Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Wabongo useless hopeless idiots... Mambo ya watu mnajitia ujuaji mna update yanayojiri... Wakat kijijin kwa baba na mama yako wanalala njaa na huna msaada na hujui kinachoendelea...
Kuna jukwaa la habari mchanganyiko kule kaupdate taarifa za baba na mama wanvyolala njaaa kijijini Kama wewe unaona ni sifaa kutangaza njaa za nyumbani kwenu

Mbona unadhalilishaji watanzania kwa kutokujua mahali sahihi pa kuongelea matatizo yenu
 
Dah yaani toka jana mpka leo kuna nyuzi mia moja zikisifu iran hii inaonesha ni jinsi gani hawa ndugu zetu walikuwa wanaumia na wanakosa pa kukimbilia sasa wanaona kama iran ndio mkombozi wao. Ngoja tuone kama hizi nyuzi wataziendeleza
Litapigwa jitu hawa wakina Ritz hapo madaba wote watakimbiana humu sana sana wataanza kulialia
 
Wabongo useless hopeless idiots... Mambo ya watu mnajitia ujuaji mna update yanayojiri... Wakat kijijin kwa baba na mama yako wanalala njaa na huna msaada na hujui kinachoendelea...
Hadi wanajuta kwanini walimzaa. Bora wangekubaliana bao la.mimba limwagiwe nje.
 
Utaona wapi ikiwa Israel amezuia vyombo vya habari chombo pekee kilichojitolea kwa hali yoyote Al-Jazeera wamekuwa wakikisakama sikuzote wamewaua wandishi wao wengi na juzi tu wamewavamia kweny jengo lao lilmbali kidogo na kwao ndugu hujui tu hili!!
😂😂😂
 
Nasemaje waache hao Iran wajichanganye Hamas walipoanza watu walipika mpaka pilau humu wengine wakabadiri na avatar kabisa wakishangilia kilichofuata huruma pray for Palestine kisha akaja yule mkuda wa kuitwa Hezbolah kelele kibao kavimba balaa kachezea mkono sasa hivi anachechemea pray for Lebanon kelele ni nyingi mno ceasefire sasa kaingia kaka yao mkubwa na yeye subiri tuone kwani shida ipo wapi muda ni mwalimu mzuri wa soon utasikia pray for Iran pray for Iran ceasefire na akishindwa yule mbuzi akibinya kitufe analipuka yeye kabla hio nyuklia haijafika Israel
palestina ni nchi? Ina jeshi? Ina jet fighters ngapi?Meli vita ngapi? Vifaru vingapi? Icbm ngapi?
 
Wabongo useless hopeless idiots... Mambo ya watu mnajitia ujuaji mna update yanayojiri... Wakat kijijin kwa baba na mama yako wanalala njaa na huna msaada na hujui kinachoendelea...

Wanashabikia vita kama simba na yanga, ndio maana tuna iq ndogo km kijiko cha chai tunapelekeshwa tu na kila mtu kwa kufuata mikumbo na emotions. Mtu mwenyewe hajawahi kusikia hata mlio wa baruti tu ya kapasulia mawe, akisikia mlio wa smg anahara chapachapa, eti anaongelea ICBM yupo kwa mtogole
 
Israel inamuogopa iran na iran inamuogopa israel kifupi wanaogopana imepita miaka karibia 10 ni kupigana mikwara tu kama vipi wamalizane tu.
 
Siku gani mzeewetu siku gani km anazo si apige basi subiri majibu si umetuma maombi subiri jibu lako nataka kishushwe kitu chenye kilo za kutosha juu ya kichwa cha Ayatolah asibakie hata mfupa mmoja hayo ni maneno ya Bejamin Letanyau nina mafua
Unavyokaza shingo kama ndo bwana mipango wa israel vile

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Braza Nyau kasema namalizana na Hibollah kwanza baadye anaifuata Iran, UK na USA wako nyuma ya Israel hiyo Iran itakuwa kama Iraq soon.
 
Nasemaje waache hao Iran wajichanganye Hamas walipoanza watu walipika mpaka pilau humu wengine wakabadiri na avatar kabisa wakishangilia kilichofuata huruma pray for Palestine kisha akaja yule mkuda wa kuitwa Hezbolah kelele kibao kavimba balaa kachezea mkono sasa hivi anachechemea pray for Lebanon kelele ni nyingi mno ceasefire sasa kaingia kaka yao mkubwa na yeye subiri tuone kwani shida ipo wapi muda ni mwalimu mzuri wa soon utasikia pray for Iran pray for Iran ceasefire na akishindwa yule mbuzi akibinya kitufe analipuka yeye kabla hio nyuklia haijafika Israel
Unachekesha sana hivi unajua kuwa Hamas ni kikundi tu Cha wanamgambo na Wala sio jeshi na Wala hakiungwi mkono na utawala wa Palestine

Irani akiamua kupigana na Israel inamaa amesha jipinga kupigana na nchi 3 Yani Israel, Marekani na uingereza

Israel akisimama peke yake hata masa 24 hayaishi atanyosha mikono juu
 
People on here talking about casualties. The point is not to inflict casualties. The point is to stoke military installations to reduce or impede Israel’s capabilities and inflict a cost.
Unlike Israel and the US, irans responses are measured not indiscriminate bombing of highly dense populated cities that end up killing children, women and innocent civilians.
In the west we call Iran and the resistance terrorists but the facts are it is the zionist regime that behaves like the terrorists.
The war did not begin on Oct 7th, no, it began when Israel occupied another peoples land and oppressed them.
The Palestinians have tried non violent resistance, the appealed to the international community countless times, the tried a boycott movement, but at every turn the worlds only superpower was there to vilify the Palestinians (all because of the evangelical twisted endtimes prophecy and because the US needs someone in the mid east to rely on to protect they’re interests aka theft of oil). So when the Palestinians respond with legitimate resistance that is their inherent right as stipulated by international law then they are labeled terrorists.
The West has become void of any morals and ethics and has become known for its hypocrisy around the world.
No justice no peace

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom