Kwa hiyo hizo manati za kizenji za mwajemi zina kazi gani ni gitaa zile?Aliye kwambia shida ya Irani ni kuuwa watu ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hizo manati za kizenji za mwajemi zina kazi gani ni gitaa zile?Aliye kwambia shida ya Irani ni kuuwa watu ni nani?
Iran Ayatollah anaondoka Mark my words
Kilichotokea alikuwa akitumia Hezbollah kama buffer zone kivita
Hezbollah askari wengi na vifaa walikuwa wa Iran
Kambi kubwa za silaha zito Iran iliziweka Lebanon buffer zone ndiko kwenye maghala mengi na silaha nzito za Iran kuwa Israel kufika kushambulia Iran hawezi sababu sio rahisi kushinda vikosi special forces vya Iran na silaha zao nzito za wa Iran waliovaa uniform za Hezbollah Lebanon
Sasa Israel kaingia ndani ya Lebanon kawavurumisha askari wa Iran wavaa nguo na wabeba silaha nzito za jeshi la Hezbollah
.
Sasa retreating Hezbollah wamekimbilia Iran
Wanarusha makombora toka Iran hao ni wale wale Hezbollah
Kivita inaitwa ukikimkimbiza panya angalia shimo anapokimbilia na kuingia shimo lipi
Hezbollah wanakimbia vita Lebanon wanaingia shimo lao Iran walikototokea
Naomba kuuliza mwamba wenu Hezbollah yuko wapi? maana sijamsikia kitambo sasa. Msicheze na myahudi wewe.
Ingawa yote yataenda kudondokea majanini ma mchangani.
Iran kurusha makombora ni habari njema, na hicho ndicho kilichokuwa kinasubiriwa kifanyike, yaani Iran ku make the first move.
Walikuwa wanamtarajia na ndiyo maana Netanyahu alisema hakuna popote ndani ya Iran ambapo hawawezi kufika, na pia ndiyo maana akawatumia ujumbe wananchi wa Iran.
Segele hilo, wajiandae kulicheza
Hivi Hezbollah wako wapi jamani maana kimya kimezidi,tuliambiwa mengi.Hakuna kulala hapo Tel Aviv... Beginning of the end... Israel kazi anayo...hawezi kukaa tena hapo Middle East Kwa amani...
Wamefika malengo?Iran imelenga miundo mbinu ya kijeshi na sio raia.
Irani sio Yemen,Iran sio Lebanon, wangapi wanakumbuka hii ni mara ya pili Iran anashambulia direct Israel?!!Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa free.
Miundo mbinu ipi imeharibiwa na hizo manati?Iran imelenga miundo mbinu ya kijeshi na sio raia.
Mkuu naamini lengo la Iran siku zote sio kudhuru raia wasio na hatia bali kuharibu miundombinu ya kijeshi ya adui.Al Jazeera inaripoti kuwa hakuna majeruhi ndani ya Israel….
Mkuu mbona video zipo nyingi karibia asilimia 80 wenda yamepenya.Yeah!...kwani Kuna makombora yaliyopenya hizo ADs?.
Ila ikitokea vita kamili kwa Idadi ya makombora aliyonayo Iran, Israel atakuwa na wakati mgumu kuyazuia yote kwa idadi kubwa japo pia Iran itaharibiwa zaidi na mashambulizi kutoka Israel na Marekani.
Ile ya april ilikuwa sio kama hii. iran alitoa taarifa siku 2 kuwa ataishambulia israel na alifanya hivyo ili watungue makombora yasilete uharibifu ni kama vile alikuwa anafanya maigizo. Pia vile vidrone vilikuwa vinachukua muda kufika na vingi vilitunguliwa njiani.Irani sio Yemen,Iran sio Lebanon, wangapi wanakumbuka hii ni mara ya pili Iran anashambulia direct Israel?!!
Kuingia vitani na Iran Israel hawezi kuthubutu,labda USA na yeye aingie akiwa na Israel.
Middle East powerful nations ni Israel na Iran, Israel hawezi kuendesha vita mwenyewe bila msaada wa intelijesia ya USA na Uingereza, ilihali Iran anaweza kusimama mwenyewe!!
Mvua za makombora zinanyesha huko Mungu ibariki palestina,Iran,lebanon, syria na russia!IDF imewaagiza Wana wa Israel wasilale majumbani mwao Usiku wa Leo
BBC news
Tuzidi kuwaombea
Wenzako si magaidi hawapigi raia wanapiga miundombinu ya kijeshi.Yameleta madhara gani? Ni sawa na mwanafunzi akeshaye kusoma usiku kucha na mtihani ukija anapata buyu😂🤣
wakati wao iran wanasema wanashambulia maeneo ya kijeshi. na hivi tunavyozungumza wananchi washatangaziwa warudi kwenye makazi yao saga limeisha. niko tazama hapa aljazeera naona impact haikuwa kubwa watu washarudi kwenye makazi yao.Ni 500 missiles na siyo 200. Yaani Iran kachafukwa huko. Kafanya kama Israel anvyofanya, kupiga kwenye makazi na huduma za kijamii. Gaza wamepata tabasamu, angalau.
Hua wanajuaje hawa 😄😄Ila USA intelligence yao kiboko. Wakati Iran anaandaa zana zake USA kashamuona.
sio rahisi kama unavyofikiri,mpaka apate ushirika wa NATO,sio peke yake,hawezi.Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa fs
Subiri mabwana zako watakujibu kwa kutoa tathimini. Mwanzoni kama kawaida watakanusha hakuna madhara lakini kadri muda unavyozidi kwenda watasema kuna madhara ndivyo sera zao zilivyo.Miundo mbinu ipi imeharibiwa na hizo manati?
Kutokea kwa vita kamili kutategemea na majibu ya Israel lakini kwa shambulizi hili ni razima Israel itajibu kwa nguvu maana makombora mengi sana yamepenya tofauti na shambulizi la kipindi kile.Nasubiri Israel iue mradi wa nyuklia wa Iran. Hilo ndio la msingi hata kama watapigwa makombora kiasi gani.
Majibu yaje haraka