungumza wananchi washatangaziwa warudi kwenye makazi yao saga limeisha. niko tazama hapa aljazeera naona impact haikuwa kubwa watu washarudi kwenye makazi yao.
 
Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa fs
sio rahisi kama unavyofikiri,mpaka apate ushirika wa NATO,sio peke yake,hawezi.
 
Miundo mbinu ipi imeharibiwa na hizo manati?
Subiri mabwana zako watakujibu kwa kutoa tathimini. Mwanzoni kama kawaida watakanusha hakuna madhara lakini kadri muda unavyozidi kwenda watasema kuna madhara ndivyo sera zao zilivyo.

Hata yale makombora yaliyoleta zahma kipindi kile walianza kwa kusema ni asilimia mbili pekee ya amakombora yalileta madhara lakini baadae wakakiri kwamba ni zaidi ya asilimia 64 ya makombora yalikuwa na athari.
 
Nasubiri Israel iue mradi wa nyuklia wa Iran. Hilo ndio la msingi hata kama watapigwa makombora kiasi gani.

Majibu yaje haraka
Kutokea kwa vita kamili kutategemea na majibu ya Israel lakini kwa shambulizi hili ni razima Israel itajibu kwa nguvu maana makombora mengi sana yamepenya tofauti na shambulizi la kipindi kile.
 
Back
Top Bottom