Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Pole sana hasa hapo ulipomalizia haya ya Mwisho.Nafikiri niyalikuwa ni maelekezo ya West kwamba ukamatwe.
 
Fahamu Israel ilishamisha kila kitu kabla ya kuanza mashambulizi.
 
Echolimai kitumbua kimemwagiwa mchanga pole sana kama nakuona unavyotamani Tramp atimbe !!!!

Mm Nauliza tu uyu Israel ndio uyu mlisema anaweza kusimama na Dunia !!!!

au Sijui Vita vya siku 6 ndio uyu uyu au mwengine mana anachapwa na Wahuni wakiwa uko uko Iran !!

je awa wahuni Wakimfata Kwake apo Israel kutabaki mtu pale !!!!!!!!
 
Kwani yumo humu mzee Mohamed!!🤔🤔
Implicit...
Nipo najitahidi kusoma kila kinachowekwa hapa kuhusu hivi vita vya kusikitisha.

NewsFeed

Israeli intelligence buildings targeted as Iran claims direct hit​

Video of an Iranian attack on and near Israeli intelligence buildings near Tel Aviv has been circulating online, despite restrictions by the Israeli military censor.

Published On 17 Jun 202517 Jun 2025
 
Bora tu wangekunyonga mpaka ufe maana huna maana yoyote!!!
 
naambiwa hapa na myahudi wa kisemvule eti wayahudi hawafagi, wakiona bomu wanajificha kwenye handaki
 
Hizo ni Ballistic Missiles, zikiwa zinaenda jiu zinaenda kwa speed ya kawaida ila zikishuka zikirenga target zinakimbia kwa speed ya sauti.

Kwa bahati nzuri/mbaya THAAD zina uwezo wa kuzizuia. THAAD zilileta mafanikio fulani dhidi ya Hypersonic missile kule Ukraine dhidi ya Russia.

Nafkiri batteries/pod zinakuwa zimeishia silaha au incoming missiles zinakuwa ni nyingi mno, so defence systems zinazidiwa.

Usiichukulie poa THAAD mzee.
 
USA kisha ingia toka zamani nchi hizi zote zinamsaidia Israel kuangusha Missiles za Iran.

USA, UK, Germany, Italy. Turkey, India. Saud Arabia, UAE, Morocco, Jordan na bado Israel anapelekewa moto

Afu huku Turkey anajidai kumtuka Netanyahu na Saud Arabia wanajidai kama vile marafiki na Iran haha hio dunia imejaa wanafiki wanajidai Waislam kumbe ni hatari kuliko Wayahudi na Wakristo.

Israel ni chui kwenye karatasi tu mbele ya Iran.
 

Mzee Thaad tumeshakubaliana KWA hypersonic haifui dafu labda KWA hizo Ballistic ambazo sio hypersonic
 
Hii inapotelea outer space vertically. Inashuka kwenye target uso wanchi KWA speed ya +15 Mach
 
Iran anatumia FATTAH ziko more advancing ikifika umbal fulan ina eject decoy na zinagawanyika kumchanganya adui alafu ile Warhead inaenda kwa kasi kulenga target..
 
Iran anatumia FATTAH ziko more advancing ikifika umbal fulan ina eject decoy na zinagawanyika kumchanganya adui alafu ile Warhead inaenda kwa kasi kulenga target..
Mbona makombora mengi sana tu yana decoy? Hio sio ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…