BREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.
🇮🇷 Statement by the IRGC:
"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"
'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Watampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.
Nijuacho, kwenye suala la mafuta, Marekani atafanya juu chini kuishawishi Israel wasipige kisiwa cha mafuta kwa sababu wanaona itavuruga uchumi wa dunia sana, ila cite ya nuke enrichment watapiga, na vituo vya umeme unaotegemewa. kuna uwezekano vita ikawa kubwa sana.
Iran anaogopa sana hii vita kwasababu anajua Marekani tayari alishajiandaa na yupo karibu na alimwahidi kwamba sifanye alichofanya jana. Iran ambao ni shia, wanajua hawana mtetezi, wapo peke yao. Russia atawaambia yupo nao ila huwa anaongea maneno tu hatoagi msaada (angalia syria aliwaahidi ila sasaivi ni failed state), china huwa anaongea tu ila hawezi kumsaidia kivita iran, North Korea hana uwezo kumsaidia. nchi zingine zote za kiislam haziwezi kumsaidia Iran kwa sababu ni adui yao kidini na Iran huwa anawatishia. wasuni wengi wanapenda iran apigwe.
why nasema anaogopa? utasikia jana, baada ya kupiga, amesema "nimeshapiga na sina mpango kuendelea kupiga" manake anaonyesha ulimwengu kwamba ameshajirudishia ila hana mpango wa kuendelea na vita, anataka kusema kwa sababu amejirudishia Israel nayo itulie isilipize. Ukweli ni kwamba Marekani, Israel, UK, france na magharibi wana uwezo mkubwa sana kumpiga Iran wapendavyo, na sasaivi inaweza kutokea.