Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

Mkuu taratibu mwenzako ostadh huyo huko Mkuranga mwembe kiguta ndie wanamtegemea kupata taarifa
Hii sio hoja, waonyeshe ili watu waone na kusadiki maneno yao mbona Sinawar alivyo ingia kwenye Mashimo kule Gaza tulionyeshwa? Ndani ya Israel wanasiasa wamechukia walitaka Iran ipigwe visima vya mafuta na zile nyuklia, sasa kuwa makini propaganda ni nyingi sana ili wale walionuna wapozwe
 
Mabomu yote yamemezwa yakiwa angani wanasemaje wameshambulia mfumo wa ulinzi🤣!!! Hao wanajikosha tu
 
Wayahudi gani unao sema wewe ? Wayahudi wameua watu wengi kwasababu ya Imani yao, hawatakiwi kushirikiana na watu wenye kuamini Mungu mwengine tofauti na wao, ebu rudi kasome tena vitabu vyako
 
Huwa nasemaga Tanzania ni nchi ambayo mungu yu karibu nayo sana, same to Israel nayo i karibu sana na mungu -
 
Hapa Iran imeficha taarifa nyingi!
Hata Israel ilipopigwa na Iran op iliyopita ilificha taarifa nyingi juu ya uharibifu uliofanyika!
Nadhani hapa Iran haitarudia tena!
Maana viwanda muhimu vya kutengeneza Silaha vimeharibiwa!
 
Ueelewe kuwa kijeshi kwa sasa Iran iko Uchi maana haina radar za kudhibiti mashambulio ya Israel tena baada ya mfumo wake wa ulinzi wa anga kubomolewa. Maana yake wakati wowote Israel akitaka kushambulia anaweza kufanya hivyo bila kizuizi. Pili inakadiriwa itachukua miaka miwili kurepair kiwanda chake cha kuchanganyia mafuta mazito ya kutengenezea makombora hivyo uzalishaji wa makombora utasimama kwa muda huo.

Israel ameishasema anayo bado bank ya targets za kushambulia Iran nyingi tu hivyo Iran akithubutu kujibu tu atapigwa kipigo kikaki zaidi.
Ukitafsiri kauli ya Iran anaogopa kuaibika zaidi hasa kwa vibaraka wake ambao walikuwa wanamwona ndiye kiboko ya Israel, anachofanya ni kujipooza kuwa madhara ni kidogo aliyoyapata ili iwe sababu ya kutojibu ili asiaibike zaidi.

MUNGU WA ISRAEL ATUKUZWE MILELE
 
Kinyaa unatia wewe kijana, nimeandika WAONYESHE hiko kiwanda wanachosema wamekilipua kitachukua miaka 2 kurudi tena kufanya kazi, hii ni vita propaganda ni nyingi sana, ni mbumbumbu pekee anaweza kuamini jambo kibubusa
Unapiga namba ngapi kupata kichekesho hiki
 
Kinyaa unatia wewe kijana, nimeandika WAONYESHE hiko kiwanda wanachosema wamekilipua kitachukua miaka 2 kurudi tena kufanya kazi, hii ni vita propaganda ni nyingi sana, ni mbumbumbu pekee anaweza kuamini jambo kibubusa
Kwani unalazimishwa kuamini we mswahilina wa mwembeyanga?
 
Propaganda sikuizi hazifanyi kazi tuli shuhudia vitu viki shushwa kwa speed ya radi Israel ,ila hadi leo bado tuna zitafuta ndege 100 na mabomu angani ila hatuyaoni na mnavyo jua israel anavyo penda sifa hadi leo asichapishe kitu ukitoa video na picha za beiruti mnazo jaribu kuleta😅😅😅
 
hawa jamaa si walisema ole wake israeli atupe kombora kwao
 
Yaan shambulio la kaeneo km 700square useme wamalize radar za Iran na wakati huo missiles kibao almost zote zimetunguliwa? Unalijua eneo la Iran wewe? Hata mkipeleka ndege ni 500 hamuwezi kucover eneo lote la Iran
 
wa tz tuko nyuma ya mama ambaye anamsapoti yahayaa mia kwa miaa!
View attachment 3136088
Hawa wangese wa wapi tena jamani?.. wamembeba mtumwa wa iblis.. wajue tunataka mwili wa JoshuaMollel tuuzike.. waliambiwa damu ya mtanzania haiendi kirahisi tizama na yeye hakazikwa bado hadi vita iishe kadedi kama alivyoamrisha kuua Mtanzania mwenzetu.. hawa jamaa ningekutana nao ningewamwagia michanga pumbavu zao laanatul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…