Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

Tabia ya Israel kusubiri Iran ashambulie haraka madhara ni kidogo ipo siku Iran atapata silaha kali zaidi atampiga Israel na zilete madhara
Hataki kuonekana mchokozi.

Hata pale Gaza alisubiri apate sababu ya haya yaliyotokea leo
 
Sio muda utasikia kiongozi kadinywa. Miyahudi sio miwatu mizuri. Inaweza isitupe bomu ila ikapiga kiongozi flani tena. 😁
 
BREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.

🇮🇷 Statement by the IRGC:

"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"

'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Hebu fikiria kile kinchi kirushiwe mabombo 1000 si kitaangsmia kabisa
 
Kuna mmoja kadai wanaiweka kiporo😁😁😁
Wayahudi weusi wanachekesha sana maana kabla ya Iran kuishushia kipondo kikali Israel walikuwa wanasema Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Israel vinginevyo itakuwa ndio mwisho wake.

Kilichofuata ni Iran kujipigia ndani ya ardhi ya Israel atakavyo bila kisasi kulipwa kwa wazi badala yake Israel ananywea anabaki kufanya vitendo vya kigaidi dhidi ya Iran tena kwa kificho akiogopa kukiri.
 
Kuna mmoja kadai wanaiweka kiporo😁😁😁
Hana uwezo huo. Kama mipango ya Iran tu kuishambulia Israel ni bwana wake Marekani ndiye alimsanua kwamba dogo unatwangwa muda sio mrefu unadhani ataweza nini yeye kama yeye?

Iran ni tishio kwa EU nzima sembuse hako kataifa feki hapo kati?

Iran peke yake amekuwa akikaa vikao vingi na mataifa yote ya Ulaya na baadhi ya Asia ili tu kumpigia magoti Iran asiendelee ama apunguze mradi wake wa urutubishaji madini ya uranium yanayotengeneza makombora ya nyuklia.

Iran isichukuliwe poa kabisa ni tishio halisi linaloonekana sio propaganda za Israel kwamba ana nguvu kuwa shog,a tu.
 
Ni wakati wa Israel kusimama peke yake alipe kisasi cha wazi wazi kuishambulia Iran kwa makombora sio kuvizia kufanya vitendo vya kigaidi nchini Iran.

Usikute Israel hana hata kombora la kufika nchi jirani hadi aombe msaada kwa mabwana zake ndio wampatie vijikombora vya kuondolea aibu.
 
Zamani tulivyokuwa wadogo tulidanganywa sana na propaganda za wazungu kwamba Israel ana minguvu kweli kweli lakini kadri teknolojia inavyozidi kukua kila mtu anajionea udhaifu mkubwa wa Israel bila kuwadekea mabwana zake wamsaidie.
 
Hana uwezo huo. Kama mipango ya Iran tu kuishambulia Israel ni bwana wake Marekani ndiye alimsanua kwamba dogo unatwangwa muda sio mrefu unadhani ataweza nini yeye kama yeye?

Iran ni tishio kwa EU nzima sembuse hako kataifa feki hapo kati?

Iran peke yake amekuwa akikaa vikao vingi na mataifa yote ya Ulaya na baadhi ya Asia ili tu kumpigia magoti Iran asiendelee ama apunguze mradi wake wa urutubishaji madini ya uranium yanayotengeneza makombora ya nyuklia.

