Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

Iran haijathibitisha viwanda kuteketezwa wala kiwanda cha makombora kuteketezwa wala kiwanda cha drones kuteketezwa.

Kama una video au official statement ya Iran ikithibitisha ilete mkuu
 
Yaan shambulio la kaeneo km 700square useme wamalize radar za Iran na wakati huo missiles kibao almost zote zimetunguliwa? Unalijua eneo la Iran wewe? Hata mkipeleka ndege ni 500 hamuwezi kucover eneo lote la Iran
Kwa hiyo hakupigwa?

Kwani hoja ilikuwa kupiga Iran nzima?

Wewe hujasom kuwa walipanga kupiga target ishirini na zote zimepigwa na hadi sasa kwa maelezo ya Iran yenyewe askari wake 4 wameuliwa. Radar zilizopigwa ni tatu zilizojemgwa na Russia na moja iko Airport inayoitwa imam Khomeini.

Rudi kasome taarifa za vyombo mbalimbali

Ipofu hausaidii kuondoa ukweli.
 
Iran anamtafutia sabab kibonde wake amnyooshe zaid. Ndio mana USA kaja juu kashajua janja y Iran.😀😀
 

Umeandika stori kama ya mtori, haijaeleweka. Ebu fafanua tuelewe.

  • Alikuwa mwanajeshi au la?
  • Mtumwa wa iblisi ni nani - hii stori kama ile ya kabila la wagagigikoko ( wale wa mbonela hali)
  • kadedi kaamrisha kivipi na shahidi yake slishuhudia wspi?

Unaweza ukatujurisha kwa lugha kuu ya pili ya Tanzania au lugha kuu Tanzania
Kisukuma;
Bagoosha / ileho imelimo banhu bange batadebile kubawera banhu badebilr
 
Alichofanya Israel ni kwenda kubomoa ukuta wao wote yaani S 300 zote 4 zimeharibiwa na kiwanda cha missiles na drones na ofisi yao ya intelijensia kwa sasa wako wazi, wajibu wapigwe
 
Hapa hazipigani dini. Wewe kama akili yako imenyakuliwa na udini, ni wewe na wenzako wachache.

Hakuna anayeiunga mkono au kuilaani Israel kwa sababu ya dini, labda wasio na akili.

Afrika Kusini ni nchi iloyojaa wakristo lakini ipo bitter na waisrael. Russia ni nchi iliyojaa wakristo lakini wanaiunga mkono Iran.

Wakristo wote wanaamini Wayahudi ndio waliomsulubisha Yesu masiha. Na hata kama Wayahudi wangekuwa Wakristo, bado isingekuwa kigezo ya kuwaunga mkono au kuwakataa. Mbona Tanzania ilipigana na Uganda, wakati proportion ya wakristo kwa waislam kwenye nchi zote ni karibu sawa.

In Iganda, according to the 2014 census, over 84 percent of the population was Christian, while about 14 percent of the population adhered to Islam.
According to the 2014 census, over 84 percent of the population was Christian, while about 14 percent of the population adhered to Islam.

Tanzania is a Christian majority nation, with Islam being the largest minority faith in the country. According to a 2020 estimate by Pew research center, Muslims represent 34.1%.

Kuyageuza mapigano yenye sababu mbalimbali, kuwa ni sababu za kidini, ni kuishiwa hoja.

Iran ilipigana na Iraq, wakati nchi zote population kubwa ni waislam.
 
Mimi nimemjibu huyo aliyesema radar zote za Iran zimepigwa kwahio yuko uchi Israel anaweza ingia anavyotaka. Base zilizo tangazwa ni tatu je katika hizo base tatu ndio zimepigwa target 20? Na zile intecept zilizofanywa zime intercept kitu gani? Kama target 20 zimehit na Iran hadanganyi kasema hakuna mlipuko na sisi hatujaona mlipuko unaijua mlipuko wa target 20 wewe? Tena jets na makombora?
 
Alichofanya Israel ni kwenda kubomoa ukuta wao wote yaani S 300 zote 4 zimeharibiwa na kiwanda cha missiles na drones na ofisi yao ya intelijensia kwa sasa wako wazi, wajibu wapigwe
Kwahio Iran anatumia s300 na s400 pekee kwenye ulinzi? Irani nzima inalindwa na s300 na 400 idadi 4.?
 
🇮🇷⚡️🏴‍☠️ Iranian media: The camp that was targeted is the Fath camp in Islamshahr, which is empty and used only for cinematic filming. The Prophet Yusuf series was filmed there.

🚩@ResistanceTrench | Boost us
 
Ukisema mkuu mimi nani nipinge,
 
Radar huwa zina cover eneo fulani ndio maana zinawekwa kimkakati mfani ukiwa na radar mwanza haiwezi kulinda dar. Kwa Tehran na ile miji mingine miwili iko uchi kwa naana ikilazimu Israel kurudia kupiga ataweza kupiga miji hiyo bila wasiwasi wa ndege zake kutunguliwa. Kama umesoma taarifa za vyombo vinavyoaminika Israel alianza kupiga radar za Syria katika njia aluzopita ili Syria asije akmttaarifu Iran kuwa Israel amepita kuelekea Iran m, hiyo maana yake awe salama ndio maana hakupiga radar za Syria za sehemu zingine.

Ukubali ukatae Iran amepigwa na madhara yameonekana ya aina tatu: vituo vya radar vitatu vimeteketezwa,,, Kiwanda cha kuchanganyia mafuta ya kutengenezea makombora kimepigwa na uzalishaji utasimama kwa takriibani miaka miwili na kiwanda cha drones kimepigwa.
 
Huu uongo unamletea nani!?
Halafu ulivyo muongo hadi unajichanganya.
Si wewe ulisema target 20 zote zimepigwa!?
Halafu unavyodanganya eti ADS ikiwekwa Dar haiwezi kulinda Dodoma.
Embu nenda kasome specification za ADS na range zake halafu urudi hapa.
Na ukae ujue Iran ana KHORDAK ADS na BAVAAR-373 ADS.
Kama ingekua Israel imefanya ilichofanya isingebaki Iraq na kushambulia kutoka Iraq bali ingeingia airspace ya Iran.
Shambulio hilo limeleta madhara madogo sana kuliko hata ilivyodhaniwa.
Habari unazoleta ni hearsay tu inasemekana inasemekana bleeh bleeh bleeeh.
Viwanda vingi vya silaha Iran ni underground no way utaweza ukavilipua.
Labda ulipue jengo la juu ila sio main factory ambazo ni underground.
 
Kwani magaidi yanaelewaga kitu hasara..mpaka gaidi likate moto hapo ndolina Amini kuwa kweli lime kufa
 
Waliojeruhiwa wamekufa. Tatizo nini?

Iran hawana cha kuficha, wanasema ukweli. Wafiche au wadanganye ili iweje?

Iran wametangaza kuwa hawatalipa kisasi. Wanasamehe.

Hilo umesikia au vyombo vyako vya kikondoo havijatangaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…