Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

Acha kuwaingiza wengine,ongea kwa umoja wewe kama wewe,hayo matusi na kahfa si wewe ndio ulianza,au ulifikiri ningekupokea kwa nyimbo za mapambio? ukija na matusi na kashfa utakipata zaidi ya ulichokuja nacho,chezea wapumbavu wenzako,mimi nakupokea kama utakavyo kuja tu.
 
Kwani hizo lugha zako umeanzia kwenye comment yangu? Mimi nimeweka comment yangu kuhusiana na mjadala unaoendelea, Wewe umerukia na na kuanza kuja kinyumenyume ukiwa umeinama tena bila nguo, ulitarajia uganywae nini? Ulichokihisi kimeingia ndiyo matokeo yenyewe.
Siku nyingine jifunze adabu.
 
Wewe ni shoga na unatafunwa ndio maana umekazania kuongelea hayo mambo tu,mtu huongea akiwazacho,

Ulivyoniambia sijui kiburudisho ulifikiri ningekuchekea,mimi wapumbavu kama wewe hua siwaachi,ukija kwa heshima utapata heshima,ukija kishari utakipata unachokitafuta,acha ushoga punga wewe coz naona umekazania sana hilo neno,kama vipi mchukue mumeo muende kwa Papa mkabarikiwe coz amesha ruhusu.
 
Naona kama wewe ndio huna akili kama hapo Middle East hawana akili wanawaza kuuwana hao mabwana zenu wazungu wanatafuta nini na majeshi yao?
 
Tulia mfumo wa ulinzi upelekwe ndio uanze kuongea.
 
Mama yake amemzaa salama pamoja na wadogo zake kwa msaada wa makafiri. Barabara anazokwendea msikitini lami imewekwa kwa msaada wa makafiri, makafiri ndo wanaleta pembejeo za kilimo na mashine za kilimo ili ndugu zake vijijini wasife pamoja na yeye ale mjini.
 
Ingekuwa hivho basi Iran long time ingekuwa imeshatandikwa na hao mabasha zenu.

Mara hii mmeshasau ile drone yenu most very expensive na isiyo onekana na rada yoyote ilivyofanywa na Iran tena kwa kutumia local air defense system ilivyojaribu kuingia anga ya iran?

Tukio hilo lilisababisha mipango yote ya Trump dhidi ya Irani iyeyuke
 
Nunueni hawadubwa yote mchapane hapo middle East pabaki majivu ili amani ipatikane duniani, maana hapo ndipo dini imepaharibu zaidi.
 
Haijashindwa bali Syria ina betri chache sana ambayo inatumika kulinda maeneo nyeti tu.
Kwa sasa Syria haina uchumi wala fedha za kununua wala kuendesha mifumo ya Ulinzi ya kulinda nchi nzima maana uchumi wake umeharibiwa na vita.
Hizo batteries chache ziliwahi fanya nini mbona Israel inapita anga la Syria kama uchochoro. Ina maana batteries chache hazilindi hata mji mkuu, Damascus?

Kama haziwezi linda airbase muhimu iliyopo mji mkuu zinalinda kitu gani au ziwa mojawapo uko vijijini.
Uturuki iligomewa na Marekani kuuziwa Patriot ndipo wakaamua kwenda kununua S-400. Hiyo ni second option, ni fungu la kukosa.
Bisha nikuletee kauli za Erdogan na Waziri wake wa UlinziNi kama ambavyo Turkey walifikiria option nyingine baada ya kunyimwa F-35. Na ambavyo walikuwa wafikirie options nyingine kama Marekani isingekubali kuwauzia F-16 mwaka jana.
Then kelele za kusema Iran ina mifumo sawa na S-400 au S-300 zikome. Ni dharau kulinganisha mifumo ya Iran dhidi ya ya Urusi.
Mbona hujaishangaa India ambayo ina rundo la ID kutoka Urusi, Marekani na Israel?
Mbona China anatengeneza mifumo ya Ulinzi lakini bado ana nunua nyingine kutoka Urusi?
India ilinunua S-400 kutoka Urusi muda uleule inasaini na Israel kununua Barak AD. Ni mifumo tofauti kidogo hivyo sio ajabu kununuliwa kwa pamoja.

Kwa China ni case tofauti, China ilinunua S-300 ikafanya reverse engineering ikatoa HQ-9 series zinafanana mno. Ikaagiza S-400 sababu haina long range, sasa kwa case ya Iran mnasema Iran ina mifumo bora kuzidi ya Urusi sijui inalingana, hapohapo Iran inanunua mifumo ya category ileile Urusi?

