Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Wamekufa waisraeli wangapi baada ya mashambulizi ya jana?
Sisi tuna akili tunajielewa hatuu raia kwa upumbavu wa viongozi wao na tunapiga wale wanajiona hawapigiki,jana ilikuwa ni kumwambia " BABA MKWE (USA) NAENDA KUMKAZA MWANAE TENA BILA NDOA YAANI KUMPIGA MITI AKA ZINAA NA BABA MKWE HUNIFANYI LOLOTE MAANA MWANAO AMELILIA RUNGU MWENYEWE"
Kiukweli jana Israel 🇮🇱 amekazwa tena live kabisa.Sio siri jana ilikuwa CONNECTION ya Israel 🇮🇱 tena akiliwa live
 
Sasa nyie si ndio ma reporters inabid mzimwage peupee
Vyombo vya habari vinazuiwa kurusha athari za makombora ya Iran na kutishiwa maisha halafu unawezaje kuripoti mkuu?

Iran wao wapo wazi sana chochote kinachotokea nchini mwao vyombo vya habari vina uhuru wa kuripoti moja kwa moja ndio maana yeyote anaweza kuona kinachoendelea Iran.
 
Kwahiyo hata kama kutakua hakuna significant casualities watu watajificja kwenye kichaka hiki kuwa walinyimwa acces to info..
 
Kwahiyo hata kama kutakua hakuna significant casualities watu watajificja kwenye kichaka hiki kuwa walinyimwa acces to info..
Ukizoea kufanya mambo ya hovyo hata siku ukifanya jambo zuri utahesabika ni jambo la hovyo tu kwakuwa ulijiweka kwenye nafasi ya kutoaminika.

Ni sawa na mlevi anayepita mitaani huku akipiga kelele zisizo na umuhimu wowote hivyo ikitokea siku akapiga kelele zenye kuashiria tukio baya la kweli watu watamchukulia ni kelele zake za siku zote zisizo na ulazima kumbe ni kweli kuna serious issue.
 
Mara 1000 zaidi ni kidogo, akitaka afungulie maghala yake yote ya silaha alizonazo, aishambulie Israel na akiona haitoshi awakusanye wana Iran wote pamoja na viongozi wao wakajibamize wazima wazima na miili yao kwa Israel, lakini Israel itabaki kuwa Israel.
Huu sio mchango wa mtu ambaye yuko smart upstairs na anacomment kutokana na mazingira halisi yaliyopo.🙉 Either amesahau au hajui vitu vinavyoweza kuathili kile anachokifahamu ukilinganisha na athari ya maendeleo ya kiteknolojia, mazingira na nguvu ya taifa pinzani kwa sasa.🤔
 
Sisi tuna akili tunajielewa hatuu raia kwa upumbavu wa viongozi wao na tunapiga wale wanajiona hawapigiki,jana ilikuwa ni kumwambia " BABA MKWE (USA) NAENDA KUMKAZA MWANAE TENA BILA NDOA YAANI KUMPIGA MITI AKA ZINAA NA BABA MKWE HUNIFANYI LOLOTE MAANA MWANAO AMELILIA RUNGU MWENYEWE"
Kiukweli jana Israel 🇮🇱 amekazwa tena live kabisa.Sio siri jana ilikuwa CONNECTION ya Israel 🇮🇱 tena akiliwa live
Duuh watu mmechafukwa kwahio zayuni jana kama yule dem wa yombo aliyeomba maji
 
BREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zaidi ya kile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.

🇮🇷 Statement by the IRGC:

"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"

'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'

Hapo Tel Aviv leo wamekaa kikao kujadili mazishi hawana jipya

IRAN sio Hamas
 
Braza Nyau kasema namalizana na Hibollah kwanza baadye anaifuata Iran, UK na USA wako nyuma ya Israel hiyo Iran itakuwa kama Iraq soon.
Israel kama Ina uwezo huo US na UK wa nini nyuma yake? Sema US ndo anataka kupigana na Iran Ili labda atafanikiwa kutekeleza uwizi wake wa mafuta kama anavyofanya Iraq, Libya na Syria kwenye kivuli Cha Israel.
 
Back
Top Bottom