FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kuku tu.Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
Umron akuna neno ", tutaua kama tulivyoua..."?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuku tu.Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
Nafahamu, nimeuliza kufahamu kama mauaji yametokea.Hufahamu kwamba kuua raia ni uhalifu wa kivita?
Imetwanga hakuna hasara wala casualties hawa wairan na akili ni vitu viwili tofautiBREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.
🇮🇷 Statement by the IRGC:
"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"
'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Huo ni mtazamo wako.City of lies ....jina tu laonyeshwa ushazoea kudanganywa
Tatizo mnapenda kujifariji we kubali tu jana israel kapigwa nyumbani kwake basi sio bla bla nyiingiWe mwenye akili swali dogo tu mapovu kibao.
Collateral damage lazima itatokea.Nafahamu, nimeuliza kufahamu kama mauaji yametokea.
Kwahiyo tunakubaliana wazi wazi Israel hana uwezo wa kupigana hata na Burundi pasipo mabwana zake anaowadekea kumsaidia?Braza Nyau kasema namalizana na Hibollah kwanza baadye anaifuata Iran, UK na USA wako nyuma ya Israel hiyo Iran itakuwa kama Iraq soon.
Kifo si rahisi kufichaIsreal wanaficha sana vifo vyao kisa wataonyesha udhaifu wao na watadhalilika kwasbb ya kujisifu na propaganda kila wakati.
Wayahudi weusi wanachekesha sana maana kabla ya Iran kuishushia kipondo kikali Israel walikuwa wanasema Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Israel vinginevyo itakuwa ndio mwisho wake.Tatizo mnapenda kujifariji we kubali tu jana israel kapigwa nyumbani kwake basi sio bla bla nyiingi
Shida ni kwamba israel haijayumba, bado wana wanaendelea na uvamizi lebanon. Hili pigo lingekuwa kubwa kama israel ingerudisha vikosi vyake kulinda ardhi ya nyumbaniBREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.
🇮🇷 Statement by the IRGC:
"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"
'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Walioko israel wameona madhara ila wewe muisrael wa bunyokwa hujaona madharaShida ni kwamba israel haijayumba, bado wana wanaendelea na uvamizi lebanon. Hili pigo lingekuwa kubwa kama israel ingerudisha vikosi vyake kulinda ardhi ya nyumbani
Taifa teule la Mungu🤣🤣🤣Isreal wanaficha sana vifo vyao kisa wataonyesha udhaifu wao na watadhalilika kwasbb ya kujisifu na propaganda kila wakati.
Punguza kuncopy habari online bila ku confirm source. Hilinshambulio bado sana. Mossad HQ ni sehem ndogo sana ya israel, probabl wana majengo mengi zaid since (intelligence agency are capable of relevating fast due to nature of their operations)Walioko israel wameona madhara ila wewe muisrael wa bunyokwa hujaona madhara
[emoji1134][emoji1130] The Mossad headquarters, located in Tel Aviv, which was struck by Iranian missiles, was leveled.
Ronen Bergman, New York Times correspondent: I felt a series of massive explosions near my home in northern Tel Aviv, close to the Mossad headquarters, the Foreign Intelligence Agency, and Unit 8200, the electronic intelligence agency. The whole house was shaking.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Bwana yesu asifiwe mkuu😂😂😀Nasemaje waache hao Iran wajichanganye Hamas walipoanza watu walipika mpaka pilau humu wengine wakabadiri na avatar kabisa wakishangilia kilichofuata huruma pray for Palestine kisha akaja yule mkuda wa kuitwa Hezbolah kelele kibao kavimba balaa kachezea mkono sasa hivi anachechemea pray for Lebanon kelele ni nyingi mno ceasefire sasa kaingia kaka yao mkubwa na yeye subiri tuone kwani shida ipo wapi muda ni mwalimu mzuri wa soon utasikia pray for Iran pray for Iran ceasefire na akishindwa yule mbuzi akibinya kitufe analipuka yeye kabla hio nyuklia haijafika Israel
Hili shambulio halikua kwa ajili ya kumzuia kumuisrael kuendelea na operations zake bali ni kulipa kisasi, iran hajasema anamshambulia ili amzuie kuendelea na operataions zake,Punguza kuncopy habari online bila ku confirm source. Hilinshambulio bado sana. Mossad HQ ni sehem ndogo sana ya israel, probabl wana majengo mengi zaid since (intelligence agency are capable of relevating fast due to nature of their operations)
Kama shambulio hili halijawafanya warudishe majeshi nyuma, bado halitoshi.
Wisemi hakuna damage, ila inatakiwa iwayumbishe ili wasiendelee naninvasion ya lebanon
Hili ni swali la msingi kujua Casualties ila tutambue kuwa Israel alivifukuza vyombo vya habari vya kimataifa especially Al Jazeera wasifanye kazi ndani ya mipaka ya Israel yaani kureport tukio lolote. Sasa napata wasiwasi kama taarifa wanazotoa IDF yenyewe kama zitakuwa zinaukweli.Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?