ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Askari wa 4 kwenye laki tano ni asilimia ngapi? wenyewe wayahudi wamenunaNdiyo maana sahizi ile lugha ya kusema shambuluo limeleta madhara madogo, hawasemi tena. Watu wamekufa, eti ni madhara madogo!! Au huko Iran, uhai wa binadamu hauna thamani?
HAwa pichani ni wanaigeriawa tz tuko nyuma ya mama ambaye anamsapoti yahayaa mia kwa miaa!
View attachment 3136088
Uongo. Hizi ni media za magharibiKutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa.
Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases kadhaa na kuleta madhara madogo, na kwamba assessment ya uharibifu ilikuwa inafanyika.
Usiku huu Iran imetangaza kuwepo ongezeko la askari waliouawa kutoka askari 2 mpaka askari 4.
Tofauti na asubuhi Iran iliposema kuwa shambulio hilo lilikuwa na madhara madogo, baada ya assessment, sasa shambulio hilo la Israel wanaliita "deadly attack"
Mpaka sasa:
Iran imethibisha:
1) askari wake 4 wameuawa
2) Radar zake zimefeketezwa
3) Kiwanda cha makombora kimetekezwa
4) Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Vita siku zote haikosi madhara. Kwa familia za hawa askari 4, ni maafa makubwa ambayo kamwe hawatakuja kuyasahau. Tuwaombee hekima watawala wa Iran, Iran iyafute makundi yake ya kigaidi ili waarabu na waisrael siku moja waishi kwa amani. Maafa yote ya mashariki ya kati, chanzo kikuu ni Iran.
Habari kamili hii hapa:
Al Jazeera
LIVE UPDATESLIVE UPDATES,
Live: Iran says ‘no limits’ in defending itself after deadly Israel strikes
"The US says this should be the end
Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
14m ago
(17:20 GMT)
Iran raises death toll from Israel’s attack to 4
Iran has raised the death toll from Israel’s attack to four and said all served in the country’s military air defence.
The state-run IRNA news agency announced the deaths Saturday night. It offered no details on where the four men were stationed in the country.
Bora ni yupi anaesema ukweli au anayedanganya halafu kila uchao israel kuna vilio wanajeshi wao wanazikwa kimya kimya!Labda ndiyo madhara ambayo Iran imeyaita ni madogo!!
Kuna watu humu wanahemka na kusema uwongo kuwa etimakombora yote yalidunguliwa, wakatiIran imekiri kuwa baadhi ya bases zake zimepigwa licha ya mifumo yake ya anga kufanya kazi vizuri.
Israel inaonekana ilichokuwa imekusudia ni kuitahadharisha Iran, na kuipunguzia uwezo Iran wa kusaidia makundi ya kigaidi. Baada ya kushambulia, Israel imetoa onyo kwa Iran kuwa isithubutu kujibu shambulio!! Ikijibu, sijui itaifanya nini!!
Pricise targetsLabda ndiyo madhara ambayo Iran imeyaita ni madogo!!
Kuna watu humu wanahemka na kusema uwongo kuwa etimakombora yote yalidunguliwa, wakatiIran imekiri kuwa baadhi ya bases zake zimepigwa licha ya mifumo yake ya anga kufanya kazi vizuri.
Israel inaonekana ilichokuwa imekusudia ni kuitahadharisha Iran, na kuipunguzia uwezo Iran wa kusaidia makundi ya kigaidi. Baada ya kushambulia, Israel imetoa onyo kwa Iran kuwa isithubutu kujibu shambulio!! Ikijibu, sijui itaifanya nini!!
Hizi stori mnazodanganyana misikitini ili kujifariji hiyo israel ingekuwa inawazika hao wanajeshi si wangeisha na ingeshindwa kupigana yaani huoni uwongo magaidi wenu wakidini wanapotangaza vifo vya magaidi kama vya wanawake na watoto ili kutafuta huruma sijaona magaidi wakitangaza magaidi wao wameuawaBora ni yupi anaesema ukweli au anayedanganya halafu kila uchao israel kuna vilio wanajeshi wao wanazikwa kimya kimya!
Labda nikuulize, wewe unamjua Mzee Mwanakijiji ? Kuwa na adabu.Ulichokiandika umekielewa lakini??
Israel hajafanya nini?????
Huwez ukafanya aman na magaidiIsrael kama kweli angekua anataka amani alitakiwa kua wakwanza kuhakikisha kule west bank mambo safi, haya maeneo mengine yangekaa sawa mdogo mdogo
Hata kama yupo huko aliko atakuwa anajamba checheSi ajabu Ayatollah hayupo duniani..!
West Bank mambo yalikuwa safi wakati PLO ilipokuwa inatawala eneo lote. Fikiria hata yale maghorofa yote walimokuwa wakiishi wapalestina yalijengwa na Serikali ya Israel , mpaka ofisi za serikali ya Mamlaka ya Palestina,zilijengwa na Serikali ya Israel. Wakati huo lengo lilikuwa kuelekea kwenye serikali kamili na kiundwa kwa nchi ya Palestina. Mambo yaliharibika Iran ilipoanzisha kundi la kigaidi la Hamas, wakaanza kujilipua ndani ya Israel na kuwaua Wayahudi. Hapo sheria na taratibu kali za udhibiti dhidi ya Palestina zikawekwa, uzio wa kuwatenga Wapalestina ukajengwa, na uhuru wa wapalestina kuingia ndani ya maeneo ya wayahudi ukapunguzwa sana, na uhasama baina yao ukaanza kujengeka.Israel kama kweli angekua anataka amani alitakiwa kua wakwanza kuhakikisha kule west bank mambo safi, haya maeneo mengine yangekaa sawa mdogo mdogo
Hit target only na siyo kumwaga mabomu kama walivyo fanya wao kijinga kabisa.
Wao wenyewe wayahudi wanajiita Taifa teule na sisi wakristo tunawaita hivyoMnaowashabikia ni kwa sababu ya dini yenu mnaowaita "taifa teule" wakati wenyewe hawaamini hata hiyo dini yenu, wala kitabu chenu.
Israel hata siku moja hawezi kuzika askari wake kimya kimya dini ya kiyahudi hairuhusu hilo ni dhambi mbaya amvayo kwenye dini ya kiyahudi haisamehewiBora ni yupi anaesema ukweli au anayedanganya halafu kila uchao israel kuna vilio wanajeshi wao wanazikwa kimya kimya!
Wakuoneshe wewe tu au mimi ndio sijaelewa?? Hata kama wewe ni Muslim jitahidi kuficha ujinga wako unatia kinyaaHawa walipata majeruhi kwahiyo wamekufa ndio maana idadi imefika wa 4, sasa Waisrael waonyeshe hiko kiwanda walicholipua sio maneno matupu
Mkuu taratibu mwenzako ostadh huyo huko Mkuranga mwembe kiguta ndie wanamtegemea kupata taarifaWakuoneshe wewe tu au mimi ndio sijaelewa?? Hata kama wewe ni Muslim jitahidi kuficha ujinga wako unatia kinyaa
Kinyaa unatia wewe kijana, nimeandika WAONYESHE hiko kiwanda wanachosema wamekilipua kitachukua miaka 2 kurudi tena kufanya kazi, hii ni vita propaganda ni nyingi sana, ni mbumbumbu pekee anaweza kuamini jambo kibubusaWakuoneshe wewe tu au mimi ndio sijaelewa?? Hata kama wewe ni Muslim jitahidi kuficha ujinga wako unatia kinyaa