Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
BREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zaidi ya kile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.

🇮🇷 Statement by the IRGC:

"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"

'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
 

Attachments

  • IMG_20241001_223751.jpg
    IMG_20241001_223751.jpg
    259.5 KB · Views: 4
Nasemaje waache hao Iran wajichanganye Hamas walipoanza watu walipika mpaka pilau humu wengine wakabadiri na avatar kabisa wakishangilia kilichofuata huruma pray for Palestine kisha akaja yule mkuda wa kuitwa Hezbolah kelele kibao kavimba balaa kachezea mkono sasa hivi anachechemea pray for Lebanon kelele ni nyingi mno ceasefire sasa kaingia kaka yao mkubwa na yeye subiri tuone kwani shida ipo wapi muda ni mwalimu mzuri wa soon utasikia pray for Iran pray for Iran ceasefire na akishindwa yule mbuzi akibinya kitufe analipuka yeye kabla hio nyuklia haijafika Israel
 
Tabia ya Israel kusubiri Iran ashambulie haraka madhara ni kidogo ipo siku Iran atapata silaha kali zaidi atampiga Israel na zilete madhara
Siku gani mzeewetu siku gani km anazo si apige basi subiri majibu si umetuma maombi subiri jibu lako nataka kishushwe kitu chenye kilo za kutosha juu ya kichwa cha Ayatolah asibakie hata mfupa mmoja hayo ni maneno ya Bejamin Letanyau nina mafua
 
Dah yaani toka jana mpka leo kuna nyuzi mia moja zikisifu iran hii inaonesha ni jinsi gani hawa ndugu zetu walikuwa wanaumia na wanakosa pa kukimbilia sasa wanaona kama iran ndio mkombozi wao. Ngoja tuone kama hizi nyuzi wataziendeleza
 
Back
Top Bottom