Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

Iran imeona Haina Cha kufanya kwenye mzozo huuo, Kila mtu alikuwa anajua anayetafitwa ni Iran, Gaza asingeweza kuletewa dege vita na meli vita kiasi kile, na Kuna Kila dalili ya mateka kufia mikononi mwa Hamas, Ili Iran asilaumiwe kuwa walishirikiana na Hamas lazima Kiongozi ajitokeze hadharani na kusema hawana uhusiano na Hamas katika shambulizi la 7 Octoba , pia Iran ameshanusa harufu ya mashambulizi ya Israel na USA kutokana na matamushi yake ya Kila siku kuwa siku Moja ataifuta Israel kwenye ramani ya vita, Hilo tayari ni tangazo la vita hivyo Iran ana wasiwasi kutokana na matamuko yake, na huo uninga wake utamgharimu, china, India, Pakistan, Rusia, wanafanya mambo Yao kwa ustarabu, huwezi kuona et natengeneza siraha ili niifute nchi Fulani, mara missile za Iran zinaweza kupiga eneo lolote la Dunia, mara nitaiangamiza America na Israel, kwa matamushi hayo hizo nchi 2 na NATO lazima wamfuatilie Iran kwa ukaribu.
 
Kwanza hapo hospitali anatibiwa nani wakati watu wote walishaambiwa na Israel waende kusini mwa Gaza ili huko kaskazini ubaki uwanja wa mapambano? Wao kwa nini hawajaondoka wakati wenzao walishaondoka?
Yeye Israel ni nani mpaka awaamuru watu kuondoka kwenye nyumba zao?
 
Kwa hiyo kuwaita waisilam magaidi sio matusi ? Matusi muyaanze wenyewe mkijibiwa mnaanza kujiliza.
 
Tatizo la ujinga ndio maana mnadanganyika kiraisi na propaganda ndogondogo.

Ungekuwa na akili timamu na kuifahamu siasa na na nini kitu kinachoitwa propaganda, usingekurupuka na huo ushuzi wako

Mlituambia kwamba Israel ikiingia Gaza, huyo bwana wenu Iran atafanya itu, haya ndiye huyo kawageuka.
 
Times of Israel
 
Yule director wa hiyo hospital inatakiwa atekwe ale kipondo Cha
kutosha then atanyoosha Kila kitu, inavyoonekana huyo dactari anamajibu mengi sana kuhusu uwepo wa Hamas hapo shilfa hospital
 
W
Acheni visingizio jana kwenye hospital milio kuwa mna sema ni makao makuu ya hamas ni kipi cha maana walicho kikuta?
Wewe huwezi kuona Cha maana hata kimoja kilichopatikana pale hospital lkn vya maana vipo vingi sanaa vilivyopatikana pale, kikubwa kimoja wapo ni ushahidi usiotia shaka kwamba Hamasi walikua pale.

Mateka wamefichwa pale kwa kipindi flani na ushahidi wa mavazi (nguo ya kike), mikufu ama rozal vimekutwa pale kwenye basement ya shilfa hospital na hiyo nguo tayari ishatambulika mateka aliyekua kaivaa. So ndgu nikutoe shaka ni swala la muda tu Kila kitu kitakuwa bayana. Nadhani hata wewe mwenyewe nafsi Yako inalijua hilo
 
Hamas sio jeshi ni guerrilla fighters ingekuwa wanatumia conventional ways of fighting kwa jinsi Gaza ilivyogeuzwa magofu Israel ingesimika bendera yake kuashiria ushindi ,lakini sababu Israel inachotaka ni kuwa demilitarise hamas ndio maana operation inachukuwa mda mrefu.
 
Israel ni mwamba kwa kuaminisha watu wajinga na ndio maana mpaka leo hii kuna misukule bado inaamini Yesu ni mwana wa Mungu na misukule mingine inaamini Yesu ndio mungu mwenyewe
 
Imechukua muda maana mazombi yenu yamejificha ndani ya watu, hayana jeuri ya kupambana yawahishwe kwa mabikira.
 

Attachments

  • IMG_6272.jpeg
    83.1 KB · Views: 2
Muwe mnakaa kimya,unafikiri vita ni ushabiki kama wa Simba na Yanga.
1. Izrael ikivamiwa na Iran , hapigina kama anavyopigana na Gaza Kwa kutafuta watu majumbani , atashambulia moja Kwa Moja, kinachoweza kuamua ushindi kati ya Irani na Israel ni
1. Superiority of air force.
2. Uzalendo na morali ya jeshi. 3. Ujuzi na silaha Bora 4. Technologia. Sasa kati ya Israel na Iran nani Yuko vizuri hasa kwenye air force?
 
Kwani hawapi Hamas na Hazibollah silaha zinazotumika kuichakaza Israel??

Siku zote huwa wanakana, hawajawahi kujitokeza hadharani, ndio imebidi watafutwe kwa hiki kipigo kinachoendelea....kama vipi ikiwauma sana waamue kuingilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…