Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

Ila lengo limetimia, wamefika
 
Juzi waziri mstaafu wa Iran nae aliionya Nchi yake kutofanya makosa ya kujiingiza directly kwenye hii vita.
anasema Israel inachokifanya hapo Gaza ni mtego wa kuhakikisha Iran anaingia vitani kitu ambacho itakuwa ni makosa makubwa kwa Iran kujiingiza katika hii vita.
Israel anataka kutumia hii vita kama leverage ya kuiangusha Iran kwa kumtumia brother yake Us maana Yuko pale had sasa anasubiri wa kuingilia.
 

Attachments

  • Screenshot_20231116-073948_Chrome.jpg
    233.2 KB · Views: 1
Duh!...ila hezbollah inajaribu kuipunguzia Hamas pressure/shinikizo kwa kuishambulia Israel
 
Wewe ndg siyo muelewa wa mambo ya kivita. Ndiyo kaeneo kadogo,lakini adui amejijengea mazingira ambayo ili umfikie lazima usababishe maafa kwa raia na hapo hasira ya kimataifa juu yako itainuka. Adui ametumia muda mwingi, kujiwekea mazingira ya kujificha , kujihami. Rwandan kieneo ni ndogo nenda kaivamie! Kuingia kwenye ardhi ya mtu kijeshi kwa uwazi siyo jambo dogo, labda kwa kuvizia.
Hata hivyo tuwapongeze Israel kwa kujitahidi sana kupunguza idadi ya vifo vya raia. Kwa jinsi Hamas walivyokuwa wamejichimbia chini ya mindombinu za kiraia mfano, mahospitali,mashule, miskiti na Makambi ya wakimbizi, kwa sasa tungekuwa tunaongelea vifo vya watu wasio na hatia zaidi ya elfu 40, lakini kwa namna walivyoendesha hii vita hadi kufikia ngome za magaidi ,wanastahili pongezi kwa kupunguza idadi ya vifo vya raia.
Hadi sasa Hamasi wanakataa hospitali kutumiwa na Hamas kama kituo cha kutolea amri, wakati ndani ya hospitali zimekutwa silaha ,na vifaa vingine vya kijeshi. Je ni vya nani na kwa nini vilikuwepo ndani ya hospitali?
Kinachoonekana hiyo hospitali ama moja kwa moja madaktari au uongozi wa hospitali ni washirika wa magaidi Hamas.
 
Kwani waislamu mnataka injili? Saudia wamepiga marufuku injili kuhubiriwa, hata kujenga kanisa ni marufuku. Lakini bado tunaishi nao hapa. Huoni aibu kusema hilo! Ni lini uislam ukaikubali injili?
Tatizo wagalatia mmedanganywa sana na Wazungu na ndio maana kinapokuja swala la dini na vitabu vya Mungu mnatoka patupu

Katika nguzo 5 za Imani za kiislam mojawapo ni kuamini vitabu vya Mungu na Injili ikiwepo kwahiyo Muislam ukiikataa Injili automatically unakuwa umetoka katika uislam maana unakuwa unapingana na Qurani so uislam unamkubali Yesu na Injili yake

Lakini Muislam hatakiwi kutumia Injili katika Ibada zake na sheria zake Kwa sababu Injili mda wake umeshapita

Yani hawa manabii 4 waliopewa vitabu ni sawa na tawala za serikali Kila kitabu kimetawala na kuisha mda wake

Bahati mbaya mliyonayo nyinyi wagalatia Quran ndio utawala wa mwisho Mungu hataleta tena nabii Wala kitabu zaidi Muhammad na Qurani yake

Wayahudi hawakumbali Yesu Wala Injili yake na ndio maana Yesu aliwaachia laana

Yanii Ili Imani yako ya Kiyahudi ikamilike unatakiwa umkane YESU na Injili yake
 
Mungu amewapiga mshindo wa hofu,akawatia uoga katika mioyo yao
 
Nianze na hili ,kama wewe usivyo Mqureshi kwa kuamini katika Quran,na mimi siyo mgalatia kwa kuamini katika injili. Ni watanzania.
Kama hizo nguzo unazozitaja ndivyo ilivyo kwa nini wakristo hawarusiwi kufanya ibada zao huko Saudia, makanisa hayaruhusiwi kujengwa? Wewe unaamini injili, lakini unawazuia wenye injili yao kufanya ibada ,na hata kujenga nyumba za ibada! Nimefika Israel makanisa yapo,
Kuhusu utawala wa mwisho, Yesu ndiye alfa na omega. Hakuna tena mwingine labda ni pando la shetani.
 
Naona sasa hivi mme hama kwa hamas ana jificha kwenye hospital hadi mmeanza kuleta propaganda za kijinga.

Mkiambiwa hamna akili mna toa povu yaani mnasema Iran ineufyata hali ya kuwa kila siku Hizbulah ambaye anapokea amri kutoka Iran anaishambulia Israel?

Ukiona shambulizi la Hizbulah jua hilo shambulizi limefanywa kwa amri ya Iran.
 
Na wamejificha kwa makazi... huu ndo unaitwa ugaidi. Ukipiga unaambiwa umepiga wanawake na watoto hahaha
 
Duh!...ila hezbollah inajaribu kuipunguzia Hamas pressure/shinikizo kwa kuishambulia Israel
Na Hizbulah ndo Iran yenyewe sasa nawashangaa wanao sema eti Iran haijihusishi na mzozo huo.
 
Na wamejificha kwa makazi... huu ndo unaitwa ugaidi. Ukipiga unaambiwa umepiga wanawake na watoto hahaha
Acheni visingizio jana kwenye hospital milio kuwa mna sema ni makao makuu ya hamas ni kipi cha maana walicho kikuta?
 
Uzuri kinachowasaidia waislam ni imani yao potofu kutoka kwenye dini yao ya uongo. Walipoaminishwa na kitabu chao kwamba ukiwahishwa ahera ni heri maana utaenda kukabidhiwa mabikira 70 hilo ndilo linalowasaidia na kuwafanya wapiganie kufa haraka
 
Ha ha haaa!! KOBAZ GANG chini ya uongozi wa Malaria na hawara take FaizaFox wapo shimoni kama panya wanachungulia kwa jicho moja!!

Nadhani hata Mungu wao amefanya kama Iran tu.
 
Ndio mnavyolishana huu upupu huko madrasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa waziri wa ulinzi wa Ayatollah
[emoji23] [emoji23]
 
Vita siyo kama kufakamia ULOJO wewe fundi wa Vipedo.

Tunataka kuwafuta mpaka panya waliokuwa wanakula vyakula vya magaidi. Hatuna haraka hata kama itatuchukua mwaka mzima!

Lakini hivi kama kweli kuna mabikra 72 kwanini mnajificha kwenye mashimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…