Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

Ya Urusi imeshindwa, halafu ya huyo ambaye hajaijaribu popote ndiyo ikafanye kazi? Kwanini asiifunge Yemen?
Kwanza unaelewa hata hizo Air defense systems zinavyofanya kazi kweli? Au ume copy and paste tu!
Kwahiyo wewe ambaye huwezi kutengeneza hata kijiko na huyu aliyetengeneza na anasema anazipeleka huko Syria na Lebanon ni nani anayejua kumzidi mwenzake?
 
Ya Urusi imeshindwa, halafu ya huyo ambaye hajaijaribu popote ndiyo ikafanye kazi? Kwanini asiifunge Yemen?
Kwanza unaelewa hata hizo Air defense systems zinavyofanya kazi kweli? Au ume copy and paste tu!
Pambana na matatizo yako achana na Iran,hata kama ametengeneza fake,nyie mnao huo uwezo?

Mlokole naona hii habari imekuchoma kama Pasi,endelea tu kununua maji ya upako na Iran waache na mambo yao,

Wewe kama una utaalamu zaidi endeleza kwenu huko kwa kutengeneza hiyo Air defence na iwe accurate,au nyie ndio wale wataalamu wa maandishi tu Jamiiforums?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…