Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Suala siyo idadi ya Vichwa, cha muhimu ni ukubwa( destructive force capacity) na uwezo wa delivery system ya hizo ICBM to the intended targets. USA is far better on both .
Hii kitu sio ya kuombea itokee maana destruction yake haitoishia huko kwao tu bali ni kwa dunia nzima na mankind kwa ujumla !
 
Wengine wamejifungia kwe ye bomb shelters.
Mbona ilikuwa ni incident ya less than one hour na baada ya hapo Iran iliishiwa pumuzi na kuufyata baada ya hivyo vitoy vyake vyote almost kudunguliwa angani? Hawana guided Missiles kama za IDF au USA na subilia Jibu lao . Utajua kuwa Mzungu na Myahudi ziyo hao zero brains wavaa makubazi na wafuga ndevu with empty heads.
 
Nina hakika Israel atajibu, akijibu mashambulizi nitakuita unionyeshe hasara ya shambulizi la Iran alafu tulinganishe na hasara watakayokuwa wamepata Iran.
Ni kweli watajibu lakini kwa msaada wa Marekani na hata viongozi wa Marekani wamedhibitisha hilo.
 
Jordan wamesema wamefumukia mbali makombora kadhaa ya Iran yakiorushwa kwenda Israel
 
Mbona naona miti, kwani Israel wanahifadhi ndege kwenye bustani za miti.
Airbases kwenye runways na karibu na hardened shelters hakunaga miti kabisa maana huleta hatari kwa ajari ndogo ndogo za ndege.

Kama hujaona interception makombora almost 200 yamefanya nini. Gaidi wawili wameua watu nane, makombora over 180 yameharibu nini kikubwa au kuua wanajeshi wangapi. Subiri Israel ikijibu hata kwa mabomu 10 tu uone matokeo.
Ya kwamba wanajeshi wangekaa kambini ili wayasubilie makombora yaje kiwauwa?
 
Unajua wewe muda mwingine akili huna!?
Hivi unajua makombora yalotumika leo ndio ambayo alipewa Houthi na Hizbollah!?
Kwahiyo China na Urusi waliwasaidia hadi Hizbollah!?
Pia haya makombora ya leo aliwahi pewa Russia atumie dhidi ya Ukraine.
Russia na China hawahusiki hayo makombora ni Iranian made by Iranian technology.
Acha bange
Acha kubishana na hao kondoo washakariri kua Israel ndio kila kitu
 
Ballistic mbona yana mifumo ya kuzuia sema imekuwa saturated wakalinda maeneo muhimu tu. Arrow 1, 2 na 3 ni anti-ballistic.

Battery moja ya Arrow 3 ndio inaweza zuia makombora 10 ndani ya dakika. Hiyo miwili ni chini ya hapo. Ujio wa makombora mengi kwa pamoja ni changamoto.
Mkuu ebu wape Somo wenzako atleast unatoa fact wenzio kutwa taifa teule taifa teule linalindwa na mungu Mara hivi
Hiv hua ni ukosefu wa elimu au mahaba mazito ya dini?
 
Israel haina uwezo kupiga vinu vya nuclear vya Iran...

Iran imejifunza kwa vinu vya nuclear vilivyoshambuliwa na Israel nchini Iraq na Syria...

Operation opera Israel ilipiga vinu vya nuclear Iraq mwaka 1981, Israel ikashambulia kinu cha nuclear Syria katika operation waliita outside the box mwaka 2007... Hivyo vinu vya nuclear vyote vilijengwa kama majengo ya kawaida ambapo hata CIA waliweza kufuatilia kila kitu kinachoendelea, walijitahidi kuficha vinu hivyo jangwani lakini haikusaidia... Kwa satellite kila kitu kilikuwa wazi...

Kwa kutumia ndege vita Israel wakashambulia...


Iran haikutaka kufanya makosa, vinu vyao vipo deep underground, sio deep underground tu , vimewekwa chini kabisa ya milima.. Halafu vipo locations tofauti tofauti..

Kwa jiografia Iran ni nchi yenye milima mikubwa na ipo mingi, wameweka vinu vyao chini ya milima na kuweka concrete juu ngumu sana...

Mbali na hapo vinu vyao vinalindwa na air defenses na AAA(anti aircraft artillery) , kwa kutumia bomber kama F16 lazima ndege iruke usawa wa target na kuachia bunker buster... Kitu ambacho air defenses zitashambulia ndege..

Hata bunker buster ya tons 16 ambayo US wanayo haiwezi haribu hivyo vinu...

Israel bomber anazotumia ni F15 na F16 labda kwa sasa na F35..

Kingine F15 na F16 hazina uwezo ku handle uzito wa bunker buster kwenda kupiga Iran kwa huo umbali, fuel haiwezi kutosha kuifikisha ndege kama F15 au F16 kupiga nuclear facility Iran... Bunker buster ni nzito mno kumbuka...

Operation opera na outside the box pale Syria ndege vita zilibeba tanks za ziada na baada ya mashambulizi walitupa tanks hizo kupunguza mzigo ili ku manage fuel consumption, walitumia pia mbinu ya kuruka kwenye high altitude wakati wa kurudi baada ya shambulizi...

Ndege vita kama F15 au F16 zinaporuka altitude ndogo huwa zinakula mafuta zaidi kuipa ndege thrust kwenda mbele tofauti na ikiwa anga za juu zaidi... Lakini wanapita chini kukwepa radars...

Hapo umeona kuna ugumu kiasi gani kushambulia vinu vya nuclear Iran...

Ndio maana Israel imekuwa ikitumia njia kama kuua wanasayansi wa atomic wa Iran ili kuzuia zoezi hilo ambapo imeshindikana pia...

Vinu vya nuclear Iran vingekuwa vimejengwa kama uwanja wa Mkapa, tayari Israel ingeshalipua muda mrefu sana..
Analysis yako iko vizuri. South Korea jana wameonyesha heavy ballistic missile yao Hyunmoo-5 yenye tani nane. Lengo la kuunda hiyo missile ni kuharibu nuclear silos na underground facilities za North Korea.

Si lazima kutumia fighter bombers kuharibu nuclear site. Kila site ina entrance inayotokea nje, ikipigwa entrance humo ndani wanatokaje mpaka wafanye ukarabati. Wala Israel haiwezi tumia F-16 ni fighter yenye uzito mdogo hata engine moja, heavy fighter bomber yenye injini mbili inayobeba mzigo mkubwa ni F-15. Labda F-16 isaidie escort.

Kabla hawajashambulia site wanashambulia air defense system hata Syria walifanya hivyo. Ila wanafanya haraka ghafla ghafla AD zinaondolewa muda huohuo shambulizi linakuja. Ni mission ngumu mno ila ndio mission ambayo Israel wanajipanga nayo miaka mingi, wanaunda silaha kwa ajili yake, wananunua kwa ajili hiyo na wanafanya drills juu yake. Sio suala ambalo wameshtukizwa hata intel yake wanayo muda.

Marekani tu ndio wanaweza tumia B-2 stealth bomber na dedicated bunker buster yake GBU-57A/B yenye tani 14.
 
Back
Top Bottom