Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Kwanza ile jana tu yule muirani yale mabomu angekua anpiga majengo ya watu na populated areas leo tungekua tunasema mengine maana yale mabomu ni hypersonic hakuna aidefence ya muisrael inaweza kuintercept ila yeye alikua anapiga millitary targets tu na maeneo muhimu, kapiga hadi hq ya mossad, nevatim airbase ndo iliisha kabisa na f35 20 ndaniUnachekesha sana hivi unajua kuwa Hamas ni kikundi tu Cha wanamgambo na Wala sio jeshi na Wala hakiungwi mkono na utawala wa Palestine
Irani akiamua kupigana na Israel inamaa amesha jipinga kupigana na nchi 3 Yani Israel, Marekani na uingereza
Israel akisimama peke yake hata masa 24 hayaishi atanyosha mikono juu
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app