Hapo ulipo unaishi kwa hisani ya makafiri 98%. Ukisema usitumie bidhaa za makafiri utabaki na
1. Kanzu
2. Quran
3. Kisima cha kujitawazia
4. Mkojo wa ngamia
5. Maji ya zamzam
6. Msikiti hata cement, mabati, vipaza sauti, rangi na mabati makafiri ndiyo wametengeneza
7. Tende
Unapanda usafiri uliotengenezwa na makafiri unaingia msikitini, unatoa pesa iliyotengenezwa na makafiri, unatumia umeme wa makafiri, unaswali kwenye msikiti ambapo rangi ni makafiri ndiyo wametengeneza, unatumia kipaza sauti na mic ya makafiri unaswali😁😁😁
Unatoka hapo unaangalia muda kwa simu au saa iliyotengenezwa na makafiri, unaangalia tarehe, mwezi na mwaka ambao makafiri ndiyo wameweka😀😀😀😀
Unatoka hapo unafika nyumbani unawasha sabufa iliyotengenezwa na makafiri, unasikiliza Qaswida kwa flash iliyotengenezwa na makafiri😀😀😀
Unaangalia Prison Break ya makafiri kwa kutumia tv aliyotengeneza makafiri. Unaingia mitandao iliyotengenezwa na makafiri X, Facebook, JF, Telegram, Instagram, TikTok, Youtube na WhatsApp😂😂😂😂 Unawatukana makafiri😁😁😁😁😁😂😂😂😂.
Hata Bakhera na MO ukiwaambia wasitumie bidhaa za makafiri ndani kwao watabaki na kanzu, mkojo wa ngamia, tende, maji ya zamzam na Quran. Mitambo mpaka king'amuzi vimetengenewa na makafiri😂😂😂😂😂
Hapo umejisifia umesoma kwa elimu yenye mtaala wa makafiri😁😁😁😁😁😁