Iran isichukuliwe poa kabisa ni tishio halisi linaloonekana sio propaganda za Israel kwamba ana nguvu kuwa shog,a tu.
Israel inpambwa sana tofauti na uhalisia,hata mim nilishangaa kuona mossad inayosifiwa ni hatari,kushindwa kujua hatari itayowakumba kutoka kwa adui masaa machache baadae mpaka wanakurupushwa n USA 🙄
 
Kwann Israel apigane na mwenzie uku akiwa amelala ajitambui sasa si ndio ugaid wenyewe kwamba Israel kawa sawa na alshabab gaid gaid kwann mnatudanganya ana nguvu mwenzie kampga live tunaona, yeye akamvizie ayatollah kile kababu kalala ndio akauwe kwann asishambulie kama alivoshsmbuliwa yeye tena live auwe yoyote anamlenga lkn asivizie mtu kalala huo upiganaji gani si ugaid sasa mimi shabik w Israel nasema nataka kuona ngumi imenyooka kama tuliopigiwa sisi mapichapicha apana mji mkuu wetu umepigwa nawao upigwe pale tehran mojakwamoja apigwe kutoka Israel Iran kawezaje sisi tushindwe lkn ugaidi apana sisi sio alshabab tunanguvu tuna jehova Iran wajipange kuzuiya viuma huu mwaka Iran atupige mala2 sisi sio ngomayake
 
Hana uwezo huo. Kama mipango ya Iran tu kuishambulia Israel ni bwana wake Marekani ndiye alimsanua kwamba dogo unatwangwa muda sio mrefu unadhani ataweza nini yeye kama yeye?

Iran ni tishio kwa EU nzima sembuse hako kataifa feki hapo kati?

Iran peke yake amekuwa akikaa vikao vingi na mataifa yote ya Ulaya na baadhi ya Asia ili tu kumpigia magoti Iran asiendelee ama apunguze mradi wake wa urutubishaji madini ya uranium yanayotengeneza makombora ya nyuklia.

Iran isichukuliwe poa kabisa ni tishio halisi linaloonekana sio propaganda za Israel kwamba ana nguvu kuwa shog,a tu.
😂😂😂😂 EU nzima???Mjerumani tu atachukua siku 3 kumalizana na iran
 
Kuvizia huwo ugaidi Israel anadhalilika mchana kweupe apige kama alivyopigwa sio anatuma mossad kuvizia vizia watu au viwanda kimya kimya kama nguvu ana atuambie twende watu w kazi makamanda wa mbowe tuna uchungu sana Iran anatudhalilisha mala ya pili tunapigwa tunakuja uwanjani mtafuraiya wairael wa nyamayao mahenge mgongo wazi kule juu matombo juu tutawafuta machozi muairan tutamkalisha.
 
Attachments

  • Netanyahu_is_dashing_to_the_bunker_as_Iranian_hypersonic_missiles_launch_https___t.co_1h5NH0W1qa.mp4
    1.1 MB
Wee nawe
Wabongo useless hopeless idiots... Mambo ya watu mnajitia ujuaji mna update yanayojiri... Wakat kijijin kwa baba na mama yako wanalala njaa na huna msaada na hujui kinachoendelea...
mpuuzi kweli kweli yaani...
 
😂😂😂😂 EU nzima???Mjerumani tu atachukua siku 3 kumalizana na iran
😂😂😂 Mkuu sina uhakika kama unafuatilia global news unless uwe unasubiri kuhadithiwa tu na mchungaji uchwara kanisani.

Huu mpango wa kumuomba Iran apunguze uzalishaji na urutubishaji wa uranium aliuasisi Rais wa Marekani Barack Obama pamoja na Umoja wa Ulaya.

Ulifahamika kama 'Iran Nuclear Deal' ulienda kwa muda fulani kwa ahadi kwamba Iran akipunguza urutubishaji wa Uranium basi ataondolewa vikwazo vyote vya kiuchumi lakini deal ilikufa pale Iran aliposimamia msimamo wake wa kuendelea na urutubishaji wa uranium na baadae alipoingia Trump madarakani akaiondoa Marekani kwenye mpango huo wakabaki EU.

Mbona ni vitu common sana hivi vinatangazwa na vyombo vyote vya habari unashindwa kufuatilia?

Au kufikia mwaka 2015 ulikuwa bado hujazaliwa mkuu? Sio kila kitu unaleta ushabiki andazi.
 
Back
Top Bottom