Na bora kwa China kuna some cases copycats zake zinazidi uwezo original za Urusi. Kama HQ-17 inaizidi Tor-1 sababu ni two decades apart, ila ni copy.
Mbona Marekani mtengenezaji mkuu na yeye ana nunua mifumo mingine kutoka Israel na Ujerumani?
Kwahiyo Iran ana mifumo ya anga inazidi ya Urusi, kwamba Urusi kuna siku ataenda Iran anunue hii mifumo mipya inayozidi ya kwake? Maana huu ndio ubishi wangu.

Marekani ana pact na Europeans, tena kama hao Israel huwa anatoa funds yeye na wataalamu wake baadhi kuunda hiyo mifumo. Then baadae anaweza nunua sababu amefanya investment. Tofauti na Iran na Urusi.

Watu wana kaa miaka wanaumiza akili na kufanya kitu kinacho onekana alafu ww mla makande kutoka Mleba ambaye hata ikifunguliwa saa ya tsh 500 alafu wakwambie huiunganishe huwezi unakuja kubwabwaja na kuponda ,hivi waafirika tuna matatizo gani?
Mleba❌ Muleba✅
tsh❌ Tsh/TSH.✅
wakwambie huiunganishe❌
kuponda ,hivi❌ (mkato huwekwa baada ya neno, sio kabla ya neno)
waafirika❌ Waafrika✅

Lugha unayoshinda nayo kila siku huijui, sembuse mambo ya teknolojia.
Kwahiyo Iran ina AD systems nzuri kuliko Russia? Jibu
 
Iran hii ambayo Jenerali wa jeshi anauliwa kama muuza pombe za kienyeji na nchi inaufyata?

Iran ivamiwe ina nini? Kwanini mnalazimisha ivamiwe, ili muendeleze lawama au sio. Fanya basi Iran ivamie Marekani
 
Hata Saudi Arabia ana mifumo ya US lakini alikua ana pigwa na Drones za wa Houthi wa Yemen,
Israel ana silaha gani zaidi ya anazopewa na US?
Saudi Arabia haikuwa na activated air defense system wakati Houthi wanashambulia. Na ilikuwa na long range Patriot ambayo siyo anti drone wala anti low range. Usiende kwa Dangote Cement kuuliza kama wana Bajaj za kusafirisha cement ukakuta hawana alafu ukatoka hapo unasema hawana logistics za kusafirisha cement.
Iran anatengeneza silaha zake pamoja na kua yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi,
Leta hesabu zako kwanini mfumo wa Iran utashindwa kuzuwia silaha za hao Zionists? achama na historia,
Ni lini mifumo ya Iran iliwahi zuia Israel isifanye jambo lake hapo Syria ambapo hiyo mifumo imefungwa tena Israel huwa inashambulia silaha, vikundi na stocks za Iran?
Hata hiyo Iron Dome ya Zionists haizuwii makombora yote ya Hamas,tena ni makombora local tu,Hizbullah mara ngapi wanaipiga Israel kwa missiles?
Iron Dome haijatengenezwa kuzuia makombora yote. Kombora linaenda dondoka jangwani linadunguliwa la nini. Leta mfumo wowote wenye interception rate kuizidi Iron Dome, haupo.
hiyo Iron Dome hua imelala usingizi? punguzeni mahaba nendeni kwenye uhalisia,hiyo Air defence system ya Iran ingekua imezinduliwa na Zionists mgeisifu hapa kwa kila nyimbo za mapambio,
Overrated piece of junk ndio mnashadadia. Hata Iraq mlisema ana makombora sijui Scuds, jamaa akakutwa kwenye shimo kama panya buku.
Mpaka hapo Iran anajitahidi sana pamoja na vikwazo alivyowekewa kwa zaidi ya miaka 40,na hivi karibuni pia ametuma satellite zake zingine kwenye Space.
Sasa kujitahidi sio kuwa the best. Huwezi kurupuka uko ukaja sema Iran ana silaha nzuri kuzidi Israel, Turkey, Germany au Russia. Iran hawa ambao hata 3rd generation fighter hawajui kuunda😂
 
Wewe jamaa unafaa kabisa kua commedian tu,umeandika kishabiki mpaka umepoteza uhalisia au thamani ya maelezo yako,

Unaongelea Scud za Saddam Hussein,hujui kua Scud za Saddam zilikua zinatua Tel Aviv na Patriot za US zilishingwa kuzuwia?

Huyo US alienda kuvamia Iraq peke yake? unajua kua ni mataifa mangapi yaliungana dhidi ya Iraq? hata huyo Zionist wenu anasaidiwa na US na mataifa ya ulaya ila mpaka sasa kamasi zinamtoka bila kua na Flu,hakuna alicho achieve so far,Hamas bado wapo na mateka bado wanashikiliwa,

Makombora mangapi ya Hamas yametua Israel kwenye majengo? makombora mangapi ya Hizbullah yametua huko Israel? haya mahaba yenu hua yanawafanya mnatembea na vichwa vitupